Jukwa la sheria lisilo na wanasheria

mwananyiha

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
248
43
Wanajamvi nimekuwa nikifuatilia majukwaa mbalimbali kama vile siasa, uchumi, technologia na mengine ndani ya JF. Katika majukwaa yote hayo nimekuta hoja zikitolewa ama kama mtu anahitaji ufafanuzi wa suala fulani hoja na ufafanuzi wa nguvu vimekuwa vikitolewa. Lakini katika jukwa hili la learned brothers/sisters imekuwa tofauti kwani jukwa limepooza sana mpaka nimeanza kujiuliza je, halina wanasheria au ni uchoyo wa kutaka wengine wasijue kile wenyewe wanachokijua au ni uvivu wa the learned kuchukua hatua au......
 
Wanajanvi nimekuwa nikifuatilia majukwaa mbalimbali kama vile siasa uchumi technologia na mengine ndani ya JF. Katika majukwaa yote hayo nimekuta hoja zikitolewa ama kama mtu anahitaji ufafanuzi wa suala fulani hoja na ufafanuzi wa nguvu vimekuwa vikitolewa. Lakini katika jukwa hili la learned brothers/sisters imekuwa tofauti kwani jukwa limepooza sana mpaka nimeanza kujiuliza je, halina wanasheria au ni uchoyo wa kutaka wengine wasijue kile wenyewe wanachokijua au ni uvivu wa the learned kuchukua hatua au......

Ulichokisema ni kweli kabisa. Kimsingi kuna wanasheria wengi sana humu jukwaani. Wanasheria makini, Wanasheria vilaza na wanasheria pori"bush lawyers". Kwanini jukwaa hili limekosa msisimko ni kuwa kuna baadhi ya wachangiaji wamekuwa wakileta siasa na usanii katika kuchangia mada. Usanii huo umekuwa ukiwavunja nguvu wanasheria makini. HATA HII THREAD YAKO, INAWEZA KUPONDWA WAKATI UMELETA HOJA YA MAANA
 
bora lipooze tu kuliko kuandika mambo yasikuwa na hoja. kwani huko kwenye siasa ukianza kufilter post kati ya post 20 basi 5 labda ndio unaona ni za ma great thinker.

Mtu anaulzia anazisha post kama "mama salama ikwete wapi sijamsikia / yuko wapi" Dah Jf bana
 
Ili kuboresha jukwaa la sheria inabidi wachangie wanasheria tu, na kama mtu hana uhakika afanye research kabla ya kutoa opinion yake.
 
Ukitaka mada yako ichangiwe kwa urahisi we iweke kwenye jukwaa la wakubwa mana wote wanatembelea huko. kawaida members wana anza na new posts kisha jukwaa la wakubwa na kutoka huko ni badaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndo wanende kwenye proffesionalism.
 
Wanajamvi nimekuwa nikifuatilia majukwaa mbalimbali kama vile siasa, uchumi, technologia na mengine ndani ya JF. Katika majukwaa yote hayo nimekuta hoja zikitolewa ama kama mtu anahitaji ufafanuzi wa suala fulani hoja na ufafanuzi wa nguvu vimekuwa vikitolewa. Lakini katika jukwa hili la learned brothers/sisters imekuwa tofauti kwani jukwa limepooza sana mpaka nimeanza kujiuliza je, halina wanasheria au ni uchoyo wa kutaka wengine wasijue kile wenyewe wanachokijua au ni uvivu wa the learned kuchukua hatua au......

Mkuu kama wewe ni mwanasheria utakuwa unajua au kama hujui unatakiwa kujua kuwa " a proper lawyer does not talk unless their is an issue".
 
Wanajamvi nimekuwa nikifuatilia majukwaa mbalimbali kama vile siasa, uchumi, technologia na mengine ndani ya JF. Katika majukwaa yote hayo nimekuta hoja zikitolewa ama kama mtu anahitaji ufafanuzi wa suala fulani hoja na ufafanuzi wa nguvu vimekuwa vikitolewa. Lakini katika jukwa hili la learned brothers/sisters imekuwa tofauti kwani jukwa limepooza sana mpaka nimeanza kujiuliza je, halina wanasheria au ni uchoyo wa kutaka wengine wasijue kile wenyewe wanachokijua au ni uvivu wa the learned kuchukua hatua au......

Umesema kweli, ila wanasheria wapo, sana sana ni ubusy tu, muda mdogo kuna mambo mengi mezani, mfano hapa naandaa submission wakati bado kuna pleadings za plaints na WSD kibao zinasubiri na dates of filing ndiyo hizo zimefika. Siku ingine, anagalau nimepitia
 
Sheria co siasa, hacha hao wenye mawazo mgando waishie huko huko kwenye hayo majukwaa. Mtu anaandika wazo utafikiri tamthilia za Malichuy (na episode ndani). Huku njoo na hoja ya msingi wa sheria ndo'inakua discussed.
 
Back
Top Bottom