Julius Nyang'oro, author of Kikwete bio resigns from UNC

20121205_bsd_sd2_225.0_standard_500.0.jpg

[h=1]North Carolina professor accepted favors from academic support staff[/h]
Julius Nyang'oro took football tickets, sideline passes and other favors from counselors in exchange for help with independent studies scheduling, according to emails.

The chairman of North Carolina's African studies department accepted football tickets, sideline passes and other favors from counselors in the school's Academic Support Program for Student Athletes,according to emails obtained by the Raleigh News & Observer. Julius Nyang'oro, the professor in question, then negotiated with those same counselors to provide non-lecture or independent studies classes not originally scheduled:
Members of the academic support staff offered Nyang'oro football tickets and the chance to watch a game from the sidelines. One counselor offered to discuss athletes' coursework over drinks, and another negotiated with Nyang'oro to schedule a no-show class.
UNC-Chapel Hill Chancellor Holden Thorp and other officials have said the Academic Support Program for Student Athletes did not collaborate with Nyang'oro or his department manager, Debbie Crowder, to create the classes to help keep athletes eligible to play sports.
The university, in its own investigation and in a probe helmed by former Gov. Jim Martin, had concluded the fraud was not intended to benefit athletes because nonathletes were also enrolled and received the same high grades. They have pinned the blame solely on Nyang'oro and Crowder.
The emails show that Jamie Lee, an academic support counselor, requested that Nyang'oro schedule a "research paper course" in place of a lecture course. Nyang'oro put a research paper course on the summer schedule, as requested. Lee, upon receiving the news, responded with a happy face emoticon. That class, Seminar in Afro-American Studies, included only two students. The News & Observer reports that at least one was an athlete.
Emails from Crowder, the manager of the African studies department, showed that she was concerned by the number of students enrolled in the department's independent studies courses as far back as 2005. She wrote that the classes "had sort of gotten into the frat circuit."
Nyang'oro and Crowder have been at the center of the academic scandal at North Carolina since 2010. Investigators found that academic advisors steered athletes toward no-show classes in the African studies department, then prepared intricate research paper outlines for athletes to use. Evidence of plagiarism surfaced in 2011, as part of a civil suit against the university by a former Tar Heels football player. The assistance provided by tutors, and the relationship between the tutors and Nyang'oro, raised questions from the interim dean of the College of Liberal Arts & Sciences as far back as 2006 (via the News & Observer):
Madeline Levine, a former interim dean of the College of Arts & Sciences in 2006, said she was appalled to see how much work the tutor had done for the athletes in those classes. She said such assistance would not be performed by tutors and other academic support staff in the programs that serve regular students.
"It looks really corrupt, academically corrupt, to me," said Levine, who is now retired.
She was also troubled by the email banter between Nyang'oro and the athletes' academic counselors. She said while some of it might have been in jest, it suggested a relationship in which Nyang'oro was doing favors for the counselors.
In one email from September 2009, Cynthia Reynolds, a former associate director who oversaw academic support for football players, told Nyang'oro in an email that "I hear you are doing me a big favor this semester and that I should be bringing you lots of gifts and cash???????"
Nyang'oro and Crowder have since retired. Suzanne Dirr, the counselor who had drawn up many of the outlines used by athletes, died in 2008. Holden Thorp, the school's chancellor,is stepping down on June 30 to become provost at Washington University in St. Louis. Thorp has said he is done with Division I college athletics and that the athletics department has become the most important job of a university president.
 
Mpaka sasa sijaelewa kwa nini? Unamwita prof wa Kikwete,kwa yeye ndiye alimpa uprof au kila mtanzania akikosa ni Raisi kakosa, na wewe mtoa mada makosa yako hapa tumlaumu nani?
 
Rais jakaya akiangalia vitabu vyenye wasifu wake akiwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa pili kutoka kushoto pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba wa mwisho kushoto wengine kutoka kulia ni Mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mtunzi wa kitabu hicho Prof Julius Nyang'oro. Source: RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA KITABU KINACHOELEZEA WASIFU WAKE. | FULL SHANGWE BLOG
Naamini Profesa hawezi kuandika wasifu wa mheshimiwa Rais bila idhini yake Mh. Rais Jakaya Kikwete.
mwambene%2B598.jpg
 
[h=2]North Carolina Academic Scandal: Documents Show Close Relationship Between Athletic Department and Professor[/h]All, College Basketball, College FootballJason LiskJune 9th. 2013, 5:35pm
Screen-Shot-2013-06-09-at-3.39.12-PM.png

The African-American Studies Program at the University of North Carolina has been at the center of the academic scandal, as a result of several classes that did not require attendance. These "paper" classes allowed students to submit a paper at the end of the semester, and were a frequent target of athletes. That in and of itself would not be troublesome–word gets around at a school about certain classes to take, and students will gravitate there.
[Related: North Carolina Academic Scandal: Why Did Basketball Players Stop Majoring in African and Afro-American Studies in 2009?]
The University has tried to pin the blame on fraudulent classes on the professor who headed the program, Julius Nyang'oro and his Department Manager, Debbie Crowder. However, correspondence obtained a year after a public records request by the Raleigh News & Observer shows a stronger relationship. Take for example this exchange between an academic adviser for athletes named Jaime Lee, and Nyang'oro.
"I failed to mention yesterday that Swahili 403 last summer was offered as a research paper course," wrote Lee, who was helping football players at the time. "I meant to (ask), do you think this may happen again in the future?? If not the summer, maybe the fall?"
Nyang'oro responded: "Driving a hard bargain; should have known…..:)Will have to think about this, but talk to me…."
Nyang'oro did not schedule the Swahili class, but he did create another one for the summer. Later that day, he emailed Lee: "I have added AFAM 398 to our Summer Schedule….:)."
Lee responded with a similar emoticon: ":) thanks! I appreciate that!"
[Related: NCAA Ruling on North Carolina Academic Scandal Was to Protect the Basketball Program, Right?]
Another e-mail from an associate director of academic support for football players said "I hear you are doing me a big favor this semester and that I should be bringing you lots of gifts and cash???????"
Other e-mails show that athlete support counselors discuss giving food and football tickets to Nyang'oro and his family. One even references allowing him to be do some "guest coaching" by getting to come down to the sidelines during a game.
[Related: North Carolina Academic Records Continue to Show Corrupt Culture that NCAA Will Ignore]
Surprisingly (sarcasm font) the internal investigation did not uncover these e-mails. This is the pattern. The University claims the investigation has been thorough, while using delay tactics to not release records. The records eventually show more. Rinse, repeat.

 
Mtanzania,
Hapa Marekani kwa mwanamichezo kuweza kuendelea kucheza katika chuo ni lazima uwe na grade fulani, siyo chini ya B, katika masomo yako. Hilo ndilo tatizo kubwa. You must maintain your academic performance.
 
Wazungu noma, wanakuvua nguo na kukutembeza uchi dunia nzima! yaani huyu prof. sijui kama anaweza kupata kazi ya kufundisha tena kwenye vyuo makini. Inabidi arejee bongo tu amalizie hiki kimhura na mkuu!
 
Sijui kwa nini nikiusoma hui uzi Fikra zangu zinanipeleka kwa Kiranga . Mnisamehe ni mawazo tu
 
Last edited by a moderator:
pmwasyoke, makoye2009, Mtanzania,

..sheria za marekani, ili uweze kucheza ktk NBA[basketball] , au NFL[american football ambayo inafanana na rugby], ni lazima upitie CHUO KIKUU walau mwaka mmoja.

..kwa NBA unaweza kutokea moja kwa moja high school, lakini ukienda chuoni ni lazima ukae at least mwaka mmoja.

..tatizo ni kwamba wengi wa hawa wanamichezo huwa hawana qualifications hata za kumaliza high school.

..wengi wao huwa wanabebwa-bebwa toka high school mpaka chuo kikuu ilimradi waweze kuwa na huo mwaka mmoja wa chuoni.

..wanapofika chuoni pia kuna kuja tatizo lingine. ili timu za NBA au NFL ziweze kukuchukua baada ya mwaka mmoja chuoni inabidi uwe mzuri kupindukia. baadhi ya wachezaji waliokaa chuoni mwaka mmoja ni kama Carmelo Anthony wa New York Nicks.

..sasa kama mtoto/kijana siyo mzuri kama hao wakina Carmelo Anthony, basi ndiyo inabidi aendelee kuwepo chuoni walau mpaka apate shahada yake, which usually takes 3 to 4 yrs. kipindi hicho kinampa mtoto/kijana muda wa kukua, na kunolewa zaidi kimichezo, ili aweze kuvutia timu nyingi zaidi ktk proffesional level.

..kama nilivyoeleza mwanzo hawa watoto wengi wao wana vipaji vya michezo, lakini hawana uwezo wa kimasomo. wengi wametoka familia masikini sana, kwa hiyo michezo ndiyo nafasi yao pekee ya kujisaidia wao wenyewe na familia zao. kwa msingi huo ili waweze kupata hizo shahada, ndiyo inabidi wabebwe kwa namna moja au nyingine.

..pia timu za michezo ktk vyuo vikuu vya Marekani ni miradi ya mabilioni ya fedha. siyo jambo la ajabu kukuta kocha wa basketball analipwa mamilioni ya pesa, yaani kushinda Mkuu wa Chuo, au hata ma-professor wakali chuoni.

..smazingira hayo hapo juu ndiyo yanayozalisha kashfa kama ya Professor Nyang'oro.

NB:

..naomba maelezo yangu yasionekane kama natetea rushwa. nimejaribu tu kueleza kwa kadiri ya uwezo wangu uelewa wangu kuhusu kashfa hii.

CC: ndumyana, Spike Lee, Jasusi
 
Last edited by a moderator:
Aah kumbe! Ndio maana MBAs ni za kumwaga huku mitaani siku hizi.
Nilikuwa najiuliza kila siku mtu mjinga kama Ridhiwani Kikwete amepata vipi degree ya sheria? jibu ni hili hapa, na inaonekana Bongo mambo ndio mabaya zaidi eti Nape Nnauye aliyeferi form four leo ana Masters! only in Tanzania.
 
Uzuri wa US they don't give a f*** hata uwe rais ukivunja sheria za nchi ni jela, sio kama bongo policcm kazi yao kulinda maccm na liserekali lao feki.fungeni kabisa huyo diplomatccm .safi sana.
 
Profesa boksi lilizidi kuwa zito akaamua azichangishe kiaina.
Wabeba maboksi ughaibuni tabu tupu
 
kunguru afugiki, sasa unategemea ukimchukua mtu kama prof. J Maghembe akafundishe marekani itakuwaje? mifisadi fisadi tu.
 
Back
Top Bottom