Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 1,211
- 230
Now you know,go for it!Sikulitambua hilo!
Now you know,go for it!Sikulitambua hilo!
Now you know,go for it!
education,art,theology etc
Mtu mmoja tu atakayesikia kuna nafasi aniambie nitamsaidia bila malipo yoyote, ili mradi tu awe na vigezo vyote.
Je, Wana JF mhitimu wa shahada ya 1 anaweza Kunufaika kwa kiasi gani akijiunga na JWTZ/TPF kwa kipindi hiki cha ukosefu wa ajira kama wimbo wa taifa letu?.Tafadhalini sana mchango wenu ni wa muhimu sana kwangu wakuu.:spy:
Inategemea na degree yenyewe.
Kama ni daktari basi unaanza na nyota tatu yaani captain kwa degree ya kwanza, degree ya pili na tatu daktari anaanza na meja. Degree nyingine wanaanza na nyota mbili kwa barchelor.
Kazi ya jeshi ni adventurous. Kama lengo lako ni kupata ajira tu, kazi hii achana nayo - hutaiweza. Inahitaji mtu aliyejiandaa kisaikolojia na aliye tayari kujitoa. Hii siyo ajira ya kawaida. Ni kazi ambayo "anything anytime" ukiambiwa kazi Mwanza no discussion na unaona tu kwenye ubao wa matangazo (Order) saa nane mchana.
nawasikiliza tuuuuuu nipokwenye no discution apo nimepakubal mkuu
Degree, utaanza na nyota mbili (luten ) ila baada ya kupitia mafunzo ya officer kadeti, ambayo kwa mtu mwenye degreehua miezi sita, ila kabla ujaenda katika kozi hiyo utapitia kozi ya pamoja ambayo ni miezi 6 jumla ina kua mwaka, maslai ni mazuri na ukitanguliza uzalendo itakua nzuri...
Vipi kipindi cha mafunzo kuna malipo yoyote?Pia vipi kama una CPA unaanza na cheo gani?
jambo usilolijua ni kama usiku wa gizaaa ni bora jukwaa zima mkakaa mkanisikiliza kila ninachosema msije pokea taarifa kwa watu ambao hawajui hata sajenti yupoje ! Anavaa niniunaanzia na ukopro