KADA CHADEMA kumvaa Waziri Wasira 2015

Pwaaaa

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
248
67
Jamani wana JF hamjambo?. Dawa ya Wasira yapatikana!. Soma hapa chini.

Nimepata taarifa kwamba Kijana Pius Masuruli (38) mwenye picha, mkazi wa Bunda na mjasiliamali, ametangaza wazi kutaka kugombea ubunge jimbo la Bunda kupitia Chadema. Pius ameamua kumvaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Masatu Wasira iwapo atapitishwa na CCM yake kugombea tena jimbo hilo.

Kijana Pius amedhamiria kuwakomboa kimaendeleo wananchi wa jimbo la Bunda, ambalo jimbo hilo linakabiliwa na changamoto kubwa ya uduni wa maendeleo tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961. Inaelezwa kwamba wananchi wa Bunda wamemchoka Wasira na wanataka kufanya mabadiliko ya kiuongozi.
 
Attachments

  • 100_3011.JPG
    100_3011.JPG
    1.1 MB · Views: 261
Huyu hatumjui,isije ikawa wale waojifanya kutangaza nia,dakika za mwisho wakipewa mkwanja wanajitoa,kama yule wa ukerewe,mi nadhani co wakati muafaka wa kujadili mambo haya,tusubiri muda ajipime nguvu na ESTER WASIRA na kamati kuu ya CHADEMA itahamua.
 
Nakuunga mkono kamanda
 
Huyu ni nani??? Tupe CV yake na ni nini amekifanyia chama au anategemea kukifanyia chama. CHADEMA hapa inabidi kuwa makini wasije kulipoteza jimbo la Bunda. Ni kweli Ushawishi wa Wassira kwa wapiga kura wake umekuwa si mzuri na hivyo possibility ya kubwagwa 2015 ni kubwa ila kama mgombea wa upinzani asipokuwa mwenye nia ya dhati yawezekana akawa sehemu ya kulipoteza jimbo hilo. Tuwajue malengo yao, motivation na their so far ndani ya Chama, Isije ikawa wanatumwa na hao hao hakina Wassira ili kuwarahisishia Safari, ebu kutanganza nia lisiwe swala la kuibuka tu mtu eti natangaza nia hapana...
 
Huyu hatumjui,isije ikawa wale waojifanya kutangaza nia,dakika za mwisho wakipewa mkwanja wanajitoa,kama yule wa ukerewe,mi nadhani co wakati muafaka wa kujadili mambo haya,tusubiri muda ajipime nguvu na ESTER WASIRA na kamati kuu ya CHADEMA itahamua.

dats gud,nmeipenda
 
vp kuhusu dr webiro? na mbona huyo kamanda hatumjui? anyway poa,tusubiri kura za maoni na wanacdm wa bunda wataamua.
 
Back
Top Bottom