Julius Nyang'oro, author of Kikwete bio resigns from UNC

Nilikuwa najiuliza kila siku mtu mjinga kama Ridhiwani Kikwete amepata vipi degree ya sheria? jibu ni hili hapa, na inaonekana Bongo mambo ndio mabaya zaidi eti Nape Nnauye aliyeferi form four leo ana Masters! only in Tanzania.

sio nape tu, zuzu kama mwigulu nchemba eti anjiita mchumi wa daraja la kwanza! utajiuliza kwa akili ile finyu kasomaje?
 
Huyu jamaa alikuwa ngangari 90's na kushinda tuzo zaidi ya moja pale Chapel Hill. Baada ya kujiingiza na mambo ya CCM 2003, sumu ya kifisadi ukamjaa kichwani kwake, na kutuharibia sifa za wasomi wa kibongo.
 
Huyu jamaa alikuwa ngangari 90's na kushinda tuzo zaidi ya moja pale Chapel Hill. Baada ya kujiingiza na mambo ya CCM 2003, sumu ya kifisadi ukamjaa kichwani kwake, na kutuharibia sifa za wasomi wa kibongo.

Una maana Magamba ndio wamemfanya aache kubeba boksi na kuanza kuanza uchafu uliopelekea hiyo academic cheating scandal
 
Like a father like a son kwangu mimi sioni maajabu hayo tena bado chini ya utawala huu yatatokea mengi yetu macho!
 
LAZIMA ATAKUWA KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI TU, ndivyo walivyo, ni MAPROF WACHACHE SANA WALIOJITAMBUA , KAMA PROF.BAREGU, PROF.SAFARI, huwezi kufananisha na PROF. JUMA KAPUYA ( AKUDO IMPACT), MAGEMBE, DR. JK, na wengine wakina Dr.nchimbi, Dr.mrema, Dr.kigwangwala, utasikia Dr.nape yaaani ccm mchezo mchezo ni kama Orijino Komedi
 
Back
Top Bottom