...then u had no right to speak.kuna watu wa kitengo cha millitary intelligence,they're busy day n' night.so kama wewe sio mtu wa vitengo jeshini be silent while u wait for a positive result frm our men n' women in uniform.sina data, ila nachojua ugomvi sio mzuri maana hauangalii ukubwa wa mwili. Sina data za Rwanda wala za Tanzania na ndio maana sishabikiii
Mimi siogopi jeshi la Rwanda ila nogopa wanyarwanda waliomo kwenye system ya serikali yetu, jeshi na vitengo vingine nyeti. Inaaminika kuwa Israel ilishinda vita yake na misri ya mwaka 1967 baada ya mwanamke wa kiisrael aliyekuwa ameolewa misri kuvujisha siri za maandalizi ya kivita.We unaogopa jeshi la Rwanda? Una data zake?
Suala ni kuwa makini sana huyu mtu kama kakomaa kusemasema hivi jua kuna something behind him kinachomfanya arudierudie kauri zake,na anapoona rais wetu kimya anajua anamwogopa
Watanzania mnaifanya issue ya Kagame kama vile mechi ya simba na yanga ambayo ikiisha kila mtu anachukua time yake. Aliyefungwa na aliyefunga. Hi issue ni serious, wengine wanasema wana jeshi zuri ukiwauliza hawana data, wengine wanasema nchi yetu kubwa hiyo nayo haina mashiko, kubwa so what? wengine wanasema wanatz wana uzalendo hawana data, na wengine wanasema tutamnyongelea mbali hawajui hata uwezo wa jeshi letu. Wapo wenye data za mwaka 47 ambazo matokeo yake tulishayaona mbagala na gongo la mboto. Na simple research kwenye mikutano ambapo polisi wakituliza ghasia wanaua, huo umakini wetu uko wapi??? mpaka tujisifu????? Hivyo hili swala sio mpira wa yanga na samba la sivyo itatu cost sana.
Kanihadithia dada yako juzi alipokuja kunifanyia Massage. Ila inawezekana pia nikawa muongo maana ndiyo first time WASIKIA.
HONGERA X-KIZIWI kwa kusikia hatimaye neno MIAKA 5.
Kagame anachapa kazi, nchi inaendelea kwa speed ya ndege. Serikali ya CCM badala ya ku mind its own business, inaleta majungu kutak kumwalibia Kagame. Kama kweli Mh Rais ni msuluhishaji mzuri, mbona ameshindwa Mtwara na ameamua kuweka JWTZ kuzima hoja za wamakonde?Kwa hali ya marais hawa uende Rwanda? Wakijua wewe ni mtanzania linaweza kukuta la kukuta huko ohoo.
Upo tayari wewe ambaye hata kitako cha bunduki ukijui. Acheni uchonganishi wenu wa kuandika katika makey board yenu.Siwezi bishana na MTUMWA,MBINAFSI,HAINI na mtu usiyejua maana ya uzalendo kama wewe.
Reveal your true colours palz, that rubish cements our viewz agaist you all
Tusiangalie udogo wa rwanda tukatanguliza dharau.waarabu waliwachukulia israel kitaifa kidogo lakini mpaka leo kamewashinda.Na bado Israel ipo.Huyu jamaa inabidi apelekewe wale migambo wa city tu wanamtosha
mtu anapomtukana rais wa Tanzania maana yake ametutukana watanzania, anaposema atampga kikwete anamaanisha ataipiga TZ, lazima tumjibu, hatuwezi kukaa kimya, hapo tunaungana kwa pamoja kuresponse maana hii nchi ni ya kwetu.
ha ahahaha ahaha....we mzee kijana ndugu zako walipigwa wakisaidiwa na wafaransa na nchi wakanyangwanywa na bado wanachimba mihogo Congo,na unajua sana ila una play dumb humuNi kawaida sana kwa hawa watu.na usishangae choko choko hizi hazitaisha.kwa ukweli huyu bwa mdogo anahitaji kupewa displin japo kidogo tu.kinachomtia jeuri ni hao kina Tony Blair na Clinton wanaomshauri pale.
Hasira pia imempanda zaidi baada ya kujua Obama haendi Rwanda na anakuja Tanzania.haelewi kilichoongelewa kwani Marekani alikua suppoter wao mkubwa.sasa kitendo cha Marekani kuwanyima msaada wa kijeshi na kuja Tz kwa Obama kunafanya kengele ya hatari kugonga kichwani kwa Kagame
Pia na jeshi la kulinda amani pale Congo ndo linamalizia kumtia machungu zaidi
Tusiangalie udogo wa rwanda tukatanguliza dharau.waarabu waliwachukulia israel kitaifa kidogo lakini mpaka leo kamewashinda.Na bado Israel ipo.
hii inaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo dhaifu.na haufai kuwa kiongozi hata kidogo.ni nani alikuambia kila ukijibiwa vibaya ni lazima upigane vita?hii inaonyesha jinsi gani usivyoangalia matokeo ya hiyo vita,utapoteza ndugu zako,uchumi utashuka,watanzania watakuwa wakimbizi,,,je ndio ndoto zako kuona akina mama wamejibebea mizigo kichwani wakitafuta makambi ya wakimbizi?hufai hata kidogo thats why unaona kiongozi wa Tanzania haliongelei hilo suala.mlianza na malawi mkaropoka at last akasema maongezi ndio solution,na hili la rwanda nalo liwe sababu ya kwenda kupigana vita?Putin rais wa Russia S 300 missiles alizokuwa akizisafirisha kwenda syria israel wamezilipua njiani mara 3 kwa mwaka huu tu,PRISM ni mpango wa marekani kuspy communication duniani na snowden alifichua kuwa hadi na EU walikuwa wapo under prism na Obama akakiri,na EU wamekasirika lakini did you ever heard of war option?ney
enyi wanasiasa ama mnajiita wanasiasa na kuweka vita mbele be carefull
kind regards Chimbuvu
Hivi ile ishu ya Malawi imeishia wapi??
Noma ni pale mtakapolianzisha na Kagame yule Mama analianzisha kule chini, can we fight in two fronts?? Intelijensia wetu akina Rama Ighondu watatujuza...