degree ya muziki, kiswahili, historia[/QUOTE][QUshahada za kijinga kama zipi mkuu?
Lakini ni kwanini wasomi wengi wanawaza mishahara na malupulupu makubwa kuliko kuwaza namna ya kuwakomboa Watanzania maskini ?Maana kila mwenye kishahada chake anafikilia kazi yenye malipo manono kwa kazi isiyotoa jasho!
Kwa nini msiwaze kwenda vivijini kuelimisha watu namna ya kilimo bora,kufundisha shule zisizo na walimu,kuelimisha watu mambo ya afya,kuunda vyama vya akiba na mikopo,kuelimisha na kuonyesha namna ya utawala bora ngazi ya vijiji,mitaa na kata?
Mimi nasema siku za wenye tamaa ya madaraka, utajiri wa haraka na wasiopenda kutumia elimu zao kwa manufaa ya umma ziko ukingoni.
Ukingoni kivipi?Je tukikupa hyo kaz isiyo na maslahi ya kwenda kuwaelimisha vijijini bila malipo utaiweza?Usipost post kwa kutafuta sifa na kuosha jina hapa siyo mahala pake mr.Hengo!
Unaanzia na UKOPRO
acha uongo
on jinsi alivyo mzembe hajui hata rank inavyoandikwaunaanzia na ukopro
yaani wewe hujui kitu halafu unajidai unachangia ,unachochangia unajipotezea muda ni bora uwe kimya uache wajuaji wa mambo tusemenambie ukweli ni upi!
yaani wewe hujui kitu halafu unajidai unachangia ,unachochangia unajipotezea muda ni bora uwe kimya uache wajuaji wa mambo tuseme
ona jinsi alivyo kilaza yani badala ya koplo eti kopro toa ukilaza wakohahahaha! Vijana hampendi ukopro eeeh?
Mr. JERO mimi sina tatizo na malipo, tatizo hapa ni malupulupu na mishahara mikubwa kuliko vipato vya Taifa hasa ukilinganisha na vipato vya watanzania walio wengi.Je, ww unafikiri ni sahihi mtu analipwa Ml.8 hadi 17 + malupulupu,housing,transport na matibabu huku wengi hawana uhakika wa kula?Mimi ninadhani kuna haja kuwajali wenzetu kwa kutanguliza ubiandamu, uzalendo ili kujenga umoja na usawa kwa Taifa letu.Kama nawe unatamaa ya fisi ya kupenda kujilimbikizia Miposho, malupulupu na Mishahara mikubwa huku Watanzania walio wengi hawana uhakika wa kula basi nawe hutufai.
ona jinsi alivyo kilaza yani badala ya koplo eti kopro toa ukilaza wako
wewe kweli mwendawazimu,lutambi alipopondea degree ya kiswahili kwamba ni ya kijinga wewe ukatetea kwamba kiswahili kinalipa,swali wewe una akili? Alaf unavijua vipaumbele vya jeshi kwenye ajira?wewe mwalimu wa kiswahili hutufai jeshini.
degree ya muziki, kiswahili, historia
Lakini ni kwanini wasomi wengi wanawaza mishahara na malupulupu makubwa kuliko kuwaza namna ya kuwakomboa Watanzania maskini ?Maana kila mwenye kishahada chake anafikilia kazi yenye malipo manono kwa kazi isiyotoa jasho!
Kwa nini msiwaze kwenda vivijini kuelimisha watu namna ya kilimo bora,kufundisha shule zisizo na walimu,kuelimisha watu mambo ya afya,kuunda vyama vya akiba na mikopo,kuelimisha na kuonyesha namna ya utawala bora ngazi ya vijiji,mitaa na kata?
Mimi nasema siku za wenye tamaa ya madaraka, utajiri wa haraka na wasiopenda kutumia elimu zao kwa manufaa ya umma ziko ukingoni.
Nafurahi kusikia JWTZ kutangaza nafasi za kujiandikisha kuwa Mwanajeshi,kwani JWTZ ni ya Wananchi na watoto wa Wananchi ndiyo wametarifiwa kuhusu nafasi za kujiandikisha.Ni fursa ya wanaohitaji kuzichangamkia.pia nasikitika kuona mwana jf mwenzetu kuhisi kuwa ukiwa MWANAJESHI UTAROGWA!kwanza atambue kuwa katika kada zote za maeneo ya kazi za Umma,JESHINI ndiyo sehemu pekee pasipo kuwa na majungu, unafiki,siasa za kijinga, kuoneana wala uchawi anaouogopa.JESHINI mambo yote huendeshwa kwa nidhamu ya hali ya juu kwa makamanda na wapiganaji.Hivyo mambo huendeshwa kwa amri na maelekezo(Line Organisation philosophy)