wangeruhusu mgombea binafsi tu, vyama vingi vitakufa.
Vije hata mia moja lakini watanzania wameshaamua chama chao ni CDM[/QU
Sio wote sema wewe na wenzako'kama wa tz wamechagua chadema mbona CCM ndio wako ikulu?
samahani.... si watanzania wote! ingekuwa watanzania wote CDM wangelikuwa madarakani sasa hivi na nchi ingelishakuwa vitani kwa sera zao za udini.. ukabila na ukanda

Dhaifu kama JK na Vuvuzela kama NepiLeteni ushahidi kwamba mliibiwa kura zenu! ... kujaa watu kwenye mikutano sio kwamba wote ni wapiga kura.. wengine wauza maji.. pipi.. wengine wanakuja kushangaa pumba zinazoongolewa mkutanoni...
Lisu ni dhaifu na mropokaji.. tushalizoea vuvuzela lile
CHama Cha Ukombozi wa uMma
Leteni ushahidi kwamba mliibiwa kura zenu! ... kujaa watu kwenye mikutano sio kwamba wote ni wapiga kura.. wengine wauza maji.. pipi.. wengine wanakuja kushangaa pumba zinazoongolewa mkutanoni...
Lisu ni dhaifu na mropokaji.. tushalizoea vuvuzela lile
Mwanzo nilijaribu kifupi chake mwisho nikapata CHUU (ya bwanchuchu) - lol, lakini baadaye nikanusa shombo ya magamba ndani yake.Mi nilikuwa najaribu kifupi chake inanichanganya kidogo CHACHAUU?? au CCUU?
LOL..................mdebwedo, mbona shombo? yaalah!Mwanzo nilijaribu kifupi chake mwisho nikapata CHUU (ya bwanchuchu) - lol, lakini baadaye nikanusa shombo ya magamba ndani yake.
sana mzee nakuunga mkono'hata mimi naunga mkono mgombea binafsi'hivi vyama vimekuwa ni chanzo cha kutugawa sana watz kutoka na vyama hv kuwa vya kidini'vya kikabila na vya kikanda'bora mgombea binafsi tu
hakuna lolote