J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Atawahi? si alitaka kutoka Serikali ikamwambia subiri ujuwe ni nani zaidi wewe kinyangarakata au Serikali?

FaizaFoxy,

Acha lugha za kifedhuli ewe jike usiye na haya.

Serikali yako ya Magamba ilipeleka Makamishna 2 kwenda kumwomba Lema atoke kwa vile hali ya Jiji la Arusha ilikuwa inazidi kuchafuka! Lakini kwa vile tunajua kuwa Maborisi ya Tanzania ni kama roboti za remote control, wale makamishna 2 na Hakimu mkazi wa Mahakama husika yalipokea amri kutoka wapi sijui wakaamua tena kuendelea kumshikilia Lema!

Kwa vile CCM wanafikiri kwa kutumia ma***** yao waliendelea kumshikilia Kamanda Lema wakifikiri wanamkomoa kumbe ndo wanazidi kumwongezea umaarufu. Mpaka sasa Lema ameshapanda Chati kumzidi hata KIWETO!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom