Jumapili njema JF...

Mi mzima dia.. Nimeamka so fresh as usual! Leo church hakuna mahubiri yaliyokugusa?
Happy to hear uko poa....
Church mahubiri yamenigusa sana....padre anasema tumtumikie Mungu kwa maisha baada ya kifo...Tukumbuke hakuna anayeishi duniani kwa miaka mingi....lazma tutakufa tu so je tukifa tutaenda wapi???? Tafakari Chukua hatua Amy...
 
Mh..kweli lakini.. Wakati mwingine tunajisahau sana..
 
Jumapili njema wooooooote. Na nawaombea........
sunday_is_sweet-6246.gif
 
Asante sana Mtalingolo kwa baraka zako za Jumapili....ndo nimetoka zangu misa ya kwanza niko zangu naangalia wana JF ambao hawajaenda church na walipaswa kwenda na hawakumbuki kuwa hii ni kwaresma na hata majivu hawajapaka hadi leo.....Nimewaombea woteeeeee

sio ndio umeamka kweli???
maana jana niliona post zako ukibadili nyt clubs aise...
 
aya ricky kula tu...ungejua maana ya hili jina hata usingesema "unakula bagah"...ppprrrriiii
 
aya ricky kula tu...ungejua maana ya hili jina hata usingesema "unakula bagah"...ppprrrriiii
Hahaaaaaa hakuna kitu...mi nakula tu...mbona kuku na nguruwe wanakulaga hadi mafi sembuse mimi Kula zangu bagah...lol
 
Back
Top Bottom