Elections 2010 Kadi za CHADEMA kumbe feki; KIKWETE adanganywa tena

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
Kadi+za+Chadema+Mbozi.jpg

Tanzania daima leo imeripoti kuwa, imegundulika kuwa wanachama 400 wa CHADEMA waliorejesha kadi zao kwa KIKWETE na kukabidhiwa za CCM, kumbe ni mamluki na kadi zilikuwa feki. Hata viongozi waliosema wamejiunga na CCM kumbe sio kweli, walikuwa wameshafukuzwa kutoka CHADEMA long time.

Mkuu kadanganywa, kacheka hadi jino la IDD linaonekana...

Nadhani Guiness wanatakiwa wamrekodi katika kitabu chao, probably ndiye raisi anayeongoza kwa kudangaywa...
 
Hata mimi nilihisi baada ya kuona picha ya mtu aliyezishika hizo kadi anamkabidhi JK.
Kadi zote mpya!!
 
Kama watu wameweza kumdanganya kipindi akiwa normal kabisa, kampeni hazijaanza, itakuwa ya sasa hivi wakati amepagawa?...Sielewi washauri wake wanamsaidiaje huyu rafiki!...Anyway, kwavile waliopo karibu naye sana kwa sasa ni akina MAKAMBA i dont blame him so much...ni mavuvuzela anayoandamana nayo!...what a shame!
 
Duuuuuuuuuuh kweli tuna rais au boya la rais, kama kadi ni mpya ina maana ndio kwanza zatoka tengenezwa hata JK hajashtuka kabisaaaa, safi sana wasanii wa CCM mtamsanii mpaka kiranja wenu safiii.Pipoooos pawaaaaaa.
 
Mi ndo maana nsahsema hakuna njama watakayopanga CCM kwa sasa ifanikiwe kwani inaongozwa na vichwa maji. Walishindwa hata kuzichakaza kidogo walau kwa kuzikunja?
 
Ndio maana nilisema nina wasiwasi na hawa wazee wa kuchakachua! MNACHAKACHUA HADI KADI ZA VYAMA VINGINE ILI MUONEKANA MNAPENDWA SANA AU.... KWELI AKILIZA MBAYUWAYU LOL!
 
Inawezekana JK hajadanganywa bali yeye mwenyewe pia alishiriki katika kufoji hizo kadi na kutangaza mbele ya hadhira kuwa kapata wanachama wapya kutoka CHADEMA.
 
huo ndo mkakati wa kinana a.k.a mwizi wa rasilimali za Taifa, msomali.
 
JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana

08_10_9ha1yf.jpg
 
mwaka jana wampige mawe kiwete.....leo hii warudisha kadi..?

Kwa kipi alichowafanyia..? Ingekuwa bagamoyo sawa..! Sio mbeya..!
 
Ndio maana nilisema nina wasiwasi na hawa wazee wa kuchakachua! MNACHAKACHUA HADI KADI ZA VYAMA VINGINE ILI MUONEKANA MNAPENDWA SANA AU.... KWELI AKILIZA MBAYUWAYU LOL!
Kama CCM hasa Kyela waliweza kutengeneza kadi feki za CCM watashindwa kutengeneza kadi feki za vyama vingine. Mbeya hasa Kyela ni kiboko kwa kadi feki. (Mwakyembe Cards Factory) Ramos weka hii picha kwenye post yako ya kwanza.

08_10_9ha1yf.jpg
 
jk kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana

08_10_9ha1yf.jpg

kadi zoote zimenyooka....straight from kabati...! Kawaida kadi huwa inakunjwa ukiiwekea picha...! Sisiemu hovyooo..

Hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana

08_10_9ha1yf.jpg
Yaani huyu ni jamaa wa kuonea huruma kabisa. Angepumzika tuu maskini ya Mungu. Katika historia ya nchi hii hakuna rais ambaye kachezewa na kusanifiwa kama huyu.
 
JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana

08_10_9ha1yf.jpg

Hivi inawezekanaje kadi zote ziwe mpya kiasi hiki? Kadi nyingi ukiziona kawaida baada ya muda huwa zina-fade au kuchakaa kidogo!! Sasa hizi je, imekuwaje? Kanyaboya lingine hilo.
 
Tatizo rais wetu ni mgumu kutusikiliza, si mara ya kwanza kumwambia wasaidizi wake ni mafisi,hawana msaada wowote kwake....
 
Inawezekana JK hajadanganywa bali yeye mwenyewe pia alishiriki katika kufoji hizo kadi na kutangaza mbele ya hadhira kuwa kapata wanachama wapya kutoka CHADEMA.

Yur 100% + Salva (think tank) + Muhingo + RA + Lowassa + Makamba = Hoax.... nashukuru watanzania mmeiona mapema
 
Rais hovyo kabisa huyu.... CCM wamefilisika hadi kiwizi siku hizi. Sasa wasubirie hasira ya wananchi iwaadhibu ndio watajua kuwa tume wachoka
 
08_10_9ha1yf.jpg
Yaani huyu ni jamaa wa kuonea huruma kabisa. Angepumzika tuu maskini ya Mungu. Katika historia ya nchi hii hakuna rais ambaye kachezewa na kusanifiwa kama huyu.
Sidhani kama angekuwa Mkapa angekubali mambo ya kipuuzi namna hii hata wizi una Grade zake sasa hii ni very low kwa rais kudanganywa na kukubali.
 
Back
Top Bottom