jumanne kabwela
Member
- Jun 15, 2011
- 17
- 2
- Thread starter
- #21
ndo yeye
mtoto wa mujin..me happy kwa ujio wake!!!!!!!!!
pole sana dada yangu kwani umechanganya madesa naona.
Mie sie huyo jamaaa.
ndo yeye
mtoto wa mujin..me happy kwa ujio wake!!!!!!!!!
Hivi kati ya jimmy kabwe na jumanne kabwela unapenda jina gani hapo?
Vizuri pia,gudboy!!!!!!
i wl..
Karibu sana
What a coincidence,yaani jimmy kabwe ni jumanne kabwela na wewe ni jumanne kabwlea but not jimmy kabwe,mh do i smell something fishy here?yasije yakawa yale yale ya lowassa humu ndani
Karibu sana jamvini...
Ili usilete mgogoro hapo baadae ningekushauri ubadili ID maana watu wengi wameshaanza kukuchanganya na Jimmy Kabwe...
asante mkuukaribu jamvini