KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

CV Mbona iko wazi wadau! kwamba hiyo BBA not completed? au hamuoni hapo? ndiyo BBA Programme ni miaka 3 pale UDSM. Na hii programme inasomwa na watu wengi wanaotoka makazini, na kwasababu hiyo kuna wengi tu ambao wanahairisha miaka kwasababu mbalimbali. Na kama alikuwa anasoma BBA, kama alifuata taratibu zote za kuhairisha masomo hiyo inaruhusiwa. Japo sijajua ni kwa kipindi gani wanaruhusiwa kuhairisha masomo yao kutokana na sababu mbalimbali.
 
Wana JF elimu ya Kafulila ina tatizo gani? Mimi sioni kama ni serious issue.
 
Yaani upumbavu wetu aibu yetu, kafulila na elimu yake ni issue kweli??

Kafulila ni mwanafunzi UDSM,alisimama masomo kipindi fulani na sasa anaendelea

kuwa website ya bunge inasema nini na hiyo ichukuliwe ni kidhibiti ni nonsense nchi kama yetu hii unaweza kukuta sehemu imeandikwa Miss Jakaya Mrisho Kikwete!!! we are not serious at all hata yule mwanzisha thread he belongs to the group of ******
 
udsm hakuna hyo course ya BBA labda km diploma,angalieni course zinazotolewa pale UDBS hiyo course haipo. Nipo pale huu ni mwaka wng wa 3 huo ni uzushi. Hyo course ipo RUCO,TUMAINI,St.JOHN na CBE.
 
udsm hakuna hyo course ya BBA labda km diploma,angalieni course zinazotolewa pale UDBS hiyo course haipo. Nipo pale huu ni mwaka wng wa 3 huo ni uzushi. Hyo course ipo RUCO,TUMAINI,St.JOHN na CBE.

Kuna evening classes za BBA mkuu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?

Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?

Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?

Mkuu umemuuliza Kafulila anasemaje?? unajua hakuna kitu kibaya kama mwanaume kusutwa

FYI Kafulila ni mwanafunzi wa udsm, BBA jioni.

umekusanya ****** wenzako kujadili degree ya mtu

after all nani aliyekuambia watanzania wako serious kihivyo kwenye elimu??

tukianza na ww data zako umeanzia wapi?

ulitakiwa kuhakiki maneno yako, uende udsm ukaulize, mtafute yy uhakikishe kisha URUSHE thread yako hii

sasa hapa ww ndio unaonekana huna elimu hata kidogo japo unaweza ukawa na degree za madesa ila huna unachokisaidia Tanzania hii zaidi ya umbeya!!

kwa hili umeharibu
 
ENERAL
SalutationHonourableMember picture
1688.jpg
First Name:David
Middle Name:Zacharia
Last Name:Kafulila
Member Type:Constituency Member
Constituent:Kigoma Kusini
Political Party:NCCR-MAGEUZI
Office Location:Box 22 Uvinza, Kigoma
Office Phone:
[COLOR=#49535A !important] +255 716 426220 [/COLOR]​
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Uvinza Primary SchoolPrimary Education19911996PRIMARY
Kiganamo Primary School, KasuluPrimary Education19971997PRIMARY
Chumvi Secondary School, UvinzaO-Level Education19982001SECONDARY
Shinyanga Secondary SchoolA-Level Education20022004HIGH SCHOOL
National Democratic Institution (NDI)-20092009CERTIFICATE
Fedrick Elbert Stiftung (Foundation) FES-20072007CERTIFICATE
University of Dar Es SalaamBBA20112013NOT COMPLETED
University of Dar es SalaamBBA20062008
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No.IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Kigoma South Constituency20102015
NCCR-MageuziDirector20092010
MRDDirector20092010
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
NCCR-MageuziParty Secretary General2009
CHADEMAInformation Officer2008
CHADEMAInformation Officer - Youth2007
PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
No items on list
SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list
mkuu ata kama umetumwa hauna ruhusa ya kuedit taarifa za bunge,tuletea kama ilivyo.usilete siasa kwenye taaluma,kafulila kasome achana na ubabaishaji,tena jiandikishe tena mwaka huu palepale UDSM kwa hiyohiyo BBA.jifunze kwa mshirika wako kabwe
 
Yaani upumbavu wetu aibu yetu, kafulila na elimu yake ni issue kweli??

Kafulila ni mwanafunzi UDSM,alisimama masomo kipindi fulani na sasa anaendelea

kuwa website ya bunge inasema nini na hiyo ichukuliwe ni kidhibiti ni nonsense nchi kama yetu hii unaweza kukuta sehemu imeandikwa Miss Jakaya Mrisho Kikwete!!! we are not serious at all hata yule mwansiha thread he belongs to the group of ******
Mkuu Waberoya mimi nadhani ni tatizo. Kiongozi akiwa na taarifa ambazo hazieleweki eleweki hasa zinazohusu elimu yake basi ni tatizo. Hizo taarifa za BBA alizitoa nani kwa Bunge? Kama hujamaliza elimu fulani ni kwa nini uiweke? Kwani Kafulila hakupitia profile yake ya Bunge na kuwaambia wafanye corrections kama aliona kuna makosa kwenye profile yake? Kafulila alitaka tuamini ana elimu gani? Hakuna lingine hapa tofauti na ile list ya Msemakweli juu ya mafisadi wa Elimu.

Kafulila ni kijana msemaji mzuri na najua elimu siyo kila kitu kwa utendaji ama kujenga hoja lakini kujipa kitu usichokuwa nacho ni mbaya zaidi ambapo integrity yako inakuwa questionable.

Kafulila ajitokeze aseme humu tumwelewe.
 
udsm hakuna hyo course ya BBA labda km diploma,angalieni course zinazotolewa pale UDBS hiyo course haipo. Nipo pale huu ni mwaka wng wa 3 huo ni uzushi. Hyo course ipo RUCO,TUMAINI,St.JOHN na CBE.
 
udsm hakuna hyo course ya BBA labda km diploma,angalieni course zinazotolewa pale UDBS hiyo course haipo. Nipo pale huu ni mwaka wng wa 3 huo ni uzushi. Hyo course ipo RUCO,TUMAINI,St.JOHN na CBE.

Mkuu mimi najua hiyo kozi ilikuwepo hadi miaka ya 2008, wameiondoa au?
 
tuletea mambo ya maana hapa kama hajasoma si akasome? Madam anayo division 3 ya form 6.anasifa na pesa anayo
 
udsm hakuna hyo course ya BBA labda km diploma,angalieni course zinazotolewa pale UDBS hiyo course haipo. Nipo pale huu ni mwaka wng wa 3 huo ni uzushi. Hyo course ipo RUCO,TUMAINI,St.JOHN na CBE.

UD wanatoa degree ya BBA

Lakini hata kama wangekuwa hawatoi bado diploma, certificate etc ni course!!!

UDSM kubwa mzee ukijua yote ya pale una tatizo sana, niko pale miaka 11 sasa, na ukiniuliza ofisi fulani ziko wapi naweza nisikujibu, prospectus ya chuo haina vitu vyote na huwa inatolewa kwa mwaka mara 1, kozi nyingine ni dili tu za maprofessor wala seneti hazijaruhusu

kuna mengi pale mkuu
 
UD wanatoa degree ya BBA

Lakini hata kama wangekuwa hawatoi bado diploma, certificate etc ni course!!!

UDSM kubwa mzee ukijua yote ya pale una tatizo sana, niko pale miaka 11 sasa, na ukiniuliza ofisi fulani ziko wapi naweza nisikujibu, prospectus ya chuo haina vitu vyote na huwa inatolewa kwa mwaka mara 1, kozi nyingine ni dili tu za maprofessor wala seneti hazijaruhusu

kuna mengi pale mkuu

Mkuu hiyo nyekundu imekaaje? Ina maana ni kama tuition hizi za waalimu wa shule za sekondari na msingi? Unatunukiwaje sasa Degree na ikatambuliwa ma Chuo? Nisaidie tafadhali.
 
UD wanatoa degree ya BBA

Lakini hata kama wangekuwa hawatoi bado diploma, certificate etc ni course!!!

UDSM kubwa mzee ukijua yote ya pale una tatizo sana, niko pale miaka 11 sasa, na ukiniuliza ofisi fulani ziko wapi naweza nisikujibu, prospectus ya chuo haina vitu vyote na huwa inatolewa kwa mwaka mara 1, kozi nyingine ni dili tu za maprofessor wala seneti hazijaruhusu

kuna mengi pale mkuu

wewe kama haujui ofisi za BBA basi utakuwa umesoma FPA..ofisi za BBA zilikuwepo FCM na sasa inaitwa UDBS..mimi cjasoma BBA bt ninazijua ofc zao
 
mkuu toa maelezo kidogo kwenye BBA 2006-08 na BBA 2011-13 inakuwa vip hapo

Hebu niwekeni sawa wana JF, hapa tunajadili elimu tuu au na sifa za kuwa mbunge?? Mbunge kiwango change cha usomi ni kipi?
Kama ni just Elimu yake, no comment, ila kama ni elimu yake na uhusiano na ubunge wake, i think STD Vii wapo na Form four poor wapo,
I am blind sometimes
 
Fuatilia wengine achana na kafulila.wako humo tuna wajua hakuna shule,nafikiri bunge letu halichuku originals for comfirmation ni hatari sana,hii yote ni ujanjaujanja usiokuwa na mwisho wa mfumo mzima wa uongozi,maana hii haina tofauti na tume ya maadili wakitaka kufanikiwa wabadili sheria na watangaze hadharani mali za viongozi kisha sisi tuwaongezee ambazo hawajaziandika.
Kwa mujibu wa mleta hoja,ndugu David hawezi kuendelea kuwa mbunge kwa kuwa tayari ametenda kosa la jinai:kughushi sifa za kitaaluma...wala hoja haiwezi kamwe kuwa kujua ama kutojua kusoma kwani sote twajua anazo stadi hizo.Swali kwamba kwa nini hoja imeletwa leo na si wakati mwingine wowote halina msingi maana hakuna Mtanzania yeyote mwenye haki ya kumchagulia mwananchi mwenzake wakati ama masuala ya kuzungumzia.
Nasikitika kuona utamaduni wa impunity unaachwa kukita mizizi ktk jamii yetu na sasa ni dhahiri umepenya kabisa hata ktk muhimili wa Bunge wenye jukumu la kuisimamia na kuishauri serikali.Inasikitisha zaidi kuona sasa hata na vijana wenzetu wamejiingiza ktk mkumbo huu uliokuwa unawavutia watu wazima zaidi.
Kwa kuanzia, tuwaombe wale wabunge wenye elimu halali na wenye ujasiri,wapeleke muswada bungeni kuhusu tatizo hili na ktk kufanya hivyo,wapendekeze hatua za kuchukua dhidi ya watu hawa.
tusifikie sehemu tukahalalisha makosa kwa vile sote tunaonekana tunakosea.

Suala la elimu ya Mh. Kafulila lanavuta hisia za zatu pale tunapogundua kuwa hakumaliza chuo (kwa sababu za msingi labda na sio ku-disco) lakini kwa sababu
wakati ule alionekana Yombo, UDASA, Hill Park nk anaamua kutuaminisha kuwa alimaliza. Na hakuishia hapo, akaamua 'ku-document' hayo maelezo na kuyapeleka kwenye Mhimili mmojawapo wa nchi, Bunge.

Naamini kama isingekuwa hii hoja kuletwa hapa, hiyo update ya 'NOT COMPLETED' isingewekwa hapo.

Cha msingi hapa ni kurudi katika msingi wa mambo yote ambao ni UKWELI kusemwa kama ukweli. Hakuna mtu aliyewahi kuendelea duniani kwa 'short cuts'. Kupata ubunge Tz hawajasema ni lazima kuwa na cheti chochote acha hiyo BBA lakini sio vizuri kuhadaa watu, bora angelitueleza kuwa "iko kwenye process".

Kama ni hivyo basi usishangae kuona perfomance na credibility ya Bunge/Serikali na kwingineko vinashuka, hizi zaweza kuwa baadhi ya sababu.

 
Back
Top Bottom