Kadata na sauti yangu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kuna mdada yuko raskazone- tanga,alikosea namba, simu ikaingia kwangu,nikapokea fresh thn me nkamwambia kakosea number,toka cku hyo mdada wa watu hapitishi cku bila kunipigia simu eti asikie tu sauti yangu...leo kanitamkia anahisi kunipenda ingawa hanijui,me nimemjibu tu asante..ivi kuna kumpenda mtu hata kama humjui jaman au ndo nimetokewa na jini?
 
kapenda sauti yako na sio kakupenda wewe. Hilo mbona gumu kumpenda mtu usiyemjua. Anaweza akaugua siku akikuona.
 
  • Thanks
Reactions: TNA
Kuna mdada yuko raskazone- tanga,alikosea namba, simu ikaingia kwangu,nikapokea fresh thn me nkamwambia kakosea number,toka cku hyo mdada wa watu hapitishi cku bila kunipigia simu eti asikie tu sauti yangu...leo kanitamkia anahisi kunipenda ingawa hanijui,me nimemjibu tu asante..ivi kuna kumpenda mtu hata kama humjui jaman au ndo nimetokewa na jini?

Unless huwa mnachat so anajua machache kuhusu wewe...otherwise akupende tu hivi hivi,kwa kukupigia nakukusalimia tu...mmh?! Sidhaaaaaani kama kuna mapenzi hapo,atakuwa anakutamani tu...kwakuwa amevutiwa na sauti yako..
 
Lol! Senetor una mambo! Ww ndo handsome wa jf, kwa muonekano na sauti. Nahisi nimekizimia kivuli chako,lol
 
senator kuna wasichana mjini siku hizi ndo zao,kwenye diary zao utakuta namba kibao za mapejee,wanakupigia kwa kubahatisha waone reaction,ukiwa mlafi wa nonino unaingia mkenge,be careful.
 
Inawezekana kumpenda bila kumwona,,mbona mi nampenda mmoja humu na hatufahamiani?

kwa taarifa yko, huyo binti hajakosea namba wala nini kama ukiona anakuganda.

hako ni kamchezo ambako kako sana tu,,hata wanaume huwa wanaucheza.

Kuna mdada mmoja nilikua nafanya nae kazi, alivyoenda kikazi mkoani kikazi, akampa shoga yake namba ya bosi wetu mzungu, yule shoga yake akajidai amekosea namba kwa kumtumia msg bosi wetu,,,yule bosi alimtongoza na sasa ni mme na mke.

wengine huwa wanabuni namba, ikitokea namba ni ya opposite site, ataanza kukufukunyua mpaka utajikuta unamwambia marrital stutas yko, na ukimwambia uko single, imekula kwako.

Pia inawezekana iyo namba amepewa na ndugu yako wa karibu, kifupi huyo sholi anakufahamu in details.
 
mnnnh kweli SENETOR ni funga kazi humu..................haya ntakupa namba yangu ili ukitunga story nyingine tu unanitxt kwenye simu niingie jf kuisoma
 
mwanangu tanga ni noma...! angalia sana unaweza usirudi kwenu..! mademu wa kitanga ni balaaa kinyama yani..! ila mzee senetor..! miminika mzazi muonyeshe uwezo huyoooo.!! mpaka ajikute anataka sio tu sauti bali hata kazi...! njoo nikupe tiketi ya raha leo free umuibukie...! ukapate ya kitanga..!
 
mnnnh kweli SENETOR ni funga kazi humu..................haya ntakupa namba yangu ili ukitunga story nyingine tu unanitxt kwenye simu niingie jf kuisoma

mkuu,sio story hii,kitu realy imenitokea eti.
 
hahaaaa...! ila hongera mzeeeiya hebu nipe namba yako nina jirani yangu hapa ananisumbua kinyama nadhani akiongea na wewe usumbufu kwangu utaisha..!
 
its real machangu ndo style zao cku iz, km ni ivo mbona wengi 2 wanajifanya wanakosea, ukikaa cku 2 anapga tena! demu anajibunishia namba alafu anakupgia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom