nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,273
- 3,750
We ni wale mbun'go Nitonye sio matende kijana....vipi kesi yako na wenye nyumba wako imeisha?Karibu tukae kwangu
Kaka ahsante ila bado najitahidi kumsomesha huyu mwenye nyumba
We ni wale mbun'go Nitonye sio matende kijana....vipi kesi yako na wenye nyumba wako imeisha?Karibu tukae kwangu
Hiyo ngogwe ndio kitu gani?.wanawake hawapati....kwa sababu hawana ngogwe.....
hiyo kitu ni maarufu kwa ajili ya ngogwe....