Kachanganyikiwa sababu ya utumbo wa mbuzi.

anapagawa na utumbo? akitengenezewa maini je?

Hapo ndio ninapowashangaaga hawa watu,kwao nyama ni ile steak tu,haya mambo ya sijui utumbo,maini,figo,bandama,kongoro wao wala hawayajui ila wakipata mpishi akawaonjesha ndio shida zinaanza,anyway next time nitampikia maini nione atasemaje.
 
Dunia haiishi vya kushangaza,mwenzenu jana nimepata mgeni mtoto wa kijerumani,na kwa kuwa tulipanga anitembelee nikamwambia nitakupikia chakula cha kiafrika.Na kweli mtoto wa kiume nikapitia kwa mchina nikachukua utumbo wa mbuzi na ndizi matoke.Nikaandaa utumbo kwa ufundi wangu wote, nikaweka vitunguu swaumu,tangawizi,limao,pilipili mbuzi kwa mbali,kitunguu maji,nyanya ya kopo,pilipili hoho na mazagazaga kibao ya kiafrika.Mgeni wangu alipofika nikamkaribisha na alifurahia akasema tangu azaliwe hajawahi kula chakula kitamu kama hicho na ameniomba akanitambulishe kwa wazazi wake kama mchumba mwenye sifa ya upishi.Sasa wandugu naombeni ushauri nikubali kutambulishwa au huo ndio utakuwa mwanzo wa kugeuzwa hausi boi.
Wasiliana na mwanachama mmoja wa JF, anaitwa Kipala...! Atakusaidia mawazo.
 
Wa Makanza! Kuna watu naona umeweza wafungisha tela na hadithi za Homeboy Eric Shigongo
 
Mchungaji nawe sasa hutaki?Lakini hakuna shida najua anga zako ni zile zinazozungumzia tiGo tu hapo utaamini bila wasiwasi.NIKUMBUKE TU KATIKA SALA ZAKO.
 
Hahahahahahah haya bwana nimeanza kuamini! Hebu jaribisha hiyo uone itakuwaje maeneo ya shemeji
 
Dunia haiishi vya kushangaza,mwenzenu jana nimepata mgeni mtoto wa kijerumani,na kwa kuwa tulipanga anitembelee nikamwambia nitakupikia chakula cha kiafrika.Na kweli mtoto wa kiume nikapitia kwa mchina nikachukua utumbo wa mbuzi na ndizi matoke.Nikaandaa utumbo kwa ufundi wangu wote, nikaweka vitunguu swaumu,tangawizi,limao,pilipili mbuzi kwa mbali,kitunguu maji,nyanya ya kopo,pilipili hoho na mazagazaga kibao ya kiafrika.Mgeni wangu alipofika nikamkaribisha na alifurahia akasema tangu azaliwe hajawahi kula chakula kitamu kama hicho na ameniomba akanitambulishe kwa wazazi wake kama mchumba mwenye sifa ya upishi.Sasa wandugu naombeni ushauri nikubali kutambulishwa au huo ndio utakuwa mwanzo wa kugeuzwa hausi boi.
hahahah paka mweusi mbona huishi vituko,naomba na me uje unipikie utumbo wa mbuzi na kisusio
 
ninajiuliza utumbo wa mbuzi unaliwa,,,tangu nilipoiona hii thread lakini sipati jibu au mtoa mada alikuwa na maana nyengine???????????
 
Back
Top Bottom