Hongera sana,lakini mimi nipo tofauti sana kwani kila matangazo ya ajira yoyote chini ya tangazo lenyewe wanaweka na kusema "equal oppunities to equal employer" kitu ambacho siyo cha kweli wanavyo tenda ma-HR wengi kwani walio wengi wanafikia wanataka pesa waziwazi kukupeleka kwenye interview na hapo kwenye interview yenyewe wanawakilisha tu na muda mwingine wanadhihaki na kukupa maswali aidha yaa kukatisha tamaa au maswali yasiyohusu qualification yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.