Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

Status
Not open for further replies.
Huyu mzee ni mnafiki sana, shida yake urais tu utadhan kaoteshwa kuwa atashinda lol... hebu aende zake huko, mara ooh sijui kavunjika mkono kisa chama, sasa hiyo ndio tiketi ya urais?!! Ebooo, hakuna aliye juu zaidi ya chama

mi nafikiri sio vizuri kumtukana dr slaa kwani ameisidia saana CDm,pia kutofautiana kwake mawazo na viongozi wenzzake ni sehemu ya demokrasia
 
Hivyo ni baadhi ya viashiria bya kununuliwa inamaana hata mie hapa kama nikiwa na mabilion nikaenda leo edo watamtoa tu,shame on you chadema,sina heshima nanyi na wala hamjui what si democracy,demorasia si kupendelea mwenye hela tena zinazonuka ndo mwampitisha tena ndani ya chama ana siku kadhaa tu,suburinu atawatenda tu na kumtoa hamtaweza maana kanunua chama

Acha kukariri mkuu unaweza kuthibitisha kuwa Chama kimenunuliwa? au unaleta maneno ya BAR kwenye issue Serious
 
Sasa kwa nini msilisongeshe tu mbele bila yeye. Mpaka muanze kumtukana Dr. Slaa kweli? Nimeamini watu kweli hawana ajira kwenye nchi hii wengi wanategemea kutokea siasa

Mkuu unajielewa? nani asie naajira ni Dr au nani anaetegemea SIASA kwa taarifa tu sisi wengine hatutaki hata kuwa na CARD ya chama chochote cha Siasa Tunachotaka ni CCM kuondoka madarakani nachama kitakachokuja kikizingua nacho pia TUPA KULE wanasiasa ndio wameua hii Nchi..sio watu wakuwachekea wanakwambia uchumi umekuwa Kwavile nikwenye mifuko yao....Unasema tulisongesha unadhani itaundwa tume kwenda kumBEMBELEZA? hapana Mambo yatakwenda tu Hasira za Mkewe zikiisha atajiunga nasi mbele ya Safari
 
Well..for whatever mistake au kwa mazingira yeyote,bado MKE wa dr. Hana na hapaswi kuingilia plan na maamuzi ya chama, na nionavyo Kama ni kweli huyu dada ni influential kwa dr basi ni hatari as far as chama ni institution na si mali yake....that take me back kwa ushauri wa mwl .Jk aliozungumza juu ya mtu kushauriwa na mkewe na kuliamulia Taifa.

However..these are hearsay lets wait n see..what goz arround comez arround!
 
Nimegundua aina ya first Lady ambae tungekua naye kama Dr angeshinda urais sipati picha.
 
Mwanaume lazima uwe na maamuzi kama ya Edo mwanamke alikataa asihame akasimama kama mwanaume atimae kamrudisha kwenye msitari kazi inasonga mbele.
 
Mbowe amewatuma mje mumzushie josephine eehh . Kama hamjui mbaya wenu mbowe na mtei. Msimfanye dada wa watu kuwa scapegoat.
 
Have 1000 likes!

ukawa itakapofail this times itachukuwa miaka 50~100 kupata kium be mwenye nguvu kama lowassa!
plz,plz slaa join the forces
 
Mkuu unajielewa? nani asie naajira ni Dr au nani anaetegemea SIASA kwa taarifa tu sisi wengine hatutaki hata kuwa na CARD ya chama chochote cha Siasa Tunachotaka ni CCM kuondoka madarakani nachama kitakachokuja kikizingua nacho pia TUPA KULE wanasiasa ndio wameua hii Nchi..sio watu wakuwachekea wanakwambia uchumi umekuwa Kwavile nikwenye mifuko yao....Unasema tulisongesha unadhani itaundwa tume kwenda kumBEMBELEZA? hapana Mambo yatakwenda tu Hasira za Mkewe zikiisha atajiunga nasi mbele ya Safari

Mkuu ulianza vizuri ila umemaliza vibaya, kama ni kweli hasira za mkewe ndio chanzo cha haya yote basi wacha tu hizo hasira zisipoe kabisa milele. Hatuwezi kua na mtu ambae uwepo wake kwenye mapambano unategemea mkewe kaamkaje siku hiyo
 
Well..for whatever mistake au kwa mazingira yeyote,bado MKE wa dr. Hana na hapaswi kuingilia plan na maamuzi ya chama, na nionavyo Kama ni kweli huyu dada ni influential kwa dr basi ni hatari as far as chama ni institution na si mali yake....that take me back kwa ushauri wa mwl .Jk aliozungumza juu ya mtu kushauriwa na mkewe na kuliamulia Taifa.

However..these are hearsay lets wait n see..what goz arround comez arround!

Si mnawasifia kila Sikh na mnasema eti bila mwanamke mwanaume si lolote ama hamuelewi upana wa matamshi hayo? mkome kuwa mavuvuzera kwa mambo msiyoyaelewa vizurj ama sivyo mtageuka mapimbi
 
Si mnawasifia kila Sikh na mnasema eti bila mwanamke mwanaume si lolote ama hamuelewi upana wa matamshi hayo? mkome kuwa mavuvuzera kwa mambo msiyoyaelewa vizurj ama sivyo mtageuka mapimbi

Mkuu nakuheshimu.
Iam independent comentator ndugu,neither belong to any block affiliated with cheap politics.hatujuani tafadhali.
 
Slaa: (huku amekodoa macho) Siamini kabisa mke wangu. Yaani,... basi tu..
Jose: Kwani tatizo nini baby?
Slaa: Eti nimelazimishwa nimpishe Lowasa kugombea urai...(kwi kwi kwi)
Jose: Nini?... hebu rudia tena. Umpishe nani?
Slaa: Eti... eti Lowasa.
Jose: Kwa hiyo umewakubalia?
Slaa: (nodding)
Jose: Kwa hiyo... inamaana ufirst lady nitausikia tu kwenye media? Haiwezekani!
Slaa: Lakini mke...
Jose: (interrupts) nyamaza, mke wako nani? Tena kuanzia leo... (itaendelea)
 
Wakuu,

Ninajua kuna wengine nitawakwaza kutokana na andishi hili, hasa makamanda wenzangu wa chadema kuhusu maoni yangu dhidi ya Josephine Mushumbusi.

Kama mnavyojua ni kwamba CC ya chadema ilikuwa na vikao vizito hivi karibuni kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Moja ya agenda ilikuwa kumpata mgombea urais atakayeweza kupeperusha bendera ya chadema na ukawa.

Vikao vilikaa vikafikia maamuzi ya Eddo kupewa jukumu nzito ya kuipeperusha bendera, maamuzi yaliyoafikiwa na viongozi wote wa ukawa akiwemo Dr. Slaa.

Mara ya mwisho Dr. Slaa kushiriki vikao vya chama ilikuwa Jumapili, kikao ambacho kilichukua muda hadi saa nane usiku.

Ajabu ni kwamba siku ya Jumatatu Dr hakuweza kutokea ofisini, aliweza tu kuwasiliana na viongozi wenzie kwa simu kwa ajili ya kujipanga kwenda kwenye mkutano wa kumpokea Eddo. Siku ya J4 Dr hakuweza kushiriki mkutano wa Eddo, na hata alipotafutwa kwa simu hakuweza kupatikana hewani....

Zoezi likapita la kumkaribisha Eddo, ikabaki kumtafuta Dr kujua nini kilimpata, baadhi ya viongozi waliamua kwenda kwake, walipofika getini walizuiwa kuingia, taarifa za watchman zinasema mama (Josephine Mushumbusi) amefunga geti na ameondoka na funguo....

Hivi sasa tunavyoongea Dr. Slaa yupo kwenye unlawful detention kisa Mchumba wake Josephine Mushumbusi amechukizwa kuukosa u First Lady. Huyu mwanamke asiyeweza kujiheshimu, asiye na ustaarabu ndiye anayeleta makwazo kwa Mzee wetu pamoja na sisi wapambanaji.

Simu zote za Dr Slaa zipo kwa Josephine, taarifa zinasema mwanamke amechanganyikiwa kiasi cha kumshinikiza Dr ajiuzulu na kufanya propaganda kwenye media....

Kitendo cha kumweka kizuizini mtumishi wa chama chetu kwa tamaa ya madaraka siyo haki, nadhani sasa ni muda muafaka haki ikatafutwa iwe kiparoko, kishekhe, au kibabe

Kwa utamaduni na mila zetu, naamini hatutapata hasara yoyote kama Watanzania na Waafrika halisi tukiistahi, kuiheshimu na kuipa muda wa faragha familia ya Dr Slaa. Nina hakika baadhi yetu humu jamvini ambao tunamwaga lugha kali dhidi ya Dr na familia yake ni vijana wenye umri wa hata kuwa watoto wa huyu mzee. Kama Dr ana la kusema ni dhahiri atasema. Tuwe na subira atasema. Hatuna haja ya kumwekea maneno mdomoni na kumkosea adabu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom