Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Barubaru,hivi unaongea nini?Hivi unajua kama serikali inatoa ruzuku hiyo kwa taasisi zote za afya bila kujali ni dini gani?Hizo bil 60 sijui 91 unajua zinatolewaje na ni kwaajili ya nini?Tatizo watanzania tunapenda kusikiliza hadithi badala ya kufanya utafiti!
 
Last edited by a moderator:
Yani waislamu ndio wanaweza kuongoza dunia!!! kweli hiki ni kitendawili, mbona nchi zilizo na vurugu duniani ni nchi za kiislamu, au hiyo ndio maana ya kuweza kuongoza dunia, kwa kujitoa muhanga kila kukicha, somalia kila siku kupigania madaraka , huo sio ukweli, ukweli ni kwamba kama hatuthamini wengine kwa dini zao, itikadi zao, na kuwa na hiyo bias "defect in reasoning/falacy" kwamba waislamu ndio pekee wanaweza kuongoza dunia tutakuwa tunauana kama kuku... so tuheshimu kula dini, kila itikadi na kila kabila

Hata vurugu ya rwanda pia ni waislamu
 
Mwakolo,

Zilitokana na kukubali kugeuzwa na kuamini kuwa kuwa kuna mtu bora zaidi ya mwenzake mmoja wao kujua kuwa anaonewa na kudharaulika, na kutoheshimu mawazo na imani za mtu mwingine zilizopandikizwa na watu ambao walikuwa sio wa hizo nchi kwa minajili ya kuwatawala kifikra. Ndicho chaja TZ kuna watu tunawaamini kotoka nje kwa kutudanganya na mikate ili tugombane watutatwale.
 
Ni kweli unachokiongea maana hiyo mahakama ingeanzishwa na watanzania tungelazimishwa kuifuata watu wengine wange teseka sana.Na pia watambue kuwa nchi yetu haina dini!
 
Wadau tuelewe kuwa katiba ya tanzania inabainisha kuwa tanzania haina dini lakini watu wake wanadini na kwamba kila mtu anauhuru kikatiba kuabudu dini aitakayo na kuisambaza. Kwa mujibu wa waislamu, mahakama ya kadhi ni sehemu ya ibada na ni uhuru wao kuidai ukizingatia kuwa huko nyuma ilikuwepo na hakukuwa na machafuko yeyoye tofauti na baadhi wanavyofikiri. Kwa vile mahakama hiyo itahudumia watanzania na kuhusisha sheria ni lazima mchakato wake pia ubalikiwe na serikali. Mnjyonge mnypngeni, haliyake mpeni. Mimi si muislamu lakini sioni shida wakiwa na
mahakama yao.
Naomba kuwasilisha
 
Barubaru,hivi unaongea nini?Hivi unajua kama serikali inatoa ruzuku hiyo kwa taasisi zote za afya bila kujali ni dini gani?Hizo bil 60 sijui 91 unajua zinatolewaje na ni kwaajili ya nini?Tatizo watanzania tunapenda kusikiliza hadithi badala ya kufanya utafiti!

Nashukuru umejipambanua kwa kusema hujui. Sasa tulia nikujuze.

Napenda nikujuze kuwa kutokana na MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 . Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 (sasa hivi yanapata Billioni 91 kila mwaka. Na pesa hizo ni admin cost. Lakin vile vile hospitali hizo zinapokea madaktari na wauguzi na hata vifaa vya tiba kutoka Serikalini.

Suala la kujiuliza Je Serikali ya JMTz imeridhika kupanga katika hospitali hizo na kusahau kujenga za kwake.

Kumbuka kuwa Bilioni 91 zinaweza kujenga hospitali tano za ngazi za wilaya kama ilivyo hospital ya Amana Ilala na university moja. Je kumbuka kama Serikali ingeanza hivyo toka 1992 mpaka sasa mngekuwa na hospital ngapi na university ngapi.

Jiulize kwanini pesa hizo wapewe kanisa?

fikiri nje ya box
 
Nadhani hata waislamu kama wana hospitali zao, na kuwa na MOU na serikari nao wanaweza kupewa fedha kiasi hata zaidi ya hicho ilimradi huduma zinazotolewa hazibagui watu kwa misingi yoyote lkn mimi nionavyo sikuzote tunalalamika bila kuchukua hatua. Msingi wa serikali kutoa fedha na vitendea kazi kwa hospitali za kanisa na hata binafsi unalenga katika kutoa huduma bora za afya kwa watu wake, kama mwanajamii unaona fedha nyingi zinapotea kwa namna hiyo ni jukumu lako kuishauri serikali ili ijitosheleze kwa huduma za afya na nyinginezo na kutotegemea watoa huduma za afya binafsi kwa faida au bila faida.
Hata hivyo mahakama ya kadhi ni suala la kiimani zaidi katika sheria za dini hivyo lingeshughulikiwa na watu wa dini husika kwani kila dini ikihitaji sheria zake za dini ziingizwe katika katiba na ktambuliwa tutakuwa na mahakama ngapi hapa Tz? Sheria za nchi ziwe na nafasi yake kwa maana ya kutoa haki kwa watu wote wa imani na itikadi mbalimbali.
 
Nashukuru umejipambanua kwa kusema hujui. Sasa tulia nikujuze.

Napenda nikujuze kuwa kutokana na MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 . Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 (sasa hivi yanapata Billioni 91 kila mwaka. Na pesa hizo ni admin cost. Lakin vile vile hospitali hizo zinapokea madaktari na wauguzi na hata vifaa vya tiba kutoka Serikalini.

Suala la kujiuliza Je Serikali ya JMTz imeridhika kupanga katika hospitali hizo na kusahau kujenga za kwake.

Kumbuka kuwa Bilioni 91 zinaweza kujenga hospitali tano za ngazi za wilaya kama ilivyo hospital ya Amana Ilala na university moja. Je kumbuka kama Serikali ingeanza hivyo toka 1992 mpaka sasa mngekuwa na hospital ngapi na university ngapi.

Jiulize kwanini pesa hizo wapewe kanisa?

fikiri nje ya box

mchango wako ni mzuri ingawa nia si lazima iwe nzuri sana.

Well, memorandum iliingiwa wakati serikali ikiwa haina njia ya haraka ya kuweza jijengea miundombinu ya hizi huduma zikiwepo shule na vituo vya afya.Nakumbuka ni kiindi ambacho rais wa bank ya dunia lisema ten akiwa nchini kama ishara kuwa anaongelea mazingira yetu.Kuwa wakati umefika ambapo kila kitu kimekuwa priority Africa yaa " kupata elimu ,unahitaji afya bora,afya bora inahitaji kuwa na chakula,elimu na hospitali bora","kupta hospital bora unahitajia hela, vifaa na mataalamu","kupata wataalamu unahitaji shule","kupata shule unahitaji hela, na ujenzi, na walimu bora" .Yote haya yaliilazimisha serikali kukata huu mzunguko usioisha.Ndio ikabidi watafunze quick fix ili taratibu waanze ktk hatamu.Na haikuwa rahisi tena kutaifisha kwani tayari walishahimiza wadau wajenge shule nyingi,hospital nyingi kwa hadi kuwa hawatazichukua tena.Wakati haya yanatokea idadi ya watu inazidi kuwa kubwa kwa haraka sana n amagonjwa mapya yanazidi kutokeza kadiri watu wanavyozidi pata kipato cha kuwawezeshesha kunywa na kula hovyo,kuwa na magari na kushindwa fanya mazoezi.magonjwa kama pressure,sukari , cancer yanahitaji gharama sana kwa taifa achilia mbali anguvu kazi inayopunguzwa.

Kwa bahati mbaya sana haya yakitokea tayari jumuia za kiislam zilikuwa zikianguka kwa kukosa umoja katk mambo ya msingi huku Bakwata ikiwa imepoteza katik vita ya kuweza washawishi waislam kuiamini na kufany anao kazi kwa pamoja.Matokeo yake waislam wakawa kama mkusanyiko wa mtu mmoja mmoja ambaye kutana na wenzio ktk Ibada na matukio mengi tuu.Waislam wengi wamefanikiwa kiuchumi kama mtu binafsi na hawakuwafanya uwekezaji binafsi katk hizo nyanja.Wengi wamewekaza katk mafuta, usafirishaji, vyakula, nguo ,madini etc.Taasisi kama Aga Khani, Ithnasheri , etc wamejiwekeza katik afya na elimu na hivyo kupata faida sana kwenye hilo.Shule nyingi za kiislam baada ya kukosa uongozi makini chini ya Bakwata wamefikia kuwa na shule, hata vituo vingine ambavyo vimekuwa na viongozi wanaozitumi akama mali yao binafsi.na Bakwata hawajapata ubavu wa kukohoa kwani hawana kujiamini kwani hawakubaliki.

Kuhusu kuhama toka katik pango hadi kuwa mwenye pango ni kazi inayohitaji umakini n amipango bora.Bahatai mbaya sana CCM hawakuweza hilo na Hata leo ukimuuliza JK hana jibu na hatokuwa na jibu kwani muda wake sasa umeshaanza ingi akatk kipindi cha lala salama.Kile kihoro ch akuondoka ikulu ndicho kitaanza mpelekesha,kwani atakuwa akijianda kuondoka, akiandaa chama chake kuingiza mtu mwingine,akijiaandalia ulinzi wa mamabo anayoona yatakauja mkuta akiingia rais mwingine.

Na itakuwa ngumu sana,kwani kama hawatengi hela,hawataweza zizuia hizo hela ili wajenge shule huku watu wanaumwa,watu wazidu umwa, watu wanakufa.Hapa wanahitajia ongeza hela, ili watakazolipa kwa Kanisa na taasis kama Aga khan, etc zitakozobaki ziongeze hospital na shule.Ingawa itachukua miaka bado kazi ipo.Shule za kata zinaweza rekebishwa,Ila zahanati na hospital za kata ni ngumu.

Pia mjue Catholics ni staborn.bado watajenga shule bora sana na wataweka bei ya juu na ubra wa juu bado watu watazisoma, na wataozisoma watakuja shikilia nafasi nzuri kila kitengo.Hiii hata kwa taifa kama U.S.A catholic wana shule ghali sana.Ingawa wengine wana shule nzuri ila za catholics zinajipambunua.Kwa leo hapa kwetu wana seminary zao.Tunaziona.

Ni kipindi cha waislam makini wajipambanue, waamu pitisha harambee kwa waislam wenye hela kam akina Baghresa,Dewji , Karamag etc wachangishe fedha zijengwe shule na hospital.Ila kabla wajenge taasisi zinazoaminika katika umma ili zianze kwa amani.Ithnasheri wameweza,kwanini wengine washindwe?
 
nimelipenda sana andiko lako, lkn fahamu tu wakisoma hili andiko hatalielewa, utasikia wakisema umetumwa. Je, unakumbuka kauli ya JK. kila siku wanalipigia kelele kanisa, hutawasikia hata siku moja wakitaja AGAHKAN, je, wajua kwanini haitaji kwa 7bu ni mwenzao...na hawataki kujishughulisha why MoU ilifanyika ktk mazingira gani. JK kawaambia wachape mzigo ili nao ikiwezekana wasaini hiyo MoU, wameishia kutapatapa kwa makelele yasio na maana. MPAKA SASA HAWANA CHUO KIKUU WALICHOJENGA KWA NGUVU ZAO HAPA TZ, HAWANA HOSPITALI YOYOTE, anayebisha ataje hapa chuo kikuu walichojenga au hospital waliyojenga zaidi ya hcs chache walizo nazo.

JIULIZE KWANINI WAISLAM WENGI WALIMCHUKIA DR.OMARY JUMA (marehemu sasa)

ok kaka ninachoweza kukushauri wewe na wa Tanzania kwa ujumla ni kua tujadili namna bora ya kuwafanya waislamu na wakristo kuishi pamoja kwa maelewano kwa sababu kilichopelekea hayo mlojadili kinaeleweka tangu enzi za Uhuru nyie mlilelewa mkaandaliwa mazingira sasa tukijazana kejeli na dharau tujenga kizazi cha kuigawana Tanzania ili tajiri unufaike na utajiri wako lazima ujue vya kuishi na maskini hamuoni jinsi baadhi ya mataifa makubwa pamoja na utajiri wao lakini bado Raia wao wanaishi kwa hofu kubwa saaana ?
 
Kwa mara nyingine tena hoja ya Bunge kupitisha sheria ya kurudisha ofisi ya Kadhi Mkuu linajitokeza tena huku waislamu wakitaka Bunge litunge sheria ya kutambua uwepo wake na wakristu wakipiga kelele kuwa kufanya hivyo ni kuvunja Katiba. Hoja yangu leo ni kuwa, Waislamu hawahitaji kibali cha serikali kuanzisha ofisi ya Kadhi Mkuu kushughulikia mambo yao yanayoendana na sheria za Kiislamu.

Waislamu wakae wao wenyewe wapitishe uwepo wa ofisi hiyo na kuendelea na shughuli zao. Ilimradi tu, maamuzi ya ofisi yao hiyo hayaingilii uhuru wa Mtanzania mwingine au utendaji kazi wa sheria zetu za makosa ya uhalifu na jinai. Pia waelewe ya kwamba uwepo wa ofisi ya Kadhi Mkuu ni subject ya Katiba ya Muungano na Mtanzania yeyote kimbilio lake la mwisho ni mahakama ya Kiraia. Zaidi ya yote, watakapoanzisha ofisi hiyo, wajue kuwa isiwalazimishe waislamu wote kutatua matatizo yao kupitia ofisi hiyo isipokuwa wale ambao kwa hiari yao wanataka kufanya hivyo.

Kanisa Katoliki kwa mfano linayo mahakama yake na sheria zinazoliongoza kanisa hilo (Canon Law) na mahakama yake hiyo ina ngazi za rufaa hadi Vaticano. Hata hivyo Mkatoliki ana haki ya kutumia sheria hizo kuhusu masuala mbalimbali ya kanisa lake, lakini anapofanya kosa la jinai, sheria za kiraia (civil law) zinakuwa na mamlaka. Hivyo basi, waislamu wasisubiri Bunge kupitisha ofisi ya Kadhi Mkuu bali waianzishe wao wenyewe huku wakiweka bayana kabisa kuwa ofisi hiyo haitahusika na makosa ya jinai au kupingana na Katiba ya nchi. Then, hakutakuwa na haja ya kugongana!!!
WEWE kaka yangu sikiliza maana mojawapo ya uislamu ni kusalimu amri hii ina maana kua maisha yetu yooote tumeyasalimu kwa mungu wetu ina maana tangu kuzaliwa mpaka kufa kwetu lazima tuishi kama mungu anavyotaka ikiwemo kuhukumu namna mungu alivyo agiza hizo sharia za kanisa ulizo seama (canon law) si sheria za mungu ni za mwanadamu ndo maana kila baada ya muda wnakaa kuzifanyia mabadiliko. biblia(YA KWELI) haina sheria.Hizo ni sheria zilizozingatia malengo ya kuanzisha ROMAN EMPIRE ndo maana muingereza aliposhtuka kua utawala wa malkia wake utapotea nae akajitoa akaanzisha EMPIRE yake na akaitwa mpingaji (PROTESTANT) NAE AKATUNGA sheria zake si ushangae Yesu muisrael kule ukristo kidoooogo sawa na hakuna Ulaya ndo wakampokea wapi na wapi so nyinyi mpo tayari kwa baadhi ya mda kufuata na mda mwingine kutofuata sheria zenu ndo maana baadhi ya viongoziwenu Roman imewatungia sheria wasioe (HAIMO KWENYE BIBLIA) kwa vile sio sheria ya mungu anaejua wanadamu wake vizuuuri kwa sheria awatungiazo wanazini mitaani tunawajua wana watoto halafu wanarudi kuwatolea dhambi wengine wenye dhambi kama waaaooo mfano mwingine waislaamu mda woote hata kama pombe ni faida kwa uchumi wa nchi tunatangaza mda woote mlevi ni hafai na ni haram lakini upande wa pili kwa vile inawapa faida mmeihalalisha mpaka kwenye nyumba za ibada au hamko tayari kuikemea waziwazi kwahiyo sisi waislamu sio kama ninyi ambao mnao uhuru wa kufuata kadri mjisikiavyo au kubadirisha mtakavyo iliziendane na matakwa yenu
 
Waambie ukweli !!! Qullu HAqq walaukanna Murra! SEMA UKWELI JAPO UNAUMA ...A.K.A MCHUNGU
 
Mkuu naona umetoka kwenye mada sasa umeanza kuzusha shutuma. Suala la padre kuwa na mtoto halitokani na sheria ya wao kutokuoa bali ni uadilifu wa mtu. Wakati mtume wako anakwenda kuoa katoto ka miaka 6 alikuwa hana mke? Juzi hapa Ustaadh kamlawiti mtoto kwenye madrasa kule Kibada, naye alifanya hivyo kwa kuwa hana sehemu ya kutulizia tamaa zake?

Sisi sheria zetu tunazibadilisha sawa, sasa wewe fuata yale aliyofanya mtume wako uoe katoto ka miaka 6 halafu utajua rangi ya kuta za gereza.

Acha kutapatapa wewe, waislamu wangapi wanakunywa pombe? Unazungumzia Biblia ya kweli koruani ya kweli unaijua? Kasome kuran Sura 47:15 kama hakujaandikwa kuwa jahanamu yenu ina mito ya pombe. Au ile amewekewa nani?

Hakuna mtu aliyewakataza kuabudu mnachoabudu, suala ni nani anawajibika kwa gharama za kuabudu kwako. Zungumzia mada na sio imani za watu wengine
 
ok kaka ninachoweza kukushauri wewe na wa Tanzania kwa ujumla ni kua tujadili namna bora ya kuwafanya waislamu na wakristo kuishi pamoja kwa maelewano kwa sababu kilichopelekea hayo mlojadili kinaeleweka tangu enzi za Uhuru nyie mlilelewa mkaandaliwa mazingira sasa tukijazana kejeli na dharau tujenga kizazi cha kuigawana Tanzania ili tajiri unufaike na utajiri wako lazima ujue vya kuishi na maskini hamuoni jinsi baadhi ya mataifa makubwa pamoja na utajiri wao lakini bado Raia wao wanaishi kwa hofu kubwa saaana ?

Kama unaelewa kuwa kina fulani wamefika walipo kutokana na namna walivyolelewa na kurithishwa utamaduni wa kujitoa na kupenda kujiendeleza, suala ni wewe kufanya the same kwa jamii yako. Swali alilouliza mdau ni la maana kwani wengi wenu mlimchukia Dr.Omari Ally Juma kwa kuwa aliwaambia ukweli.

Hivyo unavyoongea hapo chini ni vitisho vya kitoto na kipuuzi. Hakuna suala la utajiri hapa ni suala la ustawi wa jamii na maendeleo ya elimu miongoni mwa jamii. Hizi dini zilikuja, zote mbili hilo tukubaliane. Na waliozileta hizi dini walituachia na tamaduni zao pia. Ni ukweli usiopingika kuwa Mwarabu ni mzembe na mvivu na hali hiyo inatokana na mazingira yake ya alikotoka. Sasa kama mliorithi tamaduni zake hamkulizingatia hilo, je hilo ni suala la kuwalaumu watu wengine?

We chunguza halafu unieleze ni lini na wapi ambapo Mkoloni wa Kiarabu aliacha shule au zahanati? Iliishia kwa Tip Tip kukamata ndugu zetu na kuwauza utumwani huku akiitwa bwana.

Leo tunagombania nani agharamie mahakama ya kadhi, kesho utakuja ugomvi mpya: Nani agharamie fedha za kumlipa mtu atakayetekeleza fatwa. Sitanii hapa, $3.3m zimetengwa kwa atakayemuua Sulman Rushdie na waarabu wa Iran, fedha ambazo zingetosha kufanya msaada kwa waislamu wengine duniani wenye mahitaji ya kijamii. Ila kwa kuwa kuua nako ni ibada kwenu, basi zitatumika kwa suala hilo ili kumpendeza allah. Hao ni wa Iran, wanazo. Hapa kwetu za kulipia fatwa zitatolewa na nani?
 
Jiulize kwanini pesa hizo wapewe kanisa?

fikiri nje ya box

Tumia akili yako vizuri, kama kashfa kuna watu tuna kashfa utakimbia mwenyewe hapa. Kanisa halipewi fedha na serikali, unasikia we mpemba, serikali inatoa fedha kwa taasisi za huduma zinazomilikiwa na kanisa. Ukisema kanisa linapewa fedha ina maana tunajenga makanisa yetu kwa fedha za serikali na tunagawiwa mafungu kila jumapili tunapoenda kanisani.

Suala la kwa nini serikali isijenge hospitali zake kwa 91bn ni kukosa kwako fikra. Bunge lina kazi ya kusimamia bajeti na kila siku tunasikia wizara zina run short. Kama hizi fedha zinatosha madawa na kujenga kabisa ina maana wizara ya afya inapewa fedha nyingi zaidi ya mahitaji yake kila mwaka.

Bungeni kuna wabunge wangapi waislamu wasilione hili aje kuliona shehe aliyeishia darasa la 7 na kuwashauri mvimbishe vichwa? Hebu tizama chain ya waislamu ktk serikali kuanzia ikulu halafu jiulize ni nyinyi tu wadogo wadogo ndio mnajua hesabu?
Je kumbuka kama Serikali ingeanza hivyo toka 1992 mpaka sasa mngekuwa na hospital ngapi na university ngapi.
Wakati huu wote ambapo fedha za kununulia dawa zinatumika kujenga majengo, wagonjwa wangekuwa wanatibiwa wapi?

We si unajifanya mwarabu wewe, sasa nakupa homework: Nenda Iran kawaambie wale wenzenu zile $3.3m wanazotaka kumpa mtu atakayefanya dhambi ya kumuua Sulman Rushdie zinatosha kuwajengea waislamu wa Tanzania zahanati. Si unajifanya wewe ndio unajua matumizi ya fedha kuliko wabunge na kamati zooote za fedha?

Halafu ngoja niulize; Mnadai mahakama ilipiwe na serikali kwa sababu ya MoU au sababu ya umuhimu wa mahakama? Manake naona kama jambo lenyewe la kitoto. Ni sawa na kwenye familia mtoto mmoja mdogo aanze kulia kwamba kama kaka kapewa fedha akalipe ada na mimi nipewe nikanunue toy
 
mchango wako ni mzuri ingawa nia si lazima iwe nzuri sana.

Well, memorandum iliingiwa wakati serikali ikiwa haina njia ya haraka ya kuweza jijengea miundombinu ya hizi huduma zikiwepo shule na vituo vya afya.Nakumbuka ni kiindi ambacho rais wa bank ya dunia lisema ten akiwa nchini kama ishara kuwa anaongelea mazingira yetu.Kuwa wakati umefika ambapo kila kitu kimekuwa priority Africa yaa " kupata elimu ,unahitaji afya bora,afya bora inahitaji kuwa na chakula,elimu na hospitali bora","kupta hospital bora unahitajia hela, vifaa na mataalamu","kupata wataalamu unahitaji shule","kupata shule unahitaji hela, na ujenzi, na walimu bora" .Yote haya yaliilazimisha serikali kukata huu mzunguko usioisha.Ndio ikabidi watafunze quick fix ili taratibu waanze ktk hatamu.Na haikuwa rahisi tena kutaifisha kwani tayari walishahimiza wadau wajenge shule nyingi,hospital nyingi kwa hadi kuwa hawatazichukua tena.Wakati haya yanatokea idadi ya watu inazidi kuwa kubwa kwa haraka sana n amagonjwa mapya yanazidi kutokeza kadiri watu wanavyozidi pata kipato cha kuwawezeshesha kunywa na kula hovyo,kuwa na magari na kushindwa fanya mazoezi.magonjwa kama pressure,sukari , cancer yanahitaji gharama sana kwa taifa achilia mbali anguvu kazi inayopunguzwa.

Kwa bahati mbaya sana haya yakitokea tayari jumuia za kiislam zilikuwa zikianguka kwa kukosa umoja katk mambo ya msingi huku Bakwata ikiwa imepoteza katik vita ya kuweza washawishi waislam kuiamini na kufany anao kazi kwa pamoja.Matokeo yake waislam wakawa kama mkusanyiko wa mtu mmoja mmoja ambaye kutana na wenzio ktk Ibada na matukio mengi tuu.Waislam wengi wamefanikiwa kiuchumi kama mtu binafsi na hawakuwafanya uwekezaji binafsi katk hizo nyanja.Wengi wamewekaza katk mafuta, usafirishaji, vyakula, nguo ,madini etc.Taasisi kama Aga Khani, Ithnasheri , etc wamejiwekeza katik afya na elimu na hivyo kupata faida sana kwenye hilo.Shule nyingi za kiislam baada ya kukosa uongozi makini chini ya Bakwata wamefikia kuwa na shule, hata vituo vingine ambavyo vimekuwa na viongozi wanaozitumi akama mali yao binafsi.na Bakwata hawajapata ubavu wa kukohoa kwani hawana kujiamini kwani hawakubaliki.

Kuhusu kuhama toka katik pango hadi kuwa mwenye pango ni kazi inayohitaji umakini n amipango bora.Bahatai mbaya sana CCM hawakuweza hilo na Hata leo ukimuuliza JK hana jibu na hatokuwa na jibu kwani muda wake sasa umeshaanza ingi akatk kipindi cha lala salama.Kile kihoro ch akuondoka ikulu ndicho kitaanza mpelekesha,kwani atakuwa akijianda kuondoka, akiandaa chama chake kuingiza mtu mwingine,akijiaandalia ulinzi wa mamabo anayoona yatakauja mkuta akiingia rais mwingine.

Na itakuwa ngumu sana,kwani kama hawatengi hela,hawataweza zizuia hizo hela ili wajenge shule huku watu wanaumwa,watu wazidu umwa, watu wanakufa.Hapa wanahitajia ongeza hela, ili watakazolipa kwa Kanisa na taasis kama Aga khan, etc zitakozobaki ziongeze hospital na shule.Ingawa itachukua miaka bado kazi ipo.Shule za kata zinaweza rekebishwa,Ila zahanati na hospital za kata ni ngumu.

Pia mjue Catholics ni staborn.bado watajenga shule bora sana na wataweka bei ya juu na ubra wa juu bado watu watazisoma, na wataozisoma watakuja shikilia nafasi nzuri kila kitengo.Hiii hata kwa taifa kama U.S.A catholic wana shule ghali sana.Ingawa wengine wana shule nzuri ila za catholics zinajipambunua.Kwa leo hapa kwetu wana seminary zao.Tunaziona.

Ni kipindi cha waislam makini wajipambanue, waamu pitisha harambee kwa waislam wenye hela kam akina Baghresa,Dewji , Karamag etc wachangishe fedha zijengwe shule na hospital.Ila kabla wajenge taasisi zinazoaminika katika umma ili zianze kwa amani.Ithnasheri wameweza,kwanini wengine washindwe?

Ahsantum kwa jibu lako japo umelijibu kwa ushabiki sio tu wa iimani lakin pia wa kisiasa.

Kumbuka suala hili miminalitazama kiuchumi zaidi. Chukulia hata kwa waTz wengi hivi sasa wameondokana na ile hadha ya kupanga/kukodi nyumba na kutaka kujenga zao. sasa vipi isiwe kwa Serikali.

Nimebainisha wazi kuwa pesa hizo wanazolipwa kanisa kwa mwaka wangeweza kujenga hospital zaidi ya tatu na university moja. kama wangefuata na kulitazamasuala hilikiuchumi nafikiri kusingekuwa na shida ya hospital na university huko tanzania.

Kwani kikubwa katika hospital ni kuwa na waganga na vifaa vya hospital ambavyo Serikali ya JMTz inavyo ukilinganisha na kanisa. Kinachokosekana namajengo,

Acheni ushabiki katika uchumi kuweni serious kujenga uchumi wenu kwa haki. STOP THAT BUSNESS WITH hayomakanisa na jengeni vyenu sasa kama taifa.

ok kaka ninachoweza kukushauri wewe na wa Tanzania kwa ujumla ni kua tujadili namna bora ya kuwafanya waislamu na wakristo kuishi pamoja kwa maelewano kwa sababu kilichopelekea hayo mlojadili kinaeleweka tangu enzi za Uhuru nyie mlilelewa mkaandaliwa mazingira sasa tukijazana kejeli na dharau tujenga kizazi cha kuigawana Tanzania ili tajiri unufaike na utajiri wako lazima ujue vya kuishi na maskini hamuoni jinsi baadhi ya mataifa makubwa pamoja na utajiri wao lakini bado Raia wao wanaishi kwa hofu kubwa saaana ?

SIJADHARAU MTU NA SINA TABIA HIYO.

USIWE UNAPENDA MASWALI MEPESI NA HIVYO KUPATA MAJIBU MEPESI, PENDA KUPATA NA KUJIULIZA MASWALI MAGUMU....HIVI ww binafsi inakuingia akilini mwako kumshutumu mtu ambaye alinyang'anya watu na taasisi mbalimbali shule, hospital na mali zingine ili zinufaishe WATZ wote, eti huyo mtu alikandamiza ISLAM, tena shutuma zenyewe zinatolewa baada ya yeye kufa. kama lengo la watuhao si kuwagawa WATZ nini cha zaidi? ok, majuzi wamelipuka kushawishi watu wasusie SENSA YA WATU NA MAKAZI KWA 7BU ZA KIPUUZI TU, nadhani hata ww ni shahidi juzi tena wanataka kumla nyama SHEKHE MKUU (MUFTI) WA TZ. HUU NI UJINGA AMBAO SERIKALI YETU NI LAZIMA IUPIGE VITA KWA NGUVU ZOTE.

KWA taarifa tu, naomba nikufahamishe kuwa nina marafiki wa KIISLAM GUNIA LA MCHANGA HALITOSHI KUWAHESABU, YAANI HATA IDADI YAO SINA ILA WAO HAWANA MISIMAMO YA KIPUUZI. KWA nyongeza kilichonikutanisha nao sio UISLAM WAO WALA UKRISTO AU UPAGANI WANGU BALI NI UTANZANIA WETU. Mazingira hayakuandaliwa kwa ajili ya WAKRISTO, NDG yangu tusidanganyane hapa, mbona tumesoma nao, na walioweza kusonga mbele walisonga kama vile wakristo wangine walishindwa nao pia walishindwa, SI UNAJUA MAMBO YA MITIHANI, lkn linakuja suala la kuhamasishana kusoma, hapo ndiyo mtihani, upande wa WAISLAM WALIO WENGI WAMEIGA UTAMADUNI WA WAARABU WA MIDDLE EAST ambao ni wavivu sana na kwa bahati mbaya ndiyo walioleta islam ktk east africa yaaaaani ni balaaa tu!!!!!!!!!!!! NA SIO NORTH AFRICA wachapa kazi na wasomi waliobobea
 
Ahsantum kwa jibu lako japo umelijibu kwa ushabiki sio tu wa iimani lakin pia wa kisiasa.

Kumbuka suala hili miminalitazama kiuchumi zaidi. Chukulia hata kwa waTz wengi hivi sasa wameondokana na ile hadha ya kupanga/kukodi nyumba na kutaka kujenga zao. sasa vipi isiwe kwa Serikali.

Nimebainisha wazi kuwa pesa hizo wanazolipwa kanisa kwa mwaka wangeweza kujenga hospital zaidi ya tatu na university moja. kama wangefuata na kulitazamasuala hilikiuchumi nafikiri kusingekuwa na shida ya hospital na university huko tanzania.

Kwani kikubwa katika hospital ni kuwa na waganga na vifaa vya hospital ambavyo Serikali ya JMTz inavyo ukilinganisha na kanisa. Kinachokosekana namajengo,

Acheni ushabiki katika uchumi kuweni serious kujenga uchumi wenu kwa haki. STOP THAT BUSNESS WITH hayomakanisa na jengeni vyenu sasa kama taifa.

Okay pamoja na kwamba una point ila unakosa nia njema wala kuwa na misingi ya fikra ambayo ina base ktk "universal values" and this is a problem Arabs face.wana mitazamo iliyojaa Arabism, religious view and framework, hate and negative competition.Kwa hiyo wanajikuta wakitazama wengine kujiona wao huku wakidhani wengine wapo hivyo.

Ndugu yangu hadi kufikia hapa nimepitia vitu vingi sana ktk imani ,katk mitizamo na nimeona hasara ya kutokuw ana well established rules ambazo zitamfanya mtu kitu akiaminicho basi kiwe hivyo.Ni vigumu sana wewe kuthibitisha kuwa mimi nimeongea kitu kisiasa au kishabiki na nashabikia nini.

Kwa taarifa yako si kila mara kukodisha ni hasara.Kama uliwahi fanya kazi ktk cmpuny ya usafirishaji yenye magari mengi hata kati ya 100-200,utaona shida wanzopata kurun workshop pamoja na maintenance ya hayo magari bila kumeza faida inayotokana na core business ambayo ni transportation na si maintenance.wengine huweza adopt na kuwa na vyote kama seperate companies, na wanaondwa hupata hasara sana workshopo ikiwa imechanganywa na dore business.Hilo ni somo na si pahala pake hapa.Kwa ujumlasioni huo uchumi kam ahujaweza sema nini kimewekwa vizuri kiasi cha kufanya serikali iwe na hiyo jeuri?

Kumbuka kuendesha hospital kwa kupanga hakuna tofauti na mpangaji anayetumia 96% yamtaji kutengeneza faida, na wewe kumuambia akajenge jengo jipya la biashara ni kichkesho.Umewahi jiuliza itakuweje kama kama unafanya biashara kwa mtaji wa mil 30, halafu ukajenga nyumba inayopaswa ifikie 25mil hadi kufaa itwa nyumba ya kufanyia business unachobaki nacho kinaweza kuwa nauli ya mali na si kununua mali?serikalikutumia hiyo hela ya kulipa kanisa inamaanisha raia watakaokufa kwa kukosa huduma ni janga.Serikali inatakiwa itafute hela pembeni na kujenga hizo hospitals huku ikiendelea na pango kwa kanisa.Si rahisi kama uanvyotaka fikira ndugu yangu ,kwa fikra zo biased.Wapo wahindi mabillionea bado wamepanga National house.n awnegi wana obvious and reasons.Kujenga ni gharama kupindukia nareturns zake ni miaka kuanzia 30,miaka 30 kwa hospitala ni watu wangapi watakuwa wamekosa hayo,pia usisahau maintenance cost.Serikali sio nzuri kuangalia fedha zifujwazo katk maintenance.
 
Nafikiri un luck kitu hapo.

Serikali yenu sio tu inalipa pango katika hospitali hizo pia inalipa mishahara ya madaktari nawahudumu wa afya na vile vile ina supply madawa na kuleta hata vyombo vya maabara. Lain kumuka hospital hizo ni mali ya kanisa. sasa kiuchumi tunaona bora ijenge hospitali zake kuepusha hayo mapesa wanayolipwa kanisa.

Ungekuwa umesoma uchumi basi ungelitazama hilo kama janga kubwa sana la kupoteza na kuuwa uchumi wenu.

Punguza na kulitazama hili kiimani au kisiasa. Litazame kiuchumi utanielewa nakusudia nini.

Pole sana
 
WEWE kaka yangu sikiliza maana mojawapo ya uislamu ni kusalimu amri hii ina maana kua maisha yetu yooote tumeyasalimu kwa mungu wetu ina maana tangu kuzaliwa mpaka kufa kwetu lazima tuishi kama mungu anavyotaka ikiwemo kuhukumu namna mungu alivyo agiza hizo sharia za kanisa ulizo seama (canon law) si sheria za mungu ni za mwanadamu ndo maana kila baada ya muda wnakaa kuzifanyia mabadiliko. biblia(YA KWELI) haina sheria.Hizo ni sheria zilizozingatia malengo ya kuanzisha ROMAN EMPIRE ndo maana muingereza aliposhtuka kua utawala wa malkia wake utapotea nae akajitoa akaanzisha EMPIRE yake na akaitwa mpingaji (PROTESTANT) NAE AKATUNGA sheria zake si ushangae Yesu muisrael kule ukristo kidoooogo sawa na hakuna Ulaya ndo wakampokea wapi na wapi so nyinyi mpo tayari kwa baadhi ya mda kufuata na mda mwingine kutofuata sheria zenu ndo maana baadhi ya viongoziwenu Roman imewatungia sheria wasioe (HAIMO KWENYE BIBLIA) kwa vile sio sheria ya mungu anaejua wanadamu wake vizuuuri kwa sheria awatungiazo wanazini mitaani tunawajua wana watoto halafu wanarudi kuwatolea dhambi wengine wenye dhambi kama waaaooo mfano mwingine waislaamu mda woote hata kama pombe ni faida kwa uchumi wa nchi tunatangaza mda woote mlevi ni hafai na ni haram lakini upande wa pili kwa vile inawapa faida mmeihalalisha mpaka kwenye nyumba za ibada au hamko tayari kuikemea waziwazi kwahiyo sisi waislamu sio kama ninyi ambao mnao uhuru wa kufuata kadri mjisikiavyo au kubadirisha mtakavyo iliziendane na matakwa yenu
Mheshimiwa umeingia katika anga ambazo si zako.
-Kama ni misingi ya Imani kutoka katik Jina la Dini basi utakuwa upo mbalia sana.UISLAM kama ulivyosema ni kujisalimisha,wakati Ukristu ni umasihi , masiha ni mpakwa mafuta/yaani aliyepitishwa na si (canon Law) kama unavyotuletea hapa.Na tukienda mbali zaidi kata uchambuzi bila kumuumiza mwingine.Kujisalimisha si lazima sana ukapata wokovu toka kwa aliye na uwezo wa kukushinda.Kujisalimisha ni hatu aya kwanza tuu katika amani ni likija katika imani bado kuna mengi ya kuweza tangua wokovu.Kujisalimisha hakuna tofauti na application,wakati u massih ni kama admission.Sioni kwanini unataka dhani Ukritu ni inferior kwa Islam in the basic tenants of any montheistic religion.Christian theology ikipata support Kubwa sana toka katika Quran(AL massih pekee ni Yesu) ipo step ahead.While Moses dealt with purification of the Body just like Islam of Today,Jesus went for the soul and mind just like christianity of today.Kwa sababu uchafu wa mtu huanzia ndani na kuishia katika mwili.Tamaa ya ngono na roho za mauaji huanzia ktik fikra na roho kuchukua katika imani namwili kufuata kwa kufanya mauaji.

Ukiacha propaganda pombe si haramu kihivyo katika uislam.Anglican sio protestant kihivyo ,wao hawakuprotest kwa misimamo ya core values za Bible ila waliogopa kucompromise nafsi ya malkia na issue ya kuoana.Kutooa kwa mapadri wa catholics ni suala la kujiamulia kama taasisi kama vile Yesu alivyojiamulia kutooa.So si busara mtu kuwalazimisha kuachana na uamuzi wao huo.Yesu alitambua uwepo wa watu walioamua kutooa kwa hiari yao.Kelele mnazopiga ni kama mtu aliengia jeshini na kuwalazimisha wabadili sheria walizoona zinawafaa kwa kazi yao na malengo ya muda mrefu.Uzinzi wa Padri ni suala udhaifu wa mtu binafsi kam ilivyo katik serikali leo huwezi kosa wala rushwa hata ndnaiya Takukuru wenyewe.

PIa usipende kuwa msemaji wa usivyovijua,wakatoliki wanapoungama (kutubu shambi zao),hutumia mistari inayofahamika na kushikwa na kila mkatoliki.Mistari hiyo hutamka wazi kuwa "ungamo alo ni kwa Mungu Mwenyezi na Padri aliyepo ktk kizimba kuwa shhidi wa hilo" Then wanaendelea kuorodhesha yale yote shahidi anaweza shuhudia kuwa ameyatubu.Ni mkataba kama ilivyo mingine amabpo shahidi anastahili sikiliza,ona na kusoma vyote ambavyo anashuhudia na atakuja toa ushuhuda mara itakapohitajika.
 
Back
Top Bottom