Jukwaa la Katiba kutangaza Maombolezo ya siku 9!

sisi kama raia hatuna namna zaidi ya kuingia barabarani kwasababu najua tukiomba tukutane na JK (Jua Kali) hatakubali

Great! sasa tunajipangaje maana imezoeleka kwama cdm ndo siku zote wanaorganise maandamano u see! tufanye maandamano yasiyofungamana na part yoyote tena tumebeba mabango na bendera ya taifa! tatizo ni vipi tutayafaya!
 
Chadema walipoteza mwelekeo pale walipoamua kuunda kamati ya kukutana na JK. Kama walijua kwamba wanaweza kuunda kamati kwanini hawakufanya hivyo kabla ya kuamua kutoka bungeni? Nishapoteza imani na Chadema hadi hapo. Nawaona ni walewale tu. Like father like son.
 
Yatupasa kulichukulia suala hili kitaifa zaidi! tuweke mambo ya parts pembeni! Zingatieni JK amelazimika kusign mswaada kwa sababu eti asiposign chama chake hakitamwelewa! Hili ni tatizo kubwa sana! Kumbe nchi hii ni ya ccm?? wale wasio na chama kumbe si raia wa nchi hii sasa twende wapi tufanye nini Ebu tufikiri hapa kwa uchache wetu na tutoke humu na kitu cha kufanya pls tuache utani katika suala hili nakuombeni sana sana.

Lete mbadala Mkuu, una hoja ya msingi kabisa hapa:A S-coffee:
 
Nimesikia siku moja katika TV kuna Mtu yupo Mza anawadhifa wa mwenyekiti wa wapiga kura kanda ya Ziwa, sijui alipatikanaje ila kama ni kwa njia za kidemokrasia kuna haja ya kuwa na mwenyekiti wa watanzania kila wilaya sasa ili aweze kutoa sauti za wananchi hasa kwa dhati na wala si huu usanii wa baadhi ya makundi kuficha agenda zao nyuma ya mgongo wa kuwa kwa maoni ya wananchi wengi (wangapi haswa?) mbona kama tunaburuzwa hivi?

Time for change

ADIOS

Yes pia idea safi! pasua kichwa mkuu samahani mwenye uzi usione kama ninailead topic yako we shud do something bana tumechoka!
 
Chadema walipoteza mwelekeo pale walipoamua kuunda kamati ya kukutana na JK. Kama walijua kwamba wanaweza kuunda kamati kwanini hawakufanya hivyo kabla ya kuamua kutoka bungeni? Nishapoteza imani na Chadema hadi hapo. Nawaona ni walewale tu. Like father like son.

Bahati mbaya maelezo ya CDM kuhusu hili yanakinzana ila bado tunahitaji ufafanuzi wa kina kutoka kwa jemedari, thanks PhD hakuwepo katika msafara huu maana ingekuwa uncontainable political smash...Huna sababu ya kupoteza imani Mkuu kabla ya kupata ufafanuzi wa kina.
 
Chadema walipoteza mwelekeo pale walipoamua kuunda kamati ya kukutana na JK. Kama walijua kwamba wanaweza kuunda kamati kwanini hawakufanya hivyo kabla ya kuamua kutoka bungeni? Nishapoteza imani na Chadema hadi hapo. Nawaona ni walewale tu. Like father like son.

Katika jitihada yeyote ile kunakupatia na kukosea! hizo zillikuwa jitihada zao! la muhimu hapa nikuwashukuru kwa kujaribu kuutetea umma huu wa watanzania so far so good!! lakini lazima tukubaliane katika suala hili la katiba tusimame kama raia wa Tanzania tusiendelee kuwaponza cdm Kama tutaendelea kuwasubiri cdm watulilie kwa wanaojiita wenye nchi basi wataendelea kutudharau!!! lakini tukitoka mimi wewe na yule kama raia tunaotaka katiba yetu bila msukumo wa part yeyote they have to backoff!!
 
Maombolezo bila kibali nayo ni uvunjaji wa sheria zinazopaswa kusimamiwa na geshi la polisi la nji hii! Ikiwa mliacha kuandamana kwa kuogopa virungu na mabomu ya machozi; basi hata mkiomboleza tutakuja kuwanyuka na hivyo vitu huko huko msibani! By the way, issue haikuwa kuandamana, issue ni tishio kutoka kwa Alshabab, na kv tishio hilo halijaondoka, basi tutakuja piga mabomu huko kwenye makutano ya maombolezo yenu......amini amini nawaambia, ni kheri tuwatwangwe virungu wale wasio na mbio pamoja na mabomu ya machozi kuliko mje kutwanga na risasi pamoja na maguruneti toka kwa Alshabab....!! By the way, Alshabab wataua halaiki, sisi tutaua kama wawili watatu tu ili tusichafue sana rekodi yetu....Zimwi likujualo, halikuli likakwisha!
OVER!

Moja kati ya majanga makubwa yanayolikcili taifa letu ni uwepo wa viumbe wachafu kama wewe ambao ni kama laana iliyotupwa juu ya nchi!

Najua shamba huwa halikosi magugu, tutapalilia na kuyatupa mbali ili hatimaye tuvune mazao tunayopanda.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake!
 
Back Home Mkuu...Tupo pamoja Tena.

Kinachoninyima usingizi ni hizi rasilimali wanazotumia kuamsha vuguvugu la Katiba na Midahalo ya TV waliyoendesha nchi nzima. Inasadikiwa wanalipia karibu milioni 20 kwa airtime ya kipindi kimoja.

Ntafuta details zaidi. Hapa si bure

Mwisho wa kipindi huwa hawasemi ni kwa hisani wa watu wa nchi gani?
 
Katika jitihada yeyote ile kunakupatia na kukosea! hizo zillikuwa jitihada zao! la muhimu hapa nikuwashukuru kwa kujaribu kuutetea umma huu wa watanzania so far so good!! lakini lazima tukubaliane katika suala hili la katiba tusimame kama raia wa Tanzania tusiendelee kuwaponza cdm Kama tutaendelea kuwasubiri cdm watulilie kwa wanaojiita wenye nchi basi wataendelea kutudharau!!! lakini tukitoka mimi wewe na yule kama raia tunaotaka katiba yetu bila msukumo wa part yeyote they have to backoff!!

Mawazo yake ni ya msingi sana, tusisubili CDM watusemehe matatizo yetu, huu ndo muda muhafaka wa sisi wananchi kupambana kudai haki yetu, katiba si mali ya C.C.M, CDM, NCCR wala jukwaa la katiba. Katiba ni mali yetu sisi wananchi.
Swali tutaidahi kwa njia ipi wanaJF?
 
Mie sijaamini kilichofanyika, au walienda Ikulu kutafuta kitu gani mbona impact ya wao kwenda haikuonekana?
 
HAO JUKWAA LA KATIBA NAO WANAFIKI TU,HAO CHADEMA NDO WAMEVUNA AIBU YA MWAKA KABISA,CHA MSINGI KILA MTANZANIA ASIMAME KIVYAKE TU,WANAOTUONGOZA WOTE NI WASALITI NA WANAFIKI WAKUBWA! :eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:
 
Tumekuwa kama kuku wa kienyeji, tunapelekwa pelekwa hovyo kama mifungo machungani, ili mradi kila mtu, kikundi, taasisi au chama kipate kibali juu yetu. tumepigwa mabao mengi yasiyohesabika, tena mengine ya tobo. lakini tumekuwa wagumu sana ku realise kwamba hizi ndizo siasa, yaani uongo ulio komaa. si CCM, CDM, NCCR au CUF wasiofanya Siasa, wote wanafanya Siasa, tena wengine wanafanya zile siasa Chafu.
Ingekuwa heri kama tungedai Katiba yetu bila kuwatumia hao wanaojidai kutusemea ili hali wanayo malengo yao binafsi. Lakini Je mfumo wetu unaruhusu kufanya hivyo?
 
Hapa ndo shughuli ipo!! "It seems no where to go ama?"

Tuomboleze kwa kutokushiriki sherehe ya miaka 50 ya uhuru kwa vile sisi ni koloni na watumwa wa sisiemu mafisadi.
 
Jukwaa la Katiba kutangaza Maombolezo ya siku 9

Katika kuonyesha msimamo wao wa kutokubaliana na maridhiano tete kati ya CDM na JK, Jukwaa la katiba lipo katika mchakato utaofanikisha kutolewa kwa tamko rasmi muda wowote kuanzia sasa kuhusu maombolezo ya siku 9 kwa msiba mkubwa wa Katiba.

Tafsiri sahihi ya maombolezo haya ni kuonyesha kwa namna ambavyo mbio za katiba mpya zilivyofikia ukingoni kwa masilahi ya dola na si nini wanachotakiwa kufanyiwa watanzania.

Bado sintofahamu na wingu kuhusu makubaliano ya CDM na JK yanazua maswali mengi kwa makundi shiriki katika kudai uwazi juu ya mchakato wa Katiba Mpya.

Kama muafaka utapatikana maombolezo haya yatadumu kwa siku 9 kuanzia desemba mosi hadi siku ya kumbukumbu ya uhuru.

Technically: Makubaliano ya kuuboresha mswaada yaliyofikiwa na CDM na JK yatatoa nafasi kwa nyongeza hiyo kufanyia marekebisho sheria ya kuundwa katiba mpya na si mswaada kwa maana kwamba marekebisho ya sheria kwa mujibu wa taratibu za Bunge hufanyika baada ya Kipindi cha miezi 6 na si vinginevyo.

Utagundua ndani ya muda huu JK na CCM watakuwa wamefanya mengi ya kutosha katika kupata katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuunda tume, kukusanya maoni kwa tume isiyo na meno na hatimaye baada ya miezi sita marekebisho ya sheria yanafanyiaka bungeni huku mchezo ni kama umekwisha hivi.

My Take: sijui hii move ya CDM tuiite bao la kujifunga au bao la offside, Tusubiri tusikie ya Jukwaa la Katiba leo.

ADIOS

Sasa Maandamano wanaogopa kufanya leo wanatuambia kuwa Maombolezo sasa kafa nani?
Idea Zingine bwana hazina Impact yoyote

Limekwisha hilo siuoni umuhimu wa kuwa na jukwaa la katiba uzushi mtupu
 
Dah! hivi yupo mtu anaweza kuja na solution hapa! yani sisi kama wenye nchi tumepuuzwa waziwazi sasa tufanye nini? mambo ya cdm na Jukwaa la katiba tuwaache waendelee na bidii zao sisi kama raia tufanye nini sasa?
The solution is simple and clear, Kenya waliwahi kufanya hivyo wakaweza, lakini kwa kuwa sisi watanzania hatutaki kushirikisha AKILI zetu na VITENDO vyetu ndiyo sasa tunaona there is no way out.Solution ni kwamba siku ya referundum kila mtanzania aende akapige kura ya kuikataa hiyo KATIBA MPYA YA JK na CCM yake. SIMPLE as A,B,C. Mpaka serikali itakapotuletea KATIBA YA WANANCHI.Lakini kwa kuwa hii serikali imeonekana kutotusikiliza sisi waajiri wao we can go further, 2015 tunai vote OUT hii serikali na kuiingiza serikali itakayo kuwa tayari kutuletea katiba mpya ya wananchi. There is no magic on that. Lakini kwakuwa Watanzania wengi wanasumbuliwa na njaa na UJINGA tunaona solution hiyo is a far fetched idea.
 
Unajua kama CDM wangeacha kukutana na rais, badala yake wakauelimisha umma juu ya maamuzi yao ya kutoka bungeni, na pia msimamo wao iwapo mswada ungesainiwa, ingewapa heshima sana, kuliko huu upuuzi ambao umeiacha chadema na aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom