KAFULILA aeleze alipata wapi Shahada ya "BBA" na Mwaka gani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by malagarasi, Jan 10, 2012.

 1. m

  malagarasi Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyokuwa ya kawaida, imenishangaza kuona kafulila akiwa amelidanganya bunge la Tanzania na Dunia nzima kuwa yeye ni Graduate wa BBA(UDSM), huku ikijulikana kuwa hakumaliza chuo bali alifukuzwa akiwa mwaka wa kwanza ambapo alikuwa anasoma Evening class udsm. Tunamtaka atueleze hiyo BACHELOR OF BUSINESS ADMINISTRATION aliipata wapi na mwaka gani?

  Aidha Bunge nalo linashangaza kwa kukubali kudanganywa kirahisi, hivi ina maana Bunge letu huwa haliagizi wabunge wake wakawasilisha vyeti vyao ili kuvihakiki? Tunataka Bunge nalo litueleze ukweli juu ya Shahada ya BBA ya David Kafulila imetoka wapi?

  Huu ni ufisadi mwingine, Kinachoeleweka Kafulila ni Form six leaver tu. Mbaya zaidi Bunge limechapisha sifa za kitaaluma za kafulila na kuweka kwenye website kuwa kafulila ni graduate wa BBA,aliipata wapi na lini? Ufisadi hadi kwenye kughushi elimu! maajabu haya. Twende UDSM wakatueleze kafulila alimaliza lini? Na Bunge litueleze wamepata wapi wasifu huo wa elimu ya Kafulila kama siyo ufisadi?
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,020
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 36
  Bora yeye na Form 6 yake, kuliko yule Mchumi ambae kila siku ana shangaa!
  Ivi alisema Kigoma itakuwa Dubai ya kanda ya ziwa au ya Afrika?
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 10,163
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 63
  Why now? enhe?
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 10,163
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 63
  Mtoa mada,umepiga mbizi? Njoo upiganie hoja yako bhana!!
   
 5. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unataka elimu yake ulimlipia Karo? Ubora wa elimu ni utumishi wake kwa Umma sio vyeti(makaratasi)acha ushamba
   
 6. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Hii biashara uliyoanza kwa vyovyote itakulipa sana, Maana umeonyesha unavyoweza kutii matakwa ya wabaya wa kafulila, ingawa haitushangazi kwani tuliona Bashe, Mzee Ulimwengu na wengine walishassemwa si raia ila baada dill yao kukamilika waliachwa. mwache kafulila ahangaike na kufukuzwa kwake ndani ya chama inatosha.
   
 7. m

  malagarasi Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado ninsistiza, atueleze aliipata wapi na vyeti vyake vipo wapi? inaeleweka kuwa mpo wapenzi wa kafulila ambao mliwahi kuwashikia bango mawazili kadhaa kuwa ni mafisadi wa elimu, tunamtaka na jamaa yenu atueleze alisoma na kupata wapi shahada yake ya kwanza katika BBA na siyo kuja kubwabwaja? Atueleze, amezoea kusema uwongo sasa amekamatwa pabaya waziwazi, ktk hili hawezi kukwepa, akanunue vyeti udsm tuone kama anaweza. Aliipata wapi shahada yake? Umma unataka kujua, siyo kusema sema uongo halafu adhani hatujui
   
 8. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale wa CCM waliposema wamegushi elimu tulimsema sana Jk kwa nini hatoi maamuzi magumu kuwatimua kazi sasa ni zamu yetu kuchukua maamuzi magumu kujadili kwa maslahi ya taifa elimu ya kafulila kwani anaweza kuwa waziri na hata Rais hapo baadaye kama tutashindwa kumhoji leo
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 13,624
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 63
  Hivi Kafulila ni member humu JF??
  Kama sio basi mtoa mada umebugi,
  a.k.a umeingia choo cha kike!!!
   
 10. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we machali hauna maana,umepewa cheo chake na huyo Bwabwa,umesababisha Kafulila afukuzwe ubunge bt still unafuatafuata au kakuchulia Mkeo/demu wako! Kama hana BBA au anayo we dont call..
   
 11. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,578
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Haa haa haa, hili povu sio bure. Mimi nikushauri tu unapowasilisha mada kama hizi usipende sana kutumia neno (TU) e.gTunamtaka atueleze, Tunataka Bunge nalo, huu ni mtazamo wako tumia kauli za kuonyesha UMOJA kana namtaka, nataka bunge nalo............

  Halafu sidhani kama shida yetu kwa sasa ni kujua nani ana vyeti feki au lah, well inawezekana ni ufisadi, ila jitokeze kwenye kupinga ufisadi wa maana basi, sio huu ambao unaonesha kbs wewe una chuki naye, anyway anza kuanzia ngaz ya juu basi. Kwan ushawah kufkiria JK anapataga wapi maUdokta yake???? Ulifwatilia undani wa Degree ya Mkulo na Lukuvi??Elimu cku hiz utolew kwa njia nying, huitaji kumuona mtu kakalia dawati ndo ujue anasoma unless kazi yako itakuwa ni kuchunguza maisha ya mtu 24/7 hours. Huu ni mtazamo wangu!!!
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 11,902
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 48
  Nchi yetu ni ya kughushi mkuu,hata mkulo haijulikani ana ka diploma ka wapi.mpaka leo maeneo ya wazi hayajarejeshwa kwa wananchi kwa hati za bandia
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,187
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mbatia Kazini
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 10,163
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 63
  Msela wake Zitto yupo!!
   
 15. m

  malagarasi Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunataka atueleze aliipata wapi? hata machali ana haki ya kuhoji iwapo anaelewa kuwa kafulila kalidanganya bunge kuhusu elimu yake?hoja ya msingi ni kafulila atueleze alisoma wapi na lini? kwa kuwa ni kfulila maneno kama ya chuki yameanza,ila kwa lukuvi, nchimbi,mkulo wakihojiwa elimu zao na kuitwa mafisadi wa elimu safi. Atueleze ilipata wapi hiyo BBA
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,187
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mto Malagarasi una mamba na Kenge wengi sana
   
 17. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msemakweli tulimpongeza sana kulipua vigogo wa CCM wenye vyeti bandia lakini Malagarasi hatutaki kumpongeza pengine kafulila naye ana vyeti bandia na amefanya hivyo kwa sababu anajua sifa ya kuwa mbunge ni kusoma na kuandika kwa hiyo elimu ya juu sana si ya kuhoji sana ni kama added advantage
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,455
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  kila la kheli maragalasi na uRedet wako...
   
 19. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #19
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,406
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 38
  haya mambo ya kufuatiliana kiasi hiki ya nini jamani? mwacheni apige kazi, kama na yeye alipewa zawadi ya BBA mwacheni ni ya kwake utafatilia wangapi wewe ndugu yangu? Kafulila piga kazi kaka achana nae, na kama huna hako kaelimu basi katafute ili tuone atakuja kusema nini
   
 20. l

  leloson Senior Member

  #20
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nataka kufaham wewe uliyewasilisha hii mada una level gan ya elimu, manaake you presented non-sense,
  nenda fb kwa wenzako
   
 21. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #21
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asilimia kubwa ya kashfa ya wanasiasa huchomoza wakati wa mivutano kuliko wakati wa amani. kafulila ana kesi ya kujibu hata kama amehumikuwa na chama chake kwa kesi yake ya mwanzo.
   
 22. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #22
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe wapinzani wanaruhusiwa kughushi vyeti na elimu bandia lakini CCM hawarusiwi??????????
   
 23. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #23
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 1,589
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 38
  Great thinkers you should learn to call a spade a spade. You either refute what has been presented or challenge what has been presented but please stop attacking the presenter.
   
 24. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #24
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamaa si angekomaa tu aikamate hiyo BBA.Matatizo yameanza sasa.Hivi inawezekana kwa Tanzania,mbunge kuvuliwa ubunge kwa kosa la kudanganya elimu yake?
   
 25. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #25
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  piga ua kafulila hili analo dawa ni kujibu tu tuhuma hizi lakini akijaribu kutumia mbinu za magufuli za kukwepa hoja kwamba ni wabaya wake wanataka kummaliza amekwisha. kama amesoma kweli na kuiweka kwenye tovuti ya bunge siri ni ya nini?
   
 26. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #26
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtu anayeiba elimu hawezi kuacha kuiba mali ya taifa hata kama jina lake ni kafulila
   
 27. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #27
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kafulila kama ni kweli umefulia sasa itabidi uogee
   
 28. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #28
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mjanja kafulila anasa kwenye tundu bovu hakika bado siamini
   
 29. Paul S.S

  Paul S.S Verified User

  #29
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,705
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Wakuu mbona tunakuwa na dabo Standadi?
  Au ukihiyo ruhusa kwa wapinzani na dhambi kwa ccm?
  Hoja ni hoja tu hata kama imeibuliwa na mbaya wako as long as inamashiko
   
 30. Imany John

  Imany John Verified User

  #30
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,528
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 38
  mada ichambuliwe.
  Wenye kujua watujuze,
   

Share This Page