Kuntakinte
JF-Expert Member
- May 26, 2007
- 701
- 31
Just imagine upo mitaa ya Kariakoo, halafu anatoke mtu mwenye matatizo ya ngozi (Zeruzeru) anakupora simu yako mpya uliyoitafutia hela kama miezi 3 hivi unahangaika ili uinunue halafu wewe unaaanza kumkimbiza? Je unadhani wananchi watakuchukiliaje?