tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,852
- 18,264
Huujui ukweli wewe ungekuwa unaujua ukweli kamwe usingethubutu kusimama upande mmoja na mafisi na mapanya wanaoiangamiza Tanzania siku zote ungekuwa unasimama mstari wa mbele kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania wenzako badala ya hao majambazi wanaokwapua karibu kila wiki huku nchi ikikosa maendeleo ya kweli.
Hawa mapanya wa CCM wanaudhi na wanakera sana....wameiguguna nchi tangu mwaka 1961 na bado wanatamani waendelee kuifilisi! Hawa mafisi dawa yao ipo jikoni na muda si mrefu wataumbuka.