Ni species mpya hizo. Hata sisi home tuna ng'ombe kama hao. Sisi huwa tunawakuta kwenye minara ya tiGO wanapunga upepo.
Jamani kwani ngazi hazipo?labda mwenye, kamuagiza apande makusudi aone uimara wa paa lake.
Ushirikina huo mkuu...wewe unaona ng'ombe kumbe ni mtu.
ha ha ha! nimefurahi kukuona "mhishimiwa..!!!
Mkuu upo? Umetoka lini kifungoni?
Hata wiki sina kiongozi..ha ha! huonekaniki...??