JWTZ liwe na Wazanzibari tu!

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130




http://www.mzalendo.net/habari/jee-...badala-ya-makambi-yote-kujaa-wakuria#comments

Jee nikwa nini tusiwe na vijana wetu wenyewe ktk JWTZ Z’bar Badala ya makambi yote kujaa Wakuria?
Mimi nahisi hii ndio kutawaliwa ki-Jeshi na watu tusio wafahamu wala wasio na asili ya Zanzibar. Haingii akilini kuwa makambi yote ya kijeshi yalio inezwa mitaani Zanzibar ukiangalia yamerundikana wanajeshi wa kigeni Wasio na baba,babu dada wala kaka Zanzibar jee tunategemea nini upepo ukibadilika.
Hii ni hatari tena kama Baraza letu BLW halikusikiliza kilio chetu basi hata wao iko siku watajuta, Hawa wanaweza kuja kufanya vitimbi na sisi Wzanzibar na viongozi wetu tukajitafuta. Nisawa na msemo usemao zimwi likujualo halikuli likakwisha? lakini jee hawa ni Mazimwi wenye kutujuwa? jee ingekuwa kuna vijana wetu ktk makambi si tungeona tuna home boys wetu ktk territory yao?.
Kwanza ktk Jeshi la JWTZ lina ubaguzi mkubwa, huwezi kupata nafasi ya Jeshi kama ni Mzanzibar mwenye asili ya kihindi,kiarabu,kingazija na hata ukiwa mweusi basi asili yako iwe imetokea Bara nitabu kuona mtu mweusi baba mama ni Mzanzibar na kuwa ktk Jeshi la JWTZ a.).
B.) Ukiwa Mzanzibar ktk Jeshi la JWTZ basi huekwi Zanzibar unatupwa Bara tena Mikowani ili uwe mbali na Zanzibar kabisa, jee hii si mbinu ya kutawaliwa sisi kijeshi Zanzanzibar?. kwani kuna kosa gani la kuwa kambi za kijeshi Zanzibar kusimamiwa na Wzanzibar wenyewe na kuwa na vijana wetu wenyewe kulinda nchi yao?.
Mimi na hisi hivi sasa nilazima makambi ya Jeshi yasimamiwe na vijana wetu sio kuletewa Sura za Tanganyika kujazwa katika makambi lengo ni nini? tuseme ccm/smz hawajiamini kwa raia wao? lakini wajuwe tu kuwa upepo unaweza kuwageukia wao smz na wakishapewa amri hata Raisi wa Watu wa Zanzibar Dr Shein wampeleke kinguvu Bara basi hawajali wanampeleka.
Mimi huona ushungu sana kumuona Raisi wetu siku za Sherehe za mapinduzi ya Zanzibar January 12 kukaguwa vikosi vya JWTZ ukiangalia hizo sura zenyewe ni Wakuria watupu, hii ni aibu kwa ulimwengu mzima kuwa vijana wetu tunao lakini tumeleta wageni kuwa wanajeshi ni (sad & shame).
Bado tu smz hamuja soma? niasari ngapi hutuletea hawa Wakuria Zanzibar kuna kipindi kulichamiri wizi wakutumia silaha na ktk uchunguzi ilionekana JWTZ wanashiriki kikamilifu kufanya ujambazi huu, kuna mara ngapi vilikuwa vikikamatwa vitu tv,mafrege,pikipiki vyawizi vimo ktk meli lao la kijeshi lile la Kasa vikisafirichwa kupelekwa Bara?.
Hawa ni majambazi na tunawalea wenyewe na ndio ukaona hata wakati wa uchaguzi hugeuka na kuonyecha rangi zao za unyama ku-rape na kufanya mambo mengi tu yakinyama ktk jamii ya kizanzibar na hufanya hivi kwa kuwa hawana damu yao hapa.
Lakini vijana wetu sizani kuwa wanaweza kufanya unyama huu kwa ndugu zao, wahame bwana kwanza vipi kambi zijengwe mitaani au na sisi tunataka tutokezewe na mabomu ya Gongolabota? kawaida ya majeshi ulimwenguni hukaa mipagani sio mitaani kama hawa, lakini hawa hawalindi ulinzi wa mipaka wanalinda itikati za chama na kututawala kijeshi. mungu ibariki nchi yetu Zanzibar.
 
Naunga mkono mia kwa mia. Maneno yako swadakta. Lakini ujue kuwa ZNZ ni koloni la Tanganyika. Je vipi tutajikwamua na hili tatizo. IDUMU ZNZ.
 
Naunga mkono mia kwa mia. Maneno yako swadakta. Lakini ujue kuwa ZNZ ni koloni la Tanganyika. Je vipi tutajikwamua na hili tatizo. IDUMU ZNZ.

Mimi nijuavyo Tanganyika ni koloni la Zanzibar, kwani Zanzibar ni nchi, Tanganyika iko wapi? Rais wake nani?
 
Mimi nijuavyo Tanganyika ni koloni la Zanzibar, kwani Zanzibar ni nchi, Tanganyika iko wapi? Rais wake nani?

Huo ulikuwa ujanja tu wa MWALIMU. Kwani nani asiyejua kama Tanganyika ipo. Na katiba inayotumiwa ni ile ya Tanganyika. Hii ilikuwa janja ya MWALIMU eti kuiita TANZANIA.
 
Tatizo vijana wa zenji hawana sifa ya kuwa masoja. Hata waziri wao kakiri juzi pale barazani. Waache wkurya waendelee kula urojo na pweza huko zenji
 
wakurya wapo zenji na wazenji wapo bara, hii ni mbinu iliotumiwa makusudi na serikali yetu pale inapo bidi kutoa kipigo kwa wananchi kusiwe na mtu wakusema "hawa ni ndugu au jirani zako", una piga mpaka kieleweke...
 
Hili nalo neno. Kama itawezekana hili nalo liwekwe kwenye katiba kuwa wanajeshi wa mara wakae mara, hapo uonezi utakwisha. Pia viongozi wa kila mkoa wawe wazawa wa mkoa husika hapo mikoa yote itabalance kwani system ya sasa inawafanya mafisadi kuiba kiulaini mno, kwani mkurugenzi wa kigoma unamkuta eti mchaga sasa ataachaje kuiba apeleke kwao.
 
Hili nalo neno. Kama itawezekana hili nalo liwekwe kwenye katiba kuwa wanajeshi wa mara wakae mara, hapo uonezi utakwisha. Pia viongozi wa kila mkoa wawe wazawa wa mkoa husika hapo mikoa yote itabalance kwani system ya sasa inawafanya mafisadi kuiba kiulaini mno, kwani mkurugenzi wa kigoma unamkuta eti mchaga sasa ataachaje kuiba apeleke kwao.
Ninyi watu wa ajabu sana. Mtaendelea kutafunwa na ukabila na udini hadi mjikute kwenye karne ya stone age.
 
..bora muanzishe jeshi lenu wenyewe wa-Zanzibari.

..labda ktk jeshi la wananchi wa Zanzibar mtasema wananchi wa Pemba wasitumikie Unguja, and vice versa.
 
Tatizo Wanzanzibar mmelegea sana na kwanza nakushangaa mtoa hoja eti wakurya wamejaa! Hv haujui hao ndo chimbuko lako? Maana hicho kisiwa kilikuwa pori 2 na wa2mwa wengi walitoka bara,crap!
 
Muungano wetu umepoteza maana tena ivi kwanini tusitengane tu? kuna faida gani ya huu muungano usiokuwa na ridhaa ya waliounganishwa?
Bara kuna mawaziri wa muungano wazenj lakin wazenj wanalalamika kuonewa, zenj hakuna mbara ambae anaweza kugombea nafasi hata ya ubunge akapata na bara wanalalamika... what is this muungano for??
 
WaZanzibar si wamelegea sana hao chunguza 10 kwa 4 ni ma.....$# sasa huoni utaleta jeshi la mashoga safi wakurya kura kura bataaaaaaa sanaaaaa
 
Back
Top Bottom