Jamani Juma Nkamia yupo wapi?Simuoni TBC sikuhizi.
yuko jimboni uko anasaka ubunge
there you are manNiliwahi kusikia alikuwa na ndoto za kwenda kugombea huko kondoa!
Vipi mkubwa??!!CCM wakisimamisha hata jiwe litashinda!
Kwanini unasema hivi?CCM wakisimamisha hata jiwe litashinda!