JWTZ wavamia kituo cha FFU na kukisambaratisha

Hao watakuwa walichezea muungano, mukulu si alisema atakaye chezea muungano atakiona cha moto na ile ya waziri mukubwa ya wapigwe tu na bado wafuate ya lukuvi kuwa watachukua nchi. si wanawafungua akili na kuwajengea tamaa na mawazo ya mambo hayo kwa kauli zao.
 
hawa wanajeshi wa kuvunja tofari za kuchoma kwa kichwa teh teh wabongo tuna vioja kwel.
 
Yale yale usichopenda kutendewa ,usimtendee mwenzako,maana siku ya kutendwa huijui.Poleni FFU mjifunze kutokana na makosa yenu.Inawezekama walijua ni raia wa kawaida kumbe matatizo.

Ndicho walichokpata hao
 

Attachments

  • 1398799488573.jpg
    1398799488573.jpg
    10.8 KB · Views: 2,414
Safi sana.
Hivi hawa JWTZ walikuwa wapi kipindi cha Bunge la Katiba Kutoa Kichapo. Natamani BMLK likianza tena JWTZ wakatoe Kipondo Bungeni.
 
Hao ffu wapigwe tu maana wameoea kuwapiga wananchi bila kosa lolote nao lazima waonje radha ya kipondo nasema WAPIGWE TU maana tumechoka.

BACK TANGANYIKA
halafu jeshi liki-extend vibano usilalamike

sheria mkononi ya aina yoyote hairuhusiwi wala si ya kuisifia kwani kuna siku itakugeuka
 
Mtoa maada ameandika Jwtz wavamia kituo cha FFU na kukisalambatisha mwishoni anaandika kuwa wakazi wa eneo hilo waliona baaz yao wakikimbilia shamban mtoa maada hajui tafaut ya kituo na kambi FFU hawana vituo bali wanakambi na hapo kambin kuna kila aina ya silaha za moto leo iweje watu waliokuja mikono mitupu wasambatishe watu wenye silaha?.huo ni uongo unafurahisha watu wasiojua vitu hiv


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Safi sana Jwtz....



Mkuu ilikuwa ni aibu, wananch tulipoona jwtz wanavamia ile kambi tunashangilia, mara kidogo wale wajeda wakala kichapo,kdogo wakaanza kutimua mbio kwny mashamba ya mahindi, wametuaibisha xn hawa wazee wa vifaru..
nkataman kwenda kuwasaidia bt kuona ffu wameizunguka kambi yao namie nkalala mbele, cha kufia nini..! hawa wajenda sumtym kumbe inakuwaga ni mikombat tu
 
Jamani habari za kintelegensia hazi kufanya kazi mpaka jkt 25 wanajimobilize na kwenda kuvamia kambi ya ffu. Kuna tatizo mahali.

Lakini siku moja kwenye malumbano ya hoja itv kuna babu mmoja nilimsikia akisema wakati wa awamu ya kwanza Nyerere alikuwa na askari wa kikosi cha inzi au nusanusa hebu mfikirie kukianzisha tena. Kwenye sherehe za muungano au uhuru waombwe nao waonyeshe show yao moja.

Utamsikia Masako itv akitangaza guard inayofuaaata ni kikosi chaaa inziii maarufu kwa jina la nusanusaaa....!
 
Maskini Nipashe. Hawa ndo askar wa jwtz wanaosifiwa na Nipashe kuwa wamesbaratisha kambi ya FFU Arusha.

Ni baada ya kukamatwa kama mmbu na kupewa sulubu ya kijeshi, unamwagiwa maji chini halafu unatakiwa kuyakausha kwa nguo ulizovaa.

Wengine walikimbia baada ya kuona mziki mnene lkn wamesha julikana kambini kwao na hatua za kinidham zinaendelea juu yao.

Ibara ya 147(2&4) zinawatambua kuwa wote ni wanajeshi. Ni ujinga kwa wanajeshi kupigana au kudharauliana kiasi hiki. Na huu wote ninufhaifu wa walimu wao vyuoni wanawafundisha kudharau wengine
 

Attachments

  • 1398830202946.jpg
    1398830202946.jpg
    75 KB · Views: 197
Back
Top Bottom