Joyce Kiria ajifungua Baby Boy

Hongera sana...nilikuwa nina nina pishana naye sana nyumba za wageni...Hongeara sana
 
Nakumbuka kama huyu mdada alikuwa kaolewa na DJ Nelly lakini nilisikia waliachana zamani sana. Mwenye taarifa sahihi atueleze huyu mtoto sasa ni wa DJ Nelly au alipata bwana mwingine????
Alishamwagana na Nelly baada ya ndoa ya kanisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom