Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

Status
Not open for further replies.
We ben sa8 ni wa kuogopa kama ukoma.......! Mfitini sasa ni wewe!

Kama viongozi wa chadema wana busara, si wakushirikiana na wewe, na ni wa kutimua maramoja.


acha majungu, na ukigeugeu kama mwanamkeeeeeee!!!

na hao walio kutuma, we mwenyewe utakuja anika ufirauni wako hap.........!

Tunamuhitaji zitto, kwa ustawi wa wanakigoma, chadema na taifa kwa ujumla,
tunamuhitaji dr silaa, kwa ustawi wa wana karatu, chadema na taifa kwa ujumla
tunamuhitaji mbowe kwa ustawi wa chadema, wana hai na taifa kwa ujumla



acha ufitini

Kila chenye mwamzo kina mwisho wewe ucwe nduza mwache afunguke mchawi tumjue nchi hii inahitaji ukombozi kwakweli ztto ztto ztto watu wanakufa sababu ya ukombozi kwa bendera ya cdm hakika mungu yupo nasi cku zote we mwanakigoma babako akianza kubomoa ukuta wa nyumba mnayoish utamwacha kwa sababu ni mzazi wako? La! Hasha utamzuia! Kwakweli mungu na atusaidie
 
blueray; Sasa nawe unasema hii uzi ifungwe wakati kila kitu tunakipata humu! Mi nimeipendwa uzi huu na nitakuwa kinyume nawe ktk hali ya kusema sitaki huu uzi ifungwe!

Ni vizuri kupata taarifa, lakini humu jf hatutapata solution sana sana tutakuza chuki na kuleta kasoro kwenye chama.

Na kingine mambo mengine kama ya sumu ni criminal na labda kutaka kuchafuana zaidi. Na kama hili lilikuwepo kweli sioni kwa nini hawa wasomi wenzetu waliamua mambo yaishe kishikaji. Swala Lao lijadiliwe na kupewa ufumbuzi ndani ya chama.
 
hamuaminiki tena, iwe wewe unaejidai umetoka kwenye hilo kundi au la! mtakuwa na laana si bure kafie mbele huko
 
Zitto,Mamuya & Ben mnafanya kitu sahihi kbs kuzungumza ukweli lkn sehemu si sahihi kbs. Mlitakiwa kuanzia kwenye vikao vya chama lkn cha ajabu mmekuja kuanzia huku JF.Wote mnatafuta CHEAP POPULARITY.

MUNGU ANATUMIA CDM KUWALETEA WATU WAKE UKOMBOZ KTK NCHI YAO,HIVYO HATA RUHUSU UCHAFU UPITISHWE KTK CHAMA HICHO,KILA KIONGOZ AMBAYE NI BOMU MUNGU ATAMKATILIA MBALI.
 
By ZZK
"Mwisho, nasikia sikia sana habari za kuchinjana. Kuuana nk. Nasikia habari hizi kwa watu wale wale wa kikundi kile kile. Moja, natoka Kigoma. Nimeaga kwetu. Nitakufa kwa amri ya Mungu. Siogopi kufa. Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao"

Huyu ndiye anataka tumpe nchi 2015.Good speech the coming his exellence Mr.president
 
Binafsi namshukuru Mungu kwa 100% haya kutokea mapema. Hakuna uimara wowote ambao haupiti majaribuni. Hata dhahabu iliyo nzuri na yenye kung'aa hupitishwa motoni. Ili iwe safi husafishwa kwa moto, sembuse uimara wa Chama?

Mkuu Invisible let it be serious ili hatimaye CHADEMA wafanye kazi kama unified team. Inachosha na kuchukiza kuona chama kinachomulikwa kama tumaini la watanzania mafukara kinagawanywa vipandevipande kwa watu tena wa juu kutumika na kusaliti mabadiliko.

As far as bado kuna muda kiasi mbele, CHADEMA inaweza kubadili mashuda yake na hatimaye safari iwe salama huko mbele. Kitu kinachonishtua ni connection ya Kitila Mkumbo na Zitto. Nadhani kuna mambo mengi nyuma ya chama hiki.
 
Msidhani Obama alipowatuma watu wake kuja kuwafundisha wana intelijensia mbinu mpya alikuwa na lengo la kutaka demokrasia idumu hapa kwetu. Ubepari haujali haki wala usawa. Au mmesahau idadi ya watu waliotolewa kafara Sep 11? Najua ECHELON wataliona hili. Walione. Kwani nikifa kitabadilika nini?

Wote ninyi mnaogombana ni wajinga na wapumbavu... Wote! Mko kama kondoo. Mnapelekwa machinjioni huku mkipigana vikumbo kana kwamba hilo litamfanya mchinjaji awahurumie.

Kumbe utabiri wa CCM kuchukua dola 2015 ni wa kweli? Du! Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuiua CHADEMA!

Makofi tafadhali!
 
zitto acha kungangania chama kinachokubagua kwa kuwa wewe si wa kaskaz jitoe sisi tuko na wewe wabaki wenyewe wanywa mbege
 
cdm kina damu yake?...au ndio ajari ya chacha wangwe nahisi tu lakini maana kijana anatoa kauli tata.....mara nimeaga,ahaaa!!!mungu pekee ndie atadumu wachawi na vigagula watakufa tu.
 
Dr. Kitila,

Ni kweli umeshriki/unashiriki madhambi haya? Kushiriki kwa akina Zitto na wenzake wale wala haishangazi maana tunajua tabia yao. Lakini kwa mwanazuoni kama wewe Kitila na kwa haiba yako kushiriki njama kama hizi ni najisi iliyo kuu kwa utu wako, utu wa wanachadema na utu wa wananchi wa Tanzania kwa ujumla. Nia na malengo yako ni nini daktari hadi ukajiingiza kwenye kundi hili? Kutajwa tu kwako katika mipango dhalimu kama hili ni dhambi kubwa achilia mbali kushiriki kwako kama ilivothibitishwa na Bw. Mamuya.


Dr. Kitila waambie ukweli watanzania, nasi tupate psychological console baada ya kuumizwa na taarifa hii mbaya dhidi ya CHADEMA.
 
watanzania hatunatofauti na wana israel walivyokuwa wanakalibia kanani ndivyo migongano iliibuka! Kwa wale wenye kutizama kwa jicho la tatu watajua kuwa hii ni kazi ya shetani.Mungu atutie nguvu tuweze kufika katika nchi ya ahadi ambayo ni ukombozi wa kweli!
 
kwa kufanya hivi ndo chama kitadumu?

Chama kitaimarika zaidi kuliko haya yangefichwa yangekuwa na madhara baadae. Ni ukweli usiopingika kuwa Zitto kunawatu anaowatumia ili kuwafhoofisha wakubwa wake kwenye chama, sifahamu lengo lake ni nini ila inawezekana anataka awe juu yake ili ajitengenezee njia ya urais 2015 kama anavyojitangaza kwenye vyombo vya habari. Mfano Habib Mchange amekuwa akilionyesha hili mara kwa mara kwenye page yake ya facebook, amekuwa akimsifu zitto kwa jitihada zake za kuutaka urais, pia nilimnukuu akishabikia kadi ya CCM kuwa nayo Dr. Slaa ambayo kimsingi ni hoja nyepesi sana. Naamini muda upo wa Zitto Kabwe kujirudi vinginevyo unajichimbia kaburi la kujiua mwenyewe kisiasa. Binafsi sioni kwanini Zitto anautafuta urais kwa njia hizi, hii inatudhihirishia kuwa Zitto hapaswi kupewa nafasi za juu za chama vinginevyo ajirudi.
 
Nikweli watz.tunamtaka rais anayeamini katika mahali anakotokea au aliaga au hakuaga?Zitto nilikuwa nakuamini balaa! nanimekwishawahi pigwa mabomu kwasababu yako na CDM sasa leo umejionesho uwezo wako wakutatua mambo mazito yaqnayokukabili.unatoa hoja nyepesi kama mtoto nikujuavyo wewe kama huhusiki mbona ungeandika kumshinda hata Martin Luthur king.kwaheri Zitto sikuamini tena kwasababu hujitambui.
 
Mizengwe ikishazidi ndani ya chama, vikao rasmi havisaidii kitu kwani mikakati ya wanafiki huwa haiwekwi wazi kwenye vikao rasmi; bali vichochoroni. Ndio jinsi sumu za ukabila, ukanda na udini zilivyoenezwa nchini na viongozi wa juu wa CCM wakishirikiana na wanafiki walioko upinzani ikiwa nia pamoja na waliomo CHADEMA (tunazo kauli za wanasiasa mbalimbali katika ujinga huo). Katika mazingira ya namna hii ni bora mantiki ya kawaida iwekwe pembeni kuruhusu mchele/mtama umwagwe kwenye kuku wengi - ndio njia pekee ya kuwajua "wachawi"!

Kama kweli CHADEMA itashindwa kushughulikia na/au kuhimili tuhuma hizi zinazomwagwa hadharani na vijana wake wenye majina "yanayovuma sana" kila kukicha basi ni bora kife. Kufikia hapo si kwamba tu kitakuwa kimeshatudhihirishia kwamba nacho kimeshindwa kujenga mfumo imara wa chama makini cha siasa, bali pia (mbaya zaidi) hakina "uongozi" kama kilivyo chama tawala ambacho kimeishia kuongozwa na vikundi vya mafisadi na kutegemea vyombo vya dola. It is exceptionally sad to see all efforts to coax into life this yet one significant ray of political hope being laid waste by yet another group of ****** so soon. It reflects badly on us all who want to see serious change to the country's value and governance system. I wish I am dead wrong.
 
PLEASE CHADEMA LEADERS TAKE ACTION AS SOON AS POSSIBLE, We need to know the truth about the whole issue, Otherwise I'll lose confidence on you leaders and CHADEMA in this struggle of eliminating "Mafisadi". We are tired with CCM style of handling issue, Like "magamba" and many more. Tunataka kuona hatua zinachukuliwa haraka iwezekanavyo ili kujenga taasisi imara na yenye kwenda na kasi katika kushughulikia mambo mbalimbali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom