kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,560
- 1,399
Mbunge wa Kigoma kusini mh. David Kafulila a.k.a tumbili kwa mujibu wa kauli ya Werema, amedai kuwa George Simbachawene ambaye amerithi nafasi ya kiporo prof. Muhongo hafai kuwa waziri wa nishati na madini kwa kuwa hana weledi wa kutosha kwa changamoto za wizara hiyo ikiwemo soko la mafuta la dunia.
Ameongeza kuwa Muhongo alikuwa na weledi kwa nafasi yake tatizo alihusika kwenye kashfa ya escrow hivyo kupoteza uaminifu.
Chanzo: Mtanzania
Ameongeza kuwa Muhongo alikuwa na weledi kwa nafasi yake tatizo alihusika kwenye kashfa ya escrow hivyo kupoteza uaminifu.
Chanzo: Mtanzania