Juliana Shonza ni hatari kuliko tunavyodhani

Mimi sijawahi kuusikia hata huo ushawishi unaopambwa hapa. Kama kweli anao basi aanze kuufanya huko CCM maana hatujawahi kuuona. Juliana kama amerudi nyumbani sidhani kama amefanya kosa. Juliana kama mpiganaji wa CCM alitumwa vitani, amejeruhiwa na hana uwezo wa kupigana tena, ni sharti na ni busara CCM kumchukua na kumpokea vizuri mtu wao maana maana hata kama kwenye uwanja wa vita hakufanikiwa lakini ameumia akiwa kazini.

Nashangazwa na harakati na matusi yanayoendelezwa dhidi ya huyu mwana dada shupavu juliana shonza kisa kutoka chadema na kujiunga ccm. Alikiri mbele ya sekretariati ya ccm kuwa aliipenda chadema kwa dhati lakini amenyanyaswa na kufikiria mara mbili kuendelea kubaki chadema. Akasema yeye bado ni kijana na anaipenda nchi yake na anapenda siasa akafikiria njia nyinginr ya kuwasaidia watanzania kisiasa akaona ccm ndiyo chama kinachoweza kuishi na watu wa namna zote bila kujali tofauti. Sasa kumwita delila nyoka msaliti nadhani ni kufika mbali. Hata kama atazunguka nchi nzima si mpingane naye kwa hoja?? Sioni haja ya hofu. Nadhani katika makala yangu mjoa niliandika hapa kuhusu msimamo wa baadhi ya wasomi wanaomfahamu huyu msichana nao walishangaa chadema kukosa uvumilivu na kumfukuza mtu mwenye uwezo na ushawishi kama juliana. Nadhani wengi wanasema chadema imetupa almasi. Kweli ana iq ya hali ya juu nadhani ilibidi apewe muda wa kusikilizwa kuliko kufukuzwa. Kama chadema ilimfukuza imuache aangalie ustaarabu kwa wengine. Kama atapanda jukwaani kuisema chadema basi inabidi ajibiwe kwa hoja na si kutukanwa kama wengi wa wachangiaji wanavyofanya. Kwanza hiyo inaonesha kuwa bado chadema wanampenda lakini zaidi ni kama wanataka kumwaribia huko alikokwenda asifanikiwe. Labda hili ni onyo kwa chama kuwa na uvumilivu.
 
Sioni madhara yeyote zaidi ya faida. Una uchafu ndani ya nyumba yako, ukiuondoa ni hasara au faida?

Tusihadaike sana na kauli kuwa hana madhara. Dk Slaa mwenyewe alijua madhara yake ndio maana akawa anamzuia kuhudhuria mikutano ya uenezi mikoani. Hata alipohudhuria hakupewa nafasi ya kuzungumza. Katika siasa za kujihami kamwe huwezi kusema eti .nimezidiwa maarifa'. Hilo halipo. Kadhalika asingekuwa na madhara asingeondolewa bavicha.
 
Mwacheni akawe kitoweo cha wakubwa ndani ya ccm kesho tu mtasikia kapewa ukuu wa wilaya maana ndio zawadi ya kuwapeleka jehanamu
 
Nakaya sumary alidanganywa na shemeji yake Jk akahamia ccm leo hii yuko wapi.matokeo yake bwashe kamtosa hajampa hata ukuu wa wilaya.
 
juliana shonza ni sumu kwa cdm.kama asingekuwa sumu nisingejua kuwa dr.analipwa seven milion per mounth...nk
 
Nakaaya sumari, dadayake Nancy sumari alihamia CCM yuko wapi?!!!!.,

hana jipya jamani wala asisumbue watu akili, ccm wanasemaga ' kina wenyewe' hilo watua wamesahau? wanaokimbilia huko wanjua nafasi zao? au bendera fuata upepo??
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?
Walaaa subiri kidogo utasikia ameanza kugonganisha magari! Huko kwa majambazi vile vile umaarufu hautakiwi zaidi ya wakongwe!! amejizika!! Akina Sofia watamwacha ang'are subutu!!
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

Ha!ha!ha!ha!ha!.....who is Juliana Shonza????chizi huyu hamna kitu chochote zaidi ya kansa ya ubongo aliyonayo,waliondoka wakina KABOUL na wamefia mbali atakuwa huyu kupe
 
Chama Cha Magamba ni hodari wa staging yaani usanii wa Jukwaani.
Delila ni Delila tu awe ndani ya Chadema au kule kwenye Chama Cha Magamba. Shonza ni Delila na atabaki kuchukuliwa kama Delila hata huko aliko. Dhambi ya Usaliti na roho ya kisasi huwa haifi ndani ya MTU wa aina hii.
Asifikiri atapewa full access kama anavyotarajia. Watam- monitor kwa karibu zaidi kuliko alivyofikiri, coz wameshaijua zaidi tabia yake ya Kigeu geu.
Hakuna hata mtu mmoja aliyetoka ndani ya CHADEMA na akawa potential leader ndani ya Chama Cha Magamba.
Shonza umepotea, wewe ni giza na gizani umerudi. Chamba hicho kitakufanya mavumbi na mavumbini umesharudi. Buriani SHONZA, Tulikupenda ndani ya Chadema lakini Mungu amekupenda zaidi. Hatutakuona tena katika Ulingo Imara wa siasa.
 
Wakuu nimekuwa nikifuatilia mtiririko wa matukio tangu kuibuliwa kwa hoja ya masalia hadi kufukuzwa na hatimaye kufikia hatua ya kuhamia chama tawala baadhi ya masalia akiwepo Juliana na Mwampamba. Kuibuka kwa ile hoja ni jambo ambalo japo lilijadiliwa sana, chanzo chake ni tata. Waliohamia CCM ni wawili; Juliana na Mtela lakini anayesikika zaidi ni huyu dada. Awali alisema yeye bado ni BAVICHA na hautambui utenguzi uliofanyika. Mara tukasikia yuko CCM na kapokelewa na Rais! Akiwa yeye na mwenzake. Mara anatoa kauli kuwa yeye ni mzawa wa Ubungo na yuko tayari kupambana na Mnyika.

Niseme tu kwamba kazi aliyotumwa sio kwamba ameikamilisha. Ndio kwanza inaanza. Huyu ni Delila. Ni mzuri wa sura na umbo lakini ana akili ya nyoka. CHADEMA itambue yafuatayo;
1. Safari ya Juliana kuzunguka Tanzania nzima kueneza sumu dhidi ya chadema ndio imeanza.
2. Juliana ni hatari kuliko Mwigulu na Nape.
3. Juliana ana hasira za kweli (japo ni kwa upuuzi wake) juu ya CHADEMA na viongozi wake.
4. Juliana atakachoomba toka CCM kwa ajili ya kuikandamiza cdm atapewa. Kumbuka huyu ni Delila.
5. Watu watavutika kumsikiliza huyu binti kwa kuwa ni mwanamke na ana mvuto. Atajenga huruma kwa wavivu wa kufikiri na wepesi wa kusahau.
6. Kwa bahati mbaya kila atakachosema sasa na baadaye kitakuwa habari, hivyo athari yake si ndogo.

CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

Chama Cha Magamba ni hodari wa staging yaani usanii wa Jukwaani.
Delila ni Delila tu awe ndani ya Chadema au kule kwenye Chama Cha Magamba. Shonza ni Delila na atabaki kuchukuliwa kama Delila hata huko aliko. Dhambi ya Usaliti na roho ya kisasi huwa haifi ndani ya MTU wa aina hii.
Asifikiri atapewa full access kama anavyotarajia. Watam- monitor kwa karibu zaidi kuliko alivyofikiri, coz wameshaijua zaidi tabia yake ya Kigeu geu.
Hakuna hata mtu mmoja aliyetoka ndani ya CHADEMA na akawa potential leader ndani ya Chama Cha Magamba.
Shonza umepotea, wewe ni giza na gizani umerudi. Chamba hicho kitakufanya mavumbi na mavumbini umesharudi. Buriani SHONZA, Tulikupenda kisiasa ndani ya Chadema lakini Mungu amekupenda zaidi. Hatutakuona tena katika Ulingo Imara wa siasa.
 
Kwa mtu mwenye akili katika siasa atagundua kuwa huyu si mwana siasa bali ni Msaka Tonge. Binafsi siamini na kamwe sitaamini maneno ya mtu aliyetoka upinzani na kuhamia chama tawala hata kama katoka chama kidogo sana katika harakati za upinzani. By the way, huyu dada malalamiko yake si juu ya CDM kushindwa kuwatetea wananchi ila ni juu ya cheo chake alichopoteza sasa ana tofauti gani na wale wengine waliotufikisha hapa tulipo? Tusubiri atavuna masikio ya wajinga wangapi katika uongo na ubinafsi wake. Hili ni janga sugu la wazawa.
 
Dada yangu Shonza, mimi binafsi nilikupenda sana kisiasa katika ulimwengu wa siasa ndani ya Chadema, lakini sasa Mungu amekupenda zaidi na kukutoa katika Ulimwengu imara wa siasa na kukupa mauti kisiasa ili usionekane tena!
Dada yangu Shonza kumbuka kuwa Chama Cha Magamba ni hodari wa staging yaani usanii wa jukwaani na mashairi ya kusadikika. Walivyokupokea pale jukwaani siku ile, tena ukalakiwa na Msanii Mkuu, Mkuu wa Kaya na Main Actor wa Usanii Bongo, hawatakupa full access na vipaumbele kama unavyofikiri. Pale ulitumika tu kama nyenzo ya kutuliza Upepo Mkali wa Chadema unaovuma kwa kasi ya kung'oa mizizi na kubandua magamba ya Chama Kizee kinachokufa Bongo!
Wewe ni Msaliti na Delila Mkuu na huko uliko utabaki kuwa Delila! Kumbuka dhambi ya usaliti huwa haifi.
Wewe ni giza na gizani umerudi.
BURIANI SHONZA, SIASA ZA BONGO ZIMEKUACHA!
 
Mnampaisha kwa kumpa coverage ya mitandaoni eboo! who is shonza by the way???? Jadilini mada kubwakubwa za kuleta maendeleo ndani ya nchi hii
Dada yangu Shonza, mimi binafsi nilikupenda sana kisiasa katika ulimwengu wa siasa ndani ya Chadema, lakini sasa Mungu amekupenda zaidi na kukutoa katika Ulimwengu imara wa siasa na kukupa mauti kisiasa ili usionekane tena!
Dada yangu Shonza kumbuka kuwa Chama Cha Magamba ni hodari wa staging yaani usanii wa jukwaani na mashairi ya kusadikika. Walivyokupokea pale jukwaani siku ile, tena ukalakiwa na Msanii Mkuu, Mkuu wa Kaya na Main Actor wa Usanii Bongo, hawatakupa full access na vipaumbele kama unavyofikiri. Pale ulitumika tu kama nyenzo ya kutuliza Upepo Mkali wa Chadema unaovuma kwa kasi ya kung'oa mizizi na kubandua magamba ya Chama Kizee kinachokufa Bongo!
Wewe ni Msaliti na Delila Mkuu na huko uliko utabaki kuwa Delila! Kumbuka dhambi ya usaliti huwa haifi.
Wewe ni giza na gizani umerudi.
BURIANI SHONZA, SIASA ZA BONGO ZIMEKUACHA!
 
hebu acheni kumpaisha huyo chanjila
Mkuu , wanammisi Juliana, kwanza mtoto mzuri, halafu ni moto wa kuotea mbali.
Pakiwa na uozo hasikii la muadhini wala mchota maji!

CDM wanajipa moyo tu kwa ukiwa-halafu eti walimfukuza uanachama!!!!
Na huku wanamlilia lilia.
 
Juliana kazi yake inaanza wakati wa kampeni kuna maneno mengi yapo kwa ajili ya Dr Slaa mambo aliyokuwa anataka kuanyiwa Dr Slaa na Mbowe pamoja na Lema ikifika muda wake atafunguka.

kwa hiyo mumeshazoea kampeni chafu au unasemaje?
 
CHADEMA watambue sasa kuwa hawajaondoa tatizo bali wamezaa tatizo. Wamezaa si kwa kosa lao bali wakati mwingine inatokea tu. Wajipange katika kudhibiti athari zitakazotokana na kauli za huyu msichana. Historia isijeandikwa kupitia sumu ya huyu mtoto na kamwe asipuuzwe. Harakati zake kipindi cha masalia na PM7 dhidi ya CHADEMA zinajulikana, nazo zilikuwa za faragha na ziliathiri chama. Sasa hizi za hadharani nazo zikipuuzwa si balaa?

Waswahili wanasema heri nusu shari kuliko iliyo kamili. Kubaki na huyu mdada ilikuwa tatizo na sioninjia ya yeye kuleta tatizo kuliko lile ambalo angelileta akiwa ndani ya chadema.

By the way, kwa mujibu wa andishi lako ni kuwa UNAMUONA HUYU BINTI KUWA NI MAARAUFU KULIKO VYAMA NA SERA ZAKE. Basi ni nafasi yake kuudhihirishia uma, kuwa yeye ni bora kuliko vyama alivyowahi kuwa mwanachama, na akifanikiwa kwa hili basi atairudisha CCM katika mstari. Ama kweli, kumbe CCM ilikuwa imekosa mtu maarufu!!

Job true true
 
Back
Top Bottom