Kaeni chonjo NMB wanapiga Simu kwa ajili ya interview

Habari za Mida Ndugu Zangu. Ndugu yenu Kupitia Kampuni Yangu, Tumefanikiwa Kushinda Tender ya Kufanya kazi za Sales za Vodacom Tanzania. Specifically katika huduma za Data Internet kwa kampuni zenye Ukubwa wa SME & Corporate. Sasa nahitaji Vijana Graduates, Diploma na Degree. Hata form Six tutawaangalia. Uwezo wa kuongea Kiingereza vizuri. Wawe Presentable, ability to close Business deals. Nahitaji Vijana 5 tu kwa sasa. Jinsia yoyote. Kazi itaanza soon next month. Mkataba ni Mwaka mmoja. Tafadhari wasiliana na Mimi Direct. Naitwa Innocent Mafuru, 0767 862 227. Whatsap only kwa maelekezo zaidi.

Note: Kazi hii si ya Kukaa ofisini.
 
Daah Mkuu mi nilikua natamani sema Sina Uwezo wa Kucheza mziki kwenye Malori yenu ya Promotion
 
Back
Top Bottom