Mbona hata machali naye aliulizwa akakana kwambe hajaenda act na sasa ndo kaeenda. Hawa jamaa hawaeleweki kabisa
Clinton kakanusha, Kafulila na Mkosamali wamekanusha, basi mtoa habari ana mtindio wa ubongo au ni kuadi wa mabwana zake tumsamehe bure!
Mbona hata machali naye aliulizwa akakana kwambe hajaenda act na sasa ndo kaeenda. Hawa jamaa hawaeleweki kabisa
Hali jimboni kwake ni tete. Kasulu ccm bado wana nguvu kubwa, nadhani Machali anafikiri nguvu na umaarufu wa zito vinaweza kumbeba. Tusubiri, Oktoba si mbali, lakini hali inaonyesha jimbo la Kasulu mjini kurudi ccm.Hongera sana kafulila wewe ni.smart sana kijana nakukubali sana. Mh machali ni jembe letu pia tatizo kimempata sijui nini mpaka anenda kule..okay lakini vyama ni taasisi tu cha msingi mtu. Pamoja sana
ACT walisema wabunge 'kama wanne' watajiunga nao, Machali kashaingia...watu wanatafuta hao wengine watatu maana ukizingatia kauli ya Zitto aliwatishia wabunge wa Kigoma ambao sio ACT kutokurudi bungeni bila kujiunga ACT...nadhani hiyo tarehe 21/07/2015 tutawaona wote wanaohama watakaposimamishwa na ACT kama walivyosema....
Kiukweli mimi sijawahi kumkubali huyu machali. Sorry guysMachali ameni disappoint sana. Huyu Mh. Nilimwona MTU mwenye msimamo ila kwa hili la kuhamia chama alichotambulisha Zitto kama cha Waha nimeshindwa kumwelewa.
Hali jimboni kwake ni tete. Kasulu ccm bado wana nguvu kubwa, nadhani Machali anafikiri nguvu na umaarufu wa zito vinaweza kumbeba. Tusubiri, Oktoba si mbali, lakini hali inaonyesha jimbo la Kasulu mjini kurudi ccm.