Juma duni haji wa cuf aunguruma viwanja vya mwembe yanga temeke

Mgongo wa paka

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
485
36
Waziri wa afya wa zanzinzibar mh juma duni haji leo hi saa kumi jioni ana unguruma viwanja vya mwembe yanga. Akiongoza wanachama wa cuf na wananchi wa temeke ambao kwakawaida ni wa fuasi nguli wa cuf. Vijana wa kiume na wakike na akina mama na akina baba tayari wamefurika uwanjani.
 
Tujulisheni kinachojiri hapo haswa baada ya chama kumeguka wilaya ya Temeke
 
niwazi chama kinapendwa maana ni watu hao watajibeba na vijiba vya roho vitawachoma. Kama kuna adui cuf yupo karibu angewapa taarifa mgesibitisha
 
Waziri wa afya wa zanzinzibar mh juma duni haji leo hi saa kumi jioni ana unguruma viwanja vya mwembe yanga. Akiongoza wanachama wa cuf na wananchi wa temeke ambao kwakawaida ni wa fuasi nguli wa cuf. Vijana wa kiume na wakike na akina mama na akina baba tayari wamefurika uwanjani.

Mtu duni ataunguruma vipi bana acha uongo....

Wahini mkaitike kama misukule kwa kila mtakachoambiwa.
Haji Duni: Sawa sawa?

Misukule: Ndiooooooooo!
 
kunawaelewa kuliko unavyodhani. Watu wenye kutaabika na shida si watu wandio watu wasio zijua shida ndo hufuata mkumbo kule kunapovuma ndo hufuata napo hakukawii kupasuka
 
Waziri wa afya wa zanzinzibar mh juma duni haji leo hi saa kumi jioni ana unguruma viwanja vya mwembe yanga. Akiongoza wanachama wa cuf na wananchi wa temeke ambao kwakawaida ni wa fuasi nguli wa cuf. Vijana wa kiume na wakike na akina mama na akina baba tayari wamefurika uwanjani.

Anataka kuwarudisha waliokimbia????
 
Waziri wa afya wa zanzinzibar mh juma duni haji leo hi saa kumi jioni ana unguruma viwanja vya mwembe yanga. Akiongoza wanachama wa cuf na wananchi wa temeke ambao kwakawaida ni wa fuasi nguli wa cuf. Vijana wa kiume na wakike na akina mama na akina baba tayari wamefurika uwanjani.
Hivi ndio nani kumbe huyu?
 
Mtu wa visiwani hawezi kuunguruma Tanganyika, sahihisha usemi wake Bwana.San a san a atapiga kwi kwi kwi au kupiga miaouw mithili ya pussi mwenye njaa.
 
Vipi amerudia kauli rasmi ya cuf kwamba walishindwa Uzini kwa sababu ya ukristo?
 
Sheikh Kundecha na yule wa mfumo kristo nao nimewaona high table, vipi na wao pia ni viongozi waandamizi wa CUF?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom