Juliana Shonza alipewa Unaibu waziri ili afanye nini?

Cheki tulivyo babuliwa Kenya majuzi. Hayo ndio matokeo. Waziri anashinda kwenye kiyoyozi akishuka kwenye gari halizimwi kisa akirudi akute kuna ubaridi. Lol wakati twajua alikokulia choo kilikua passport size mlango gunia...
Mabibo hukooo
 
Mkuu hii ipo applicable hata kwenye medani za kijeshi. baadhi ya askari wa kike wanapelekwa vitani sio kupigana bali kuwaongezea hamasa wapiganaji.
 
Akili za Rais anazijua mwenyewe.

Kila siku anataka aombewe, cha ajabu huku mtaani watu badala ya kumuombea mema, wanamuombea mabaya.

Ni hatari sana
Ni wewe tu na kagenge kako ndo mnaomba mabaya ambayo ni sawa na dua la kuku..
 
Wengi tunamsubiria mwana JF mwenzetu jamani. Nilimjulia kwa kumsoma humu na natumaink anajiandaa kutuletea mengi mazuri yaliyo chini ya Wizara yake.
 
Wengi tunamsubiria mwana JF mwenzetu jamani. Nilimjulia kwa kumsoma humu na natumaink anajiandaa kutuletea mengi mazuri yaliyo chini ya Wizara yake.
Soon utateuliwa uwe mkuu wa mkoa ili utume polisi watupige vizuri
 
Kuna baadhi ya watu hata kama wanafanya kazi kwa sifa lakin unaweza ukawapa hata % kidgo ya wanacho kifanya.

Mfno: Ndugu Kigwangala alipo teuliwa mara ya kwanza kuwa naibu waziri wa afya alifanya kaz kwa mbwebwe nyingi sana lakn zingne zilisaidia hata yeye kujitangaza na hata saiz anaendelea na mapambano.

Ndugu Jaffo kipindi akiwa Naibu waziri Tamisemi alifanya kaz sana ingawa ahad zao nyingi zilikuwa zinaminywa na mkulu lakn alionekana kupambana kuliko hta mkuu wake Simba chewene.

Naibu waziri wa Ardhi nyumba na makaz Anjelina ni mfno wa kuigwa kwa wanao teuliwa. January Makamba kaka yangu najua wizara ulipewa kama fadhila tu najua huifurahii bora saiz mwanzoni ulipoteza sana mvuto hata kukusikia ilikuwa ngumu.

Narudi kwnye maada ;
Naibu waziri Dada yangu Shonza hiyo nafasi uliyo pewa nadhan haikufai kabsa ukiwa kijana tena mwenye nguvu nilitegemea ungekuwa muwajibikaji kuliko hta Mzee wangu Mwakyembe.

Katika majukum ukipata nafas yakuwa chini ya mtu kama Mwakyembe ni wakati wako sasa kuonesha uhalisia na sababu ya ww kuteuliwa. Pomoja na ss Watanzania kuzoe kushuhudia wakipewa watu wasiyo fit kwenye hiyo wizara miaka nenda rudi lakin tunahitaj vijana mnao pewa hizo nafasi chakalikeni kadri muwezavyo.

Maamuzi ya Rais kukupa hicho kiti itumie kujitangaza kadri uwezavyo njoo mtaani zunguka nchi nzima jitangaze , kaza buti , pandisha soksi , vaa njumu ili tukuone hiyo wizara inahitaji ubunifu wa hali ya juu. Nitashangaa sana na narudia nitashanga sna kama Utaonekana hujipi promo na ukazidiwa na Mzee Mwakyembe.

Muoneshe mzee Magu na Mwakyembe kwamba naweza kama hutafanya hivyo ss vijana wenzako tutahisi kivingine kutokana na ww kupewa hiyo nafsi.

Shonza ulipewa hiyo nafasi ili ufanye nini?

mkuu unaweza kuweka record ya manaibu waziri wote?

bado imekuuma? mpaka january 2018....so kipindi kile ulikasirika sana!! chuki zilikujaa pomoni
 
Kwa hiyo hii serikali haihitaji watu wenye sifa na uwezo wa kufanya kazi,inahitaji watu wbabaishaji na wanaojua kupambana na wapinzani kwa kashfa na matusi?? Je nchi ya uchumi wa kati tutaifikia kwa mwendo huo??
Sio rahisi......wapi General tyre????
 
Back
Top Bottom