Elections 2010 Kadi za CHADEMA kumbe feki; KIKWETE adanganywa tena

Kweli Pakajimmy nimecheka mpaka machozi yakanitoka

Kama watu wameweza kumdanganya kipindi akiwa normal kabisa, kampeni hazijaanza, itakuwa ya sasa hivi wakati amepagawa?...Sielewi washauri wake wanamsaidiaje huyu rafiki!...Anyway, kwavile waliopo karibu naye sana kwa sasa ni akina MAKAMBA i dont blame him so much...ni mavuvuzela anayoandamana nayo!...what a shame!
 
Upya wa kadi siyo kigezo cha kubainisha kwamba kikwete kadanganywa.Lete vielelezo sahihi vinovyobainisha kuwa kadi alizopokea kikwete ni fake

Ndugu,
Hivi mtu akikuuzia shati lina pini,liko katika lailoni na unaliona kabisa kuwa ni la Mchina halafu anakuambia hili la mtumba...utakubali kirahisi eti sio kigezo?...kweli hata Nyerere alipotoa ule mfano ule wa almasi na kipande cha chupa nadhani alikuwa anakusema weye na waina yako.....nakusamehe lakini
 
CCM imeshikwa patamu, bado wanaweweseka kujibu hotuba za ufunguzi wa CHADEMA, wametumia Radio ya Taifa, TV YA TAIFA, wametumia new Habari Coop, Uhuru na mzalendo , Daily News , Jambo Tz, na vijigazeti uchwara vya shigongo plus tule tujigazeti twa karmagi na Prince Bagenda, na wamejipenyeza ITV, Radio one, The Gurdian, nIPASHE NK, LAKINI WAAAAPI, SASA WANAKUJA NA MBINU CHAKAVU, UJANJA WAKIJINGA, wameaibishwa, karne hii siyakufanya upuuzi kama huo, lazima utaumbuka.
 
kikwete anajua kilichofanywa ...........he might be stupid but he is not dumb
 
A serious note! Raisi wetu ni mgonjwa wale wa kwenye fani ya afya wanaweza kubaliana nami, hana mng'alo wa mtu aliye mzima inawezekana amechoka ama ametindikiwa na msongo wa mawazo. Take a rest Mr Predidaaa

Uko sawa mchungaji, the guy is sick!! Ugonjwa unaweza kumpata binadamu yeyote hatukatai, ila hatutaki kiongozi ambaye atashindwa kutimiza wajibu wake kwa sababu ya afya mbovu. Ninashindwa kushangaa hao CCM walikubali vipi kumweka huyu mtu asimame kugombea tena urais wakati alishaonyesha huko nyuma kuwa afya yake mgogoro,akiwa ameanguka hadharani mara 2, hatujui huko Ikulu ambako hatuonyeshwi ameanguka mara ngapi, Mungu hadhihakiwi, ndio maana ikatokea tena hadharani kwa mara ya 3 wakati wa kampeni. Ushauri ule wa madaktari wa kumpunguzia kazi ili asichoke waliodhani wanamtetea ulipaswa utumike kumdisqualify, hatutaki Rais asiye na afya ya kuhandle pressure za Urais, hiyo kazi sio ceremonial inahitaji mtu mwenye afya isiyo na mgogoro. Sasa tunamchukuaje mtu ambaye hawezi kuconcentrate na mambo ya maana kwa sababu ya afya yake? Naona kweli si wote wanaokushabikia wanakupenda, itabidi Kikwete atambue hilo, wapambe wake wanalinda mkate wao, hawajali hata yeye akifa ili mradi wakati huu anapumua wanaendelea kutafuna keki yao. Nigeria tuliliona hilo, Rais mahututi, wapambe wako busy kumnadi!!
 
CCM imeshikwa patamu, bado wanaweweseka kujibu hotuba za ufunguzi wa CHADEMA, wametumia Radio ya Taifa, TV YA TAIFA, wametumia new Habari Coop, Uhuru na mzalendo , Daily News , Jambo Tz, na vijigazeti uchwara vya shigongo plus tule tujigazeti twa karmagi na Prince Bagenda, na wamejipenyeza ITV, Radio one, The Gurdian, nIPASHE NK, LAKINI WAAAAPI, SASA WANAKUJA NA MBINU CHAKAVU, UJANJA WAKIJINGA, wameaibishwa, karne hii siyakufanya upuuzi kama huo, lazima utaumbuka.
Mimi nafikiri ule mkutano wa Chadema wa ufunguzi ulikuwa planned kuwa na hotuba za kuwachanganya CCM, hawakutegemea Mkapa na Kikwete watatajwa kwenye scandal ya EPA. Hadi leo CCM wanaongelea mkutano ule wakati Chadema inaendelea kuchanja mbuga, ukiongeza na pingamizi la Kikwete CCM wanachanganyikiwa zaidi.
 
Sasa kwani hata Riziwani hakuona hizo kadi zimechakachuliwa? Si ndo yeye alitumwa Mbeya kusafisha njia? Au ndo aloagiza hilo lifanyike?
 
Tanzania daima leo imeripoti kuwa, imegundulika kuwa wanachama 400 wa CHADEMA waliorejesha kadi zao kwa KIKWETE na kukabidhiwa za CCM, kumbe ni mamluki na kadi zilikuwa feki. Hata viongozi waliosema wamejiunga na CCM kumbe sio kweli, walikuwa wameshafukuzwa kutoka CHADEMA long time.

Mkuu kadanganywa, kacheka hadi jino la IDD linaonekana...

Nadhani Guiness wanatakiwa wamrekodi katika kitabu chao, probably ndiye raisi anayeongoza kwa kudangaywa...

Kama waliweza kutengeneza za kwao fake wakati wa kura za maoni kwa nini washindwe za wenzao!
 
Inasikitisha sana kuona mambo kama haya anafanyiwa Rais wa nchi hii,kama ni rahisi kuruhusu upuuzi wa namna hii je huko katika idara za serikali mambo yakoje?
Hivi hizi kadi wakati anazipokea na kuzipigia makofi hakutaka hata kuangalia au kuuliza upya wake kama alivyofanya wakati anakabidhi gari pale Ikulu?
Kwa hili viongozi wa CCM mkoa wanatakiwa kuwajibika kwa aibu hii na kama watakuwa waungwana basi waombe radhi kwa kuruhusu tukio kama hili tena mbele ya kiongozi wa nchi hata kama anagombea.
 
Inawezekana ccm walijua ni feki na wamezitumia kupamba mkutano. Kifupi hiyo nayo ni moja ya strategy ya kupata ushindi.
 
JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana

08_10_9ha1yf.jpg
Sasa hapa bona hatuwaoni wenye kadi hizoooo??
 
Mimi namjua Seme kwa undani zaidi juzujuzi hapa nilienda Mbeya kufanya kazi fulani iliyohusisha viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa,yeye hakutambulishwa katika chama chochote kama kiongozi bali mwanachama wa Chadema ,Kwanza alinituma kama namfahamu mwenyekiti wa Bawacha ili nizungumze naye amsaidie mke wake apite ubunge wa viti maalumu ambaye naye yumo kati yawale wachache waliojitoa ,nashangaa Raisi wetu kama mbayuwayu yeye anakubali kila kitu bila hata kupembua kadhalilishwa wee, kila wakati wanamuumbua mbele ya jamii anapoonyweshwa baadhi ya mambo/vitu vya kusadikika,ambavyo havipi inapunguza sana level ya intergrity yake ,hafai kabisa kuongezewa muda wa kutawala basi inatosha
huyo Seme ni mganga njaa nasikia mwenyekiti mkoa CCM amemwagia shilingi milioni 50.alivyozumbukuku kakubali kupoteza heshima yake binfsi pale mbalizi hana siha ya heshima tena
 
Nani wa kuthibitisha kama kadi zile ni feki na watu wale waliorudisha nao feki?Gazeti la Tanzania Daima ni la nani?Isije ikawa ni propaganda ya kupumulia na kushusha pressure ya Chadema?
Nendeni huko Mbeya mkafanye kazi ya kuwatambua wote waliorudisha hizo kadi,wapi wamezipata kabla ya kulamba maneno ya gazeti la propaganda la Chadema.
 
Nani wa kuthibitisha kama kadi zile ni feki na watu wale waliorudisha nao feki?Gazeti la Tanzania Daima ni la nani?Isije ikawa ni propaganda ya kupumulia na kushusha pressure ya Chadema?
Nendeni huko Mbeya mkafanye kazi ya kuwatambua wote waliorudisha hizo kadi,wapi wamezipata kabla ya kulamba maneno ya gazeti la propaganda la Chadema.

Umesoma posts zote katika topic hii? Au nawe unabwata tu kwa kuwa una domo?
 
JK kadanganywa tena kadi zote mpya yeye hata hajiulizi inakuwaje kadi zote ziwe hazijakunjwa na namba zinafuatana

08_10_9ha1yf.jpg

kwanza hiyo akili ya kujiuliza hayo ataitoa wapi...huyu hana akili ndo maana kila kitu anadanganywa tu
 
....ha!hahaaaaaaaaaa...baba mchungaji niliisahau hiii......ha!hahaaaaaaa....! 300k vs two hundred! menikumbasha....yaani huyu mshikaji kwa kuuziwa mbuzi kny gunia ni balaaaaa.....!

Nina hazina ya picha zake nasubiria wanichokoze wale jamaa niweke picha za mkuu akiwa kihasara hasara na Eva wa Arusha !
 
Back
Top Bottom