Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Devil advocate :tatizo la uzinzi na ulawiti si la katoliki tuu.Uliza Zanzibar, madrasat watoto kinawakuta nini(wakiwa wanaitafuta ilimu ahera), mpaka serikali imeamua shughulikia sheria ya haki za watoto, kaulize ni kwanini.Waulize wafilipino na wapakistani nini kinawakuta wakienda saudi arabia kk vibarua vya msimu majumbani au kusoma ilimu ahera.Wanageuzwa na hayao hayasemwi ktk jamii za kiislam hasa linapohusu watu wenye nguvu kidini.Uliza magerezani dunia nzima, mashuleni etc wanyonge wanafanyiwa nini? Biandamu asipowajibika ,na pia si kweli kwamba kanisa kunyima watu singizia condom km kigezo cha ngono zembe ndio kuchangia maambukizi.Watu wengi hawapendi condom. Kuanzia wanawake hadi wanaume. Watajisingizia baada ya kuzoeanza, wengine nanihii ni za kushtua, sasa ikitoke imesimama kupoteza muda na condom kunaweza ilaza tena, wengine wakianzisha stim, wanaoan tendo la kuanza fungua na kuvaa ni kuweka usiku.Wengine hawavai kabisa by nature, na mkiahimiza wanaichukua ila huko ndani haendi vaa na akivaa somewhere anachomoa.Sasa huyu kuna haja gani ya kumwambia avae? si bora kumambia ajitume kuacha uzinzi.Si kila mpiga debe wa kizungu ana cha maana.Wenyewe wanachukua magonjwa kibao na kuambukiza kila mtu.Mademu wa kizungu kibao wanaishia uliza maswali kidogo ya kuwapa imani kuwa mtu hajawahi pata maambukizi then wanajiaminisha na kuanza onja shughuli za mbantu..Kwa mnaojua wabantu kwa sababu mbalimbali uongo unaweza usiwe issue...linapokuja suala la ngono na mzungu au demu yoyote.Kwanza mademu wa kwetu wanapenda danganywa na wanaume wa kwetu ni waongo mpaka mwisho.
 
mambo ya dini ni magumu sana especial pale nchi inaposema haifungamani na dini yeyote kwa vile katiba inampa kila m2 haki ya kuabudu atakavyo pasipo kuingilia uhuru wa mwingine wala kuvunja sheria cha msingi ni waisilamu wenyewe waande makongamano na miswada juu ya kadhi na kadhalika ili kuwaelimisha waislamu wengine nini maana na mipango husika kisha waone jumuiya yote ya kiislamu tanzania ina respond vipi 4m there ndio jibu litapatikana either ianzishwe au la na kivipi ni hayo 2
 
Shule tunazijua na ndo maana tumehitimu vyuo vikuu na watoto wetu wako huko...

Labda nikujuze kuwa waislamu wa sasa wako mbali kielimu, sio wale wa kipindi cha Nyerere....

Wenzenu wachache walishalijua hilo mapema, hawapeleki tena watoto wao kwenye shule zenu. Ya kaizari mpeni kaizari
 
quote_icon.png
By X-PASTER

Wanajeshi wa kimarekani wanapo waua raiya wasiokuwa na hatia hatusikii amnesty hatuwasikii kuwalaumu wamarekani kwa mauwaji wanayoyafanya.

Juzi raiya 57 nusu yao wakiwa wanawake na watoto wamepigwa mabomu walipokuwa harusini.

Hatuwasikii watete wa ukristo wakikemea mauwaji haya. Ila ikitokea kwa wavunja sheria wakahukumu kwa matamanio yao, basi wakristo wanakuja juu na kuhusema Uislam. Mbona hatuwasikii wakiwasema wakristo wenzao wanao huwa wanawake na watoto?


Tafadhali gonga hapa kwa habari zaidi: Mauwaji ya Raiya wasio na hatia

Huyu lazima ni mdini, tena bila ya aibu.
 
Huyu lazima ni mdini, tena bila ya aibu.

f limetendeka kweli basi huyu anaitwa MKWELI
And mdini hata wewe ni mdini coz maana ya dini ni jus mfumo wa maisha anaofuata mwanaadamu n na wewe pia una mfumo wako wether uwe mfumo famous o not xo na wewe ni mdini pia
tatizo lenu kubwa mnataka watu wanyamaze mfanye yenu mtakavo m2 akisema yanayojiri oooh HUYU MDINI,
Ila tambueni mtawapata wajinga wenye akili hawaogopi maneno cku zote wanataka haki ishike mkondo wake!
 
f limetendeka kweli basi huyu anaitwa MKWELI
And mdini hata wewe ni mdini coz maana ya dini ni jus mfumo wa maisha anaofuata mwanaadamu n na wewe pia una mfumo wako wether uwe mfumo famous o not xo na wewe ni mdini pia
tatizo lenu kubwa mnataka watu wanyamaze mfanye yenu mtakavo m2 akisema yanayojiri oooh HUYU MDINI,
Ila tambueni mtawapata wajinga wenye akili hawaogopi maneno cku zote wanataka haki ishike mkondo wake!

Join Date : 6th April 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Povu la nini!!! Was I even talking to you?! You think OIC ni haki, endelea kuota mpaka kihama, hampati kitu. Udini wenu utawatokea puani. Just wait and see.
 
Wenzenu wachache walishalijua hilo mapema, hawapeleki tena watoto wao kwenye shule zenu. Ya kaizari mpeni kaizari

So what? Shule yako basi vichochoroni Kama unataka masuala ya ofisi yako au chumbani kwako basi mpange na kutekeleza na jirani!!!! Hujui maana ya shule, shule ni kupevuka kifikra na upana Wa mawazo na si uelewa Wa kutaka chako wakati njia si sahihi na huo ni umbumbu Wa kujua na tamaa mbele....
 
f limetendeka kweli basi huyu anaitwa MKWELI
And mdini hata wewe ni mdini coz maana ya dini ni jus mfumo wa maisha anaofuata mwanaadamu n na wewe pia una mfumo wako wether uwe mfumo famous o not xo na wewe ni mdini pia
tatizo lenu kubwa mnataka watu wanyamaze mfanye yenu mtakavo m2 akisema yanayojiri oooh HUYU MDINI,
Ila tambueni mtawapata wajinga wenye akili hawaogopi maneno cku zote wanataka haki ishike mkondo wake!


Tushawazoea...
 
Join Date : 6th April 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Povu la nini!!! Was I even talking to you?! You think OIC ni haki, endelea kuota mpaka kihama, hampati kitu. Udini
wenu utawatokea puani. Just wait and see.

OIC , yaani mtu Wa dini nyingine aitangaze dini nyingine ??? Mmmmh maana madhumuni ya OIC yako wazi... HAIJIKUWAKO NG'OOOOO
 
mambo ya dini ni magumu sana especial pale nchi inaposema haifungamani na dini yeyote kwa vile katiba inampa kila m2 haki ya kuabudu atakavyo pasipo kuingilia uhuru wa mwingine wala kuvunja sheria cha msingi ni waisilamu wenyewe waande makongamano na miswada juu ya kadhi na kadhalika ili kuwaelimisha waislamu wengine nini maana na mipango husika kisha waone jumuiya yote ya kiislamu tanzania ina respond vipi 4m there ndio jibu litapatikana either ianzishwe au la na kivipi ni hayo 2

Ukiangalia na ndio hivyo tume ya kuratibu mchakato wa kupata katiba mpya imeshaundwa. katika tume hiyo angalia walioteuliwa, utagundua kwamba ni lazima wafeve mambo ya OIC na mahakama ya kadhi
 
watanganyika wanaogopa tu mbona zanzibar ipo zamani na hakuna tatizo lililowahi kutokea kati ya mahkama za kadhi na za kiutawala,tumekuwa woga sana,licha ya kuwa sheria za kiislam ni nzuri sana na zinataratibu nzuri sana,lkn ukiangalia watu wengi tz wamezoea kufanya maovu ,ambayo km yangehukumiwa kwa sheria za kiislam kusingekuwa na maovu nchini kwetu.
 
Tatizo lenu wachangiaji wote mnaochangia mada hii mnazungumza kishabik zaid. Suala la mahakama ya kadh ni suala la waislam, na ilivo kwa mujib wa sheria za kiislam ni lazima iwekwe na dola. Hii ni dini, ni sheria za mwenyezi mungu ambae ana mjua mwanadam vizuri kuliko tunavojifaham sisi, sio sheria za kujitunga wenyewe ambazo hazina muelekeo, ambazo leo zinaonekana zinafaa keshoyake zimepitwa na wakati. Qur-an haipitwi na wakat hata kidogo. Imeyazungumza mambo yote unayo yafaham na usiyo yafaham kuhusu mwanadam. Sheria za mwenyezi mungu should prevail wakat wote na sio sheria za kujitungia wenyewe (katiba) kama wengi mnavyo shauri. Uislam ni dini pekee ambayo inaeleza mfumo mzima wa maisha ya mwanadam, kuazia kabla hatujakuepo, tukiwopo na baada ya kuwepo (baada ya kuondoka) hapa duniani. Nawasihi waislam wenzangu tuungane pamoja ktk kuismaimisha hakki ktk dunia hii na tuweze kuondoa ufisadi na uonev uliojaa ktk dunia yetu ya sasa, kwani sisi pekee ndo tunaoweza kuiongoza dunia kwa usahihi na kila mmoja akapata haki yake bila dhulma kutendeka. Wabillah tawfeeq. Allah atuongoza na atujaalie qquli thaabit ya kalimatu-tawheed wakat wa saqratu-lmaut. Assalam alaykum warahmatullah wabaraqaat.

Anzanzeni na kile kiwanja cha chang'ombe mchicha alafu vingine vifate,tetesi zilizoenea salichukua muislam mwenzenu tena kimabavu? Hadi saa hi ni atua gani imechukuliwa na nyinyi m naojihita wapigania haki za waislam.Na vp kuhusu yeye haiju vizuri hiyo quran mnayohiita kitabu kilichoshushwa kutoka mbinguni?.Achan kuwa na mawazo Mafupi.
 
mimi ninavyo amini nikwamba mahakama ya kadhi nimoja yamaamrisho ya kiimani kwa waislam kwahiyo wanasababu yakimsingi kuyahukumu mamboyao kupitia kitabuchao kukosa kadhi nikuwanyima hakiyakimsingi kamaserekal inaitambua dinihii lazimaiitambuekadhi. nanikwamanufaayao nasivinginevyo yeyote asiye muislam hilihaliusianinaye.
NAWASILISHA
 
Inakuweje kwa muislamu asiyekuwa that serious na dini?Siku kadhaa hafungi, mara zote anaimba nyinmbo za mapenzi akiwa na vibib nusu uchi, mara nyingine anakula ugali mchicha ktk kijiwe cha kitimoto, kaamua mpa uridhi mtoto wa kuasili.Akiadhibiwa na wenye dini atakuwa na uhuru wa kukataa kwa heshima,bila mvutano?

Waumini kamili huwa wanatii sheria za jamii bila shuruti, na kukubali adhabu zao mpaka hapo atakapojiona hazitaki au hazimfai.Sidhani km Mahseikh wakiwapa elimu watu wao watashindwa kuwa watiifu bila lazimisha na serikali. Nadhani adhabu km kutengwa, kunawabana vizuri waumini na ikifikia mtu hadi utumie kivuli cha dola basi huyo si muumini.
Pia ktk hii dunia ya kuoana watu wa iamni tofauti, kuna uwezekano pakawa na shida.Shida inaweza pelekea watu kutaka mahakana ya kawaida.sasa panaweza kuwa hakuna uhuru sana km upande wa imani wakiamua sema hawatambui hukumu ingine.
 
Lazma unapojadili mada uwe na mifano hai sio kukimbilia ushabiki , Kuhusu Iran nadhani hufuatilii habari kwa umakini yeye Irani amesema anatengeneza Nyuklia kwa maslahi ya Taifa lake hasa upande wa uzalishaji . Sidhani kama unaushahidi kua amesema atalifuta taifa la Israel? ila navyoelewa mimi vitisho alivyotoa Israel ndio yeye akamjibu iwapo wanampango wa kumpiga basi atalifuta taifa la israel kwa kua ndio mshauri mkubwa wa Taifa la Marekani kwa kila nyanja ndio maana mpaka sasa unaona marekani imeshindwa kumvamia Irani, Ameamua kumtisha hivo ili Israel amzue mwanae USA asivae Irani.
 
Kutumia kigezo kuwa serikali haina dini sio suluhusho la msingi, acheni jamani kujadili mambo msiyokuwa na elimu nayo hebu fanyeni uchunguzi UK,S,AFRICA, na nchi zingine ambazo watalaam wetu wa sheria walitumwa huko kuangalia utendaji wa mahakama ya kadhi mbona mnakua na khofu kubwa sana wakati si katika imani yenu? kila mtu ajadili imani yake wewe mkristo angalia maandiko na mafundisho ya dini yako na waislam waacheni wafuate maandiko na sheria zao hapo ndipo itapatikana amani ya kudumu vinginevyo hamjengi kuingilia masuala yasiyo wahusu. Mbona leo serikali imesaini mkataba wa siri na makanisa kuna muislam aliingilia na kupiga kelele ? kinachotakiwa kuvumiliana juu ya imani zetu, Mbona leo mnasema kuwa serikali kusimamia mahakama ya kadhi ni udini hamkumbuki kuwa mkataba pia ni udini ambao unachota fedha za walipa kodi wote waislam na wakristo huo sio udini jamani kundi fulani ndio lipewe ruzuku wengine wasipewe? try to be fair both of us, acheni upotovu kusoma si mpaka ukae darasani mambo mengine unajifunza kwa research ya mazingira na kuangalia wenzetu ktk nchi zingine wanaishi vipi ili kujiletea maendeleo si kukalia malumbano tu, Suala la msingi kuhusu kadhi inatakiwa serikali kama chombo kikuu kipitishe kama kilivopitisha mkataba na makanisa bila kuangalia athari zake ktk jamii ya wasiokua waislam mbona hilo hamlizungumzii mnaona kadhi tu ndio italeta udini. Mahakama ya kadhi kwa taarifa yenu ilikuwepo kwa hiyo inaombwa irudishwe kama enzi za ukoloni ilivyokuwepo wala haikubagua mtu yoyote ktk jamii ile wala haina lengo la kumkata mwizi mkono na kwa taarifa hakuna muislam ambae hayupo tayari kuhukumiwa kwa kadhi basi atalazimishwa ataangalia uzito wa imani yake kama inamfaa na itampa haki basi atakwenda.Pia kwakua ni chombo cha sheria lazma kiwe chini ya mamlaka ya serikali ili kuepusha migongano mengine isiyo na lazima ndio maana mpaka sasa Bakwata yenyewe mpaka sasa serikali ndio inaratibu mambo mengi ktk chombo hicho ili kulinda amani na sio kila chombo kijifanyie kitakavyo ndio maana taasisi zote lazima zipate usajili na serikali.
 
Back
Top Bottom