Juma Nature naye mbioni Kujiunga na CHADEMA

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,683
14,868
Baada ya prof. jay kujiunga na CHADEMA.
Taarifa zilizopo ni kuwa msanii mwingine maarufu,
Juma Kasim (Juma Nature) naye yuko mbioni kufanya hivyo.
Karibu sana Nature!
Vijana sasa wanabadilika kwa kasi..hadi 2015!
CHADEMA itakuwa sehemu nzuri sana...

Source: Juma Nature mwenyewe..
 
Baada ya prof. jay kujiunga na cdm.
Taarifa zilizopo ni kuwa msanii mwingine maarufu,
juma kasim (juma nature) naye yuko mbioni kufanya hivyo.
Karibu sana Nature!
Vijana sasa wanabadilika kwa kasi..hadi 2015!
Cdm itakuwa sehemu nzuri sana...

Source: juma nature mwenyewe..

Hizo nazo ni kura na watu muhimu. Tunamkaribisha.
 
Makundi na makundi ya Watanzania wanaendelea kumiminika CHADEMA baada ya kugundua adui mkubwa wa maendeleo nchini kwetu ni chama cha magaidi/mafisadi. Wataendelea kubwabwaja usanii wao kila kukicha lakini Watanzania wanafanya kweli kwa kuhamia chama ambacho kinatetea maslahi yao na ya Tanzania pia. Wakati ni huu usichelewe kujiunga na chama cha watetezi wa maslahi ya nchi yetu. Karibu sana CDM.

Alutta continua! continua!

:peace::peace::peace::peace::peace:​
 
awezi huyo...kuna siku nilikuwa nae dodoma akawa anajisifu yeye na dr fastjet ni marafiki ili kudhihirisha hicho alimpigia simu mzee wa kaya kwa baati mbaya haikupokelewa...huyu jamaa sio rahisi kuhama ccm.....
 
subiri uone akikabidhiwa kadi ya CDM ndiyo utaamini mkuu..
 
Kama ni kweli zile bangi aache maana wakikutana na serukamba bungeni patatifuka mbayaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
awezi huyo...kuna siku nilikuwa nae dodoma akawa anajisifu yeye na dr fastjet ni marafiki ili kudhihirisha hicho alimpigia simu mzee wa kaya kwa baati mbaya haikupokelewa...huyu jamaa sio rahisi kuhama ccm.....

Hii habari ya kupiga simu inaweza kuwa kweli kwani huyu mzee ni bogas sana, hakui kiakili. Wenzake wanasoma na kuandika mambo makubwa yeye anakumbilia kufanya urafiki na watoto wa bongo fleva! Bado kila nikikumbuka alipoapishwa akakimbilia club ya Real Madrid eti kuwaalika Tz nampuuza sana huyu babu!
 
Kweli jamani... mbona itakuwa cdm inabonge la team la wasanii mashuhuri ....!!
 
Back
Top Bottom