Jumanne kabwela

What a coincidence,yaani jimmy kabwe ni jumanne kabwela na wewe ni jumanne kabwlea but not jimmy kabwe,mh do i smell something fishy here?yasije yakawa yale yale ya lowassa humu ndani
 
What a coincidence,yaani jimmy kabwe ni jumanne kabwela na wewe ni jumanne kabwlea but not jimmy kabwe,mh do i smell something fishy here?yasije yakawa yale yale ya lowassa humu ndani

kama unajua kiswahili nadhani utakuwa umenielewa niliposema kwamba mie ni jumanne kabwela na sio jimmy kabwe.nimeona niseme hili ili watu msije changanya na kudhani mie ni huyo jimmy au nina mahusiano nae.
 
Karibu sana jamvini...
Ili usilete mgogoro hapo baadae ningekushauri ubadili ID maana watu wengi wameshaanza kukuchanganya na Jimmy Kabwe...
 
Karibu sana jamvini...
Ili usilete mgogoro hapo baadae ningekushauri ubadili ID maana watu wengi wameshaanza kukuchanganya na Jimmy Kabwe...

nashukuru sana kwa kunikaribisha na kwa ushauri wako.
ngoja nione hali itakavyokuwa.nikiona mkanganyiko wazidi basi sitakuwa na namna zaidi ya kubadili user ID.
 
Back
Top Bottom