Jukwaa la wapagani tunataka Rais ajaye wa Zanzibar atoke Bara

Madikizela

JF-Expert Member
Jul 4, 2009
675
439
Kwa niaba ya Jukwaa tukufu la sisi Wapagani tunatangaza rasmi kuanza kwa kampeni za kinyang'anyiro cha uraisi kwa upande wa Zenjibari tunataka Raisi ajaye wa Serkali ya Mapinduzi Zenjibar atoke Bara.

Na kwa upande wa Bara Raisi atoke Zenj. mapendekezo yanatokana na uhalisia kuwa Haki sawa inapaswa iwe pande zote.

Nawasilisha

JLW
A%20S%20embarassed.gif

Mimi nadhani mngesema "tunashauri"na si "tunataka"!Kama ni suala la kutaka atatokea mwingine adai anataka raisi ajaye awe "mnubi"!
 
mbavu zangu, mbavu zangu, mwe! kwa kweli nimecheka sana, nadhani tapata usingizi mororo sasa baada ya siku nzima ya ukata.
 
Kwa niaba ya Jukwaa tukufu la sisi Wapagani tunatangaza rasmi kuanza kwa kampeni za kinyang'anyiro cha uraisi kwa upande wa Zenjibari tunataka Raisi ajaye wa Serkali ya Mapinduzi Zenjibar atoke Bara.

Na kwa upande wa Bara Raisi atoke Zenj. mapendekezo yanatokana na uhalisia kuwa Haki sawa inapaswa iwe pande zote.

Nawasilisha

JLW
:A S embarassed:
CONFIRMED? yaani tamko bila address, jina wala source linakuwa confirmed, tuambieni kama ni Kingunge tumuulize maswali likiwemo la UBT.
 
Hivi hawa wanaotaka raisi atoke Zanzibar kwa kigezo kipi mbona sijawai sikia tangu kuzaliwa raisi wa zanzibar kutoka tanganyika iweje wao waje huku watawale sie hata uwaziri hakuna bora kila mtu achukue chake tubaki na tanganyika yetu
 
Kwa niaba ya Jukwaa tukufu la sisi Wapagani tunatangaza rasmi kuanza kwa kampeni za kinyang'anyiro cha uraisi kwa upande wa Zenjibari tunataka Raisi ajaye wa Serkali ya Mapinduzi Zenjibar atoke Bara.
JLW
A%20S%20embarassed.gif

Mkuu naunga mkono hoja! Watu wa bara tumechoka kutawaliwa na Mizenji, ikiwezekana na sisi tukayatawale Mazenji, ingawa mijamaa yenyewe inakiburi sana sina uhakika kama Mmbara isiyesilim atayaweza.
 
naunga mkono hoja na tena akiwa mkatoliki itakuwa njema sana!! tunataka kuona zenjbari inashika kasi katika biashara ya kusafirisha kitimoto nje ya nchi kukuza pato la taifa, karafuu peke yake haitoshi
 
hata sisi kina Kanjibai tunataka rais ijayo ya Tanzania itoke kwetu INDIA kwa upande ya Zenjbar tungependekeza rais ijayo ya zenj itoke Mwanza au Tabora maana Zenj iko WANYAMWEZI mingi
 
Hivi hawa wanaotaka raisi atoke Zanzibar kwa kigezo kipi mbona sijawai sikia tangu kuzaliwa raisi wa zanzibar kutoka tanganyika iweje wao waje huku watawale sie hata uwaziri hakuna bora kila mtu achukue chake tubaki na tanganyika yetu

Kwani ushawahi kumsikia mzanzibar anahusibiri muungano ? Muungano ni ajenda ya Tanganyika ikishirikiana na kanisa katoliki.Au mkuu ulishawahi kusikia kura ya maoni dhidi ya mchakato wa muungano, halafu walio wengi huko visiwani wakasema wanataka muungano ?

Hii iwe changamoto kuu katika ajenda ya katiba mpya, lazima kuitishwe kura ya maoni na maamuzi ya walio wengi yaheshimiwe hata kama yataukana muungano.
 
Ebwanaee hilo jukwaa la wapagani linapatikana wapi?? Address yake, simu nk. Kuna wanachama kibao kama vipi niwalete...
 
Mkuu naunga mkono hoja! Watu wa bara tumechoka kutawaliwa na Mizenji, ikiwezekana na sisi tukayatawale Mazenji, ingawa mijamaa yenyewe inakiburi sana sina uhakika kama Mmbara isiyesilim atayaweza.

halafu mizembe
 
Hivi hawa wanaotaka raisi atoke Zanzibar kwa kigezo kipi mbona sijawai sikia tangu kuzaliwa raisi wa zanzibar kutoka tanganyika iweje wao waje huku watawale sie hata uwaziri hakuna bora kila mtu achukue chake tubaki na tanganyika yetu
.........mkuu kigezo chao ni imani, wanaamini akitoka Zanzibar ni lazima atakuwa wa imani fulani ili miaka atakayotawala ikijumuishwa na ya wenziwe wa imani yake atleast ilingane na wale wa imani fulani waliokwisha tawala; hata siku moja hawa jamaa hawaangalii output wala outcome za uongozi zaidi ya imani, kwa ufupi ni kama ujuha vile
 
Songíto;3099134 said:
naunga mkono hoja na tena akiwa mkatoliki itakuwa njema sana!! tunataka kuona zenjbari inashika kasi katika biashara ya kusafirisha kitimoto nje ya nchi kukuza pato la taifa, karafuu peke yake haitoshi

dah nimecheka kweli. safi sana
 
Siku hizi JAMII FORUM baadhi ya watu hawatumii tena akili kuwasilisha au kujibu hoja....hoja inawekwa upande wa uislamu au ukristo kwanza kisha ndo inawasilishwa au kujibiwa... kila la heri enyi msioona mbali
 
Kwani ushawahi kumsikia mzanzibar anahusibiri muungano ? Muungano ni ajenda ya Tanganyika ikishirikiana na kanisa katoliki.Au mkuu ulishawahi kusikia kura ya maoni dhidi ya mchakato wa muungano, halafu walio wengi huko visiwani wakasema wanataka muungano ?

Hii iwe changamoto kuu katika ajenda ya katiba mpya, lazima kuitishwe kura ya maoni na maamuzi ya walio wengi yaheshimiwe hata kama yataukana muungano.

Yaani we kilaza ungejua jinsi Watanganyika hatuupendi huu muungano, usingefungua domo lako kuropoka eti muungano ni ajenda ya Watanganyika. Huu muungano ni ajenda ya Magamba, wake zao (cough) pamoja na wajinga wenzenu toka zenji wanaotaka kuwatawala milele. Muulize Salim A Salim anajua kiasi gani Watanganyika hatuutaki huu muungano. Ngoja Makamanda washike hii nchi uone jinsi huu Muungano utakavyopotezwa kama mwanga wa flash.
 
Mkuu ukishatusi watu namna hio ndio uonekane msomi au ?Yawezekana kabisa wananchi wa kawaida Tanganyika wasijue umuhimu wa muungano wala kuunga mkono.Lakini hoja inabakia pale pale, alieshabikia ni babu yenu wa taifa.

Na si kweli kama ajenda yake kuu haijulikani, moja ambayo nina uhakika ni udini.Ajenda ambayo sidhani kama ina umuhimu wowote ule.
 
Back
Top Bottom