Kaa Mkao wa Kula,kiongozi wa Nchi Kutekwa akiwa angani: Utabiri

Nimefikira kauli zake nyingi huyu mzee kuna uwezekanano amesha juilishwa ni Kiongozi yupi anatarajiwa kutolewa Roho,na ametakiwa azichezee akili za watanzania kwa kutowa utabiri unaofanana na kifo, Dk H Mwaikembe ameponea chuchupu na amekuwa kimnya sasa kama vile maji ya mtunginei.
 
Jamani huyo ni mtabiri. Aliwahi kunitabiria kuwa nitaneda kufanya kazi nje ya nchi na ikawa kweli. Aliwahi kunitabiria nitashindwa ubunge na kweli ikawa. Mie namuamini. Ah
 
Huyu mzee ameangalia Air Force One siku za karibuni nini? Lakini vile vile haya mambo yanawezekana especially kwa hawa viongozi wetu wanaosafiri na commercial airlines.
 
Hivi huyu ni Sheikh kweli au namna gani?

Kwani Sheikh wewe unavyofahamu nini hasa?.

Maana ya sheikh ni hii hapa

Sheikh, also rendered as Sheik, Shaykh, Shaikh, Cheikh, and other variants (Arabic: شيخ‎, shaykh; pl. شيوخ‎ shuyūkh), is a word or honorific term in the Arabic language that literally means "elder". It is commonly used to designate an elder of a tribe, a revered wise man, or an Islamic scholar. Although the title generally refers to a male person, there existed in history also a very small number of female sheikhs.
 
au hilary akienda somalia atatekwa nini? huyu sasa nae anetuambia tukae mkao wa kula kwani ni jambo la kusheherekea hilo?
 
Kama ni hivyo basi tuite kazi yake guess work badala ya prophecy. Au unaonaje mkuu? By the way mkuu kuna tofauti kati ya prophesies na forecasts. TMA forecast the whether.

'Forecast' kwa kiswahili ni nini? Mara nyingi kwenye TV huwa wanasema 'Utabiri wa Hali ya Hewa' wakimaanisha 'Wheather Forecast'. 'Guess' nadhani kwa kiswahili ni 'kubashiri'.
 
Anachofanya huyu kibabu ni kinyume na mapenzi ya Mungu. Ni chukizo na dhambi kufanya utabiri au kupiga ramli au kusoma viganja. Na yeyote therefore anayefanya mambo hayo yanawezekana kwa kushirikiana na yule mwovu shetani. Hivyo yeye bondage na lucifer. Nchi yetu haiendelei kwa sababu ya watu kama hawa pamoja na mafisadi hawampendezi Mungu.

Amen...Ungewapa na mistari kwenye bible kabisa. Nadhani ni kitabu cha Samuel...hasa Mfalme Sauli.
 
Kuna mtu ameuliza, hivi huyu ni shehe kweli?

Na mimi naongeza kuwa, inakuwaje haya mambo ya uchawi uchawi na uganga wa kienyeji unashikiliwa na waislamu tu?

Mala nyingi wantumia quran, au tuseme uislamu unaamini uchawi?
 
Kuna mtu ameuliza, hivi huyu ni shehe kweli?

Na mimi naongeza kuwa, inakuwaje haya mambo ya uchawi uchawi na uganga wa kienyeji unashikiliwa na waislamu tu?

Mala nyingi wanatumia quran, au tuseme uislamu unaamini uchawi?
 
Lakini the way amabo yanavyoenda hapa TZ, lazima waliozoea vya kunyonga wanaweza fanya kitu... hata kama si kupindua. Hivi hiyo ripoti ya Meremeta unadhani BM na wenzake wanalala? Don't be fooled......
 
Back
Top Bottom