kijana mmoja mwana ccm kwa jina machafu jana alipewa zomea na kibanao cha kishikaji baada ya kutangaza kuwa kesho tarehe kumi na sita kutakua na kikao cha ccm .huku akisema kuwa watalete magari pia akisema msosi upo.pia akisema kuwa msiende kwenye maandamo watu walimzomea .baada ya hopo alisema mtaongea na waheshimiwa wa kodi magari mkose usafiri huku watu wakisema kuwa watatembea kwa mguu.vijana walisema sisi hatukodiwi magari .vijana walimuambia kuwa kwenye sherehe za mafisadi mliletwe na police sasa hivyi tafuteni jeshi wengine wakisema hatuchachuli ccm waongo hao vibaka nyie.vijana wa udom wemehamasika kuipinga ccm baada ya kuona kuwa wanaishi kwenye maisha magumu kama wanyama