Ka 'nzi' - "wanakutana CCP kunani?"

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,483
40,002
Nimeamka na mlio wa ka'nzi' kunidokeza kuwa kuna mkutano wa Wakurugenzi wote wa Wilaya nchini huko CCP - Moshi. Wakurugenzi wa wilaya wana nafasi ya pekee katika uchaguzi. Ka "nzi" kameuliza tu mbona hatujasikia juu ya mkutano huu au kuambiwa nini kinaendelea... ?
 
Hawa wakurugenzi wa wilaya huwa ni makada wa CCM au ni purely civil servants -- ambao wanatakiwa wasiwe wafuasi wa vyama vya siasa??
 
Duh hii kali, Wakurugenzi wa Wilaya kufanyia mkutano CCP,( labda hoteli zimejaa) give them the benefit of doubt. Enzi za Karl Peters zinarudi, mpaka baada ya uchaguzi.

By the way what is the Agenda and why the secrecy in the meeting.

Kama umaarufu wa chama kikongwe umepungua hauwezi kurudishwa na nguvu za Dola.

Let the will of the people prevail.
 
Nimeamka na mlio wa ka'nzi' kunidokeza kuwa kuna mkutano wa Wakurugenzi wote wa Wilaya nchini huko CCP - Moshi. Wakurugenzi wa wilaya wana nafasi ya pekee katika uchaguzi. Ka "nzi" kameuliza tu mbona hatujasikia juu ya mkutano huu au kuambiwa nini kinaendelea... ?

Ninavyojua mimi Wakurugenzi wa Halmashauri ni wajumbe wa ALAT (Association of Local Authorities of Tanzania) na sasa kuna mkutano wa ALAT huko Moshi uliofunguliwa na Kikwete. Wajumbe wa ALAT ni Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri na Wakurugenzi. Kuhusu huo mkutano wa CCP sijui.
 
Hawa wakurugenzi wa wilaya huwa ni makada wa CCM au ni purely civil servants -- ambao wanatakiwa wasiwe wafuasi wa vyama vya siasa??

wako chini ya local government ambayo na yenyewe iko chini ya PM na wao wako answerable to the PM. Wanatakiwa wasiwe lakini ndivyo walivyo
 
Nadhani wanaandaa mpango Mkakati wa jinis gani ya kuhakikisha CCM inashinda jimbo la Moshi Mjini..Kazi kweli kweli!
 
Ni ajabu, imeelezwa kwamba Rais alikuwa ziarani Moshi hivi karibuni lakini haikuelezwa aziara hiyo ilikuwa juu ya kitu gani.
 
Ninavyojua mimi Wakurugenzi wa Halmashauri ni wajumbe wa ALAT (Association of Local Authorities of Tanzania) na sasa kuna mkutano wa ALAT huko Moshi uliofunguliwa na Kikwete. Wajumbe wa ALAT ni Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri na Wakurugenzi. Kuhusu huo mkutano wa CCP sijui.

Nji hii,nyakati hizi za uchafuzi(eeeh sorry uchaguzi) there is always more than what meets the eye....its good to be a positive thinker anyway!:A S tongue:

@Mwanakijiji..waiting for them data.....
 
alienda kufungua mkutano wa ALAT taifa (hicho ndicho tulichoambiwa).
 
Nji hii,nyakati hizi za uchafuzi(eeeh sorry uchaguzi) there is always more than what meets the eye....its good to be a positive thinker anyway!:A S tongue:

@Mwanakijiji..waiting for them data.....

sawasawa, Mwanakijiji tunasubiria data kwa hamu ila huenda umeshutua na tutaishia kukamata manyasi nyoka wakiwa wameshakimbia.
 
Nimeamka na mlio wa ka'nzi' kunidokeza kuwa kuna mkutano wa Wakurugenzi wote wa Wilaya nchini huko CCP - Moshi. Wakurugenzi wa wilaya wana nafasi ya pekee katika uchaguzi. Ka "nzi" kameuliza tu mbona hatujasikia juu ya mkutano huu au kuambiwa nini kinaendelea... ?
ALAT (Association of Local Authorities of Tanzania)
 
Ninavyojua mimi Wakurugenzi wa Halmashauri ni wajumbe wa ALAT (Association of Local Authorities of Tanzania) na sasa kuna mkutano wa ALAT huko Moshi uliofunguliwa na Kikwete. Wajumbe wa ALAT ni Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri na Wakurugenzi. Kuhusu huo mkutano wa CCP sijui.

Hawa ALAT (sounds like ALERT! though) huwa wanakutana kila mwaka, au kila baada ya miaka mitano?
 
Pia Raisi alikuwa hapa Dodoma jana; sijui ni kuhudhuria usomwaji wa baudget? Well kuna ziara nyingi sana za Raisi huwa hatuambiwiw sishangai lakini!
 
Ni ajabu, imeelezwa kwamba Rais alikuwa ziarani Moshi hivi karibuni lakini haikuelezwa aziara hiyo ilikuwa juu ya kitu gani.
Labda wanaenda kuonyeshwa mafuta machafu yaliyowekwa kwenye gari la rais.
 
ALAT (Association of Local Authorities of Tanzania)
Association hii kwa maslahi ya nani? au kama ni ada basi kuwepo na association ya mawaziri basi.
Huu ni ujinga wa kishamba maana kama mkuu wa wilaya au mkurugenzi anapaswa kuwa na mawasiliano mazuri na wenzake but pia wanapaswa kuripoti mahala (PM) kwa majukumu yao. Au niambieni kwamba kuna mahala hawa wakurugenzi wanahujumiwa kiutendaji thus wanahitaji umoja wao.
Kwa jicho langu naona kwamba hii association ipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya chama tawala.

Hivi ile badiliko la katiba ya ccm kwamba makatibu wa kuu wa jumuia za chama kuanzia ngazi ya taifa wawe wakuu wa wilaya, wataitekeleza hata kama tukiwapa chadema nchi?
hapo ndo mjue uwezo wao wa kufikiri hawa WATAWALA
Pia Raisi alikuwa hapa Dodoma jana; sijui ni kuhudhuria usomwaji wa baudget? Well kuna ziara nyingi sana za Raisi huwa hatuambiwiw sishangai lakini!
Pending business zipo mezani kwa Muungwana ilhali yeye yupo bize anaenjoi uzuri wa nchi na dunia.
 
Association of Jamii Furum Members (AJFM) mnakutana lini?
Agenda za umoja wenu ni nini?
Maslahi ya Ajira zenu za kuteuliwa?
Jinsi ya kumfurahisha aliewateua?

Au ni jinsi gani mnaweza kufanya kazi vizuri kwa maslahi ya wananchi ambao wanampinga aliewateua??
Kwa kweli ajira zenu ni ngumu alizima muunde umoja, mshirikiane,
 
Back
Top Bottom