Mkuu na mimi naona nina kila sababu ya kulijadili hili sakata mahakama ya kadhi na OIC kwa kusema ukweli bila unafiki ni kwamba kwa mwenye akili na anyeitakia mema nchi hii ya TZ na ambaye ni mtafiti na mfuatiliaji wa mambo hawezi kuamini kuwa tz haina dini kama wengi wetu wanavyoamini na kuhubiri kwa manufaa ya kuhalalisha hali halisi iliyopo kwa manufaa yao.Ukweli ni kwamba waislamu nchi hii ni wengi sana na wanaendelea kuwa wengi na wataendelea kuwa wengi kwa sababu kwanza wao katika imani yao hawatumii uzazi wa mpango kama huu unaotumika wa vidonge na n.k.
.dini ya kiislam sio sawa na yenu
mwanakijiji. mbona husemi kuhusu ubalozi wa vatican, hutoi hoja kuhusu ubalozi huo?
Tanzania is secular country and will remain that way, hata kama mnadanganywa na hao tusiowajua man hapo imegonga mwamba, hamtaweza kubadilisha hilo, hata kama kuna sijui MOU kati mahdehebu ya kikrissto na serikali the truth will remain there, hao wenyewe waislamu wenu wamesoma shule za kikristo na ndo maana wako hapo walipo, wangebinywa sasa hii labda kungekuwa na wasomi wawili waislamu, so thank God wakristo hawabagui, ingemkuwa nyie pasingeeleka hata kidogo, hiyo mahakama haitaundwa labda mtume afufuke, period!
uislaam unataka tufuate sheria za Mungu,tuhukumu kwa sheria za Mungu na tuishi kutokana na mafundisho ya kitabu cha mungu.
katiba ya waislaam ipo wazi. lkn kwa upande wa dini nyengine wao sheria wanazopanga watu ndio zao, hakuna matatizo kwao kutunga sheria za kuzifuata
ubalozi wa saudia ni nchi kamili, verican sio nchi, ni sehemu ya kanisa katoliki
hakuna kitu kibaya kama kudandia gari kwa mbele, tumekwisha sasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hivi malaria sugu kumbe mpaka leo hii hujui kuwa vatican ni nchi. Na kuhusu mahakama waislamu hawazuiliwi kuianzisha na kuiendesha mbona wakristo wanafanya hivyo na hawaombi msaada serikalini jamani au wenzetu wanataka waajiriwe na serikali?ubalozi wa saudia ni nchi kamili, verican sio nchi, ni sehemu ya kanisa katoliki
ubalozi wa saudia ni nchi kamili, verican sio nchi, ni sehemu ya kanisa katoliki
watanzania hawajui rasilimali zao ukristo na uislamu ni rasilimali ..museveni alikuta idd amin ameingiza uganda yenye waislamu asilimia 10 kule oic baada ya kupima pro and cons uganda imo oic! Nyie washamba uganda si kuna mashahidi wa kiroho wa kikristo mbona wako oic? Kule ufilipino asilimia kubwa ni wakristo lakini serikali yao kwa vile inajua kuna manufaa oic kwa kuwatumia waislamu kule zambowanga imeomba kujiunga oic sasa ngo ya waislamu ambayo ina hadhi ya ushiriki wanasema hawataki serikali ya ufilipino ikubaliwe kushiriki kwa vile itawanufaisha wakristo wengi badala ya wao kule zambowanga, msumbiji wako oic na kule waislamu ni kidogo! Nafikiri wakristo watanzania ni wabandia na kama kuna mkristo wa kweli ni hayati baba wa taifa mwalimu nyerere! Kuna wengine watarukia yeey alipinga oic , hakupinga alipinga uasi wa zenji kutaka kuingia kienyeji basi....! Mambo ya kadhi na oic ni ya aina yake kuna hitajika weledi, elimu , busara na maarifa kuchangia ...sio kuorpoka mtu kama kanywa maji ya ******! Kwa vile tu uko mtandaoni hatuwezi kukukamata tukakuteremshia mvua ya 'henzirani'...!