Joseph Mbilinyi anavochemka!

zanzibar huru

JF-Expert Member
May 28, 2012
218
108
Huyu ni waziri kivuli wa Utamaduni lakini cha ajabu hakemei wala hasemi neno juu ya matumizi ya lugha za kigeni kwenye majarida, miswada ya sheria na kwingineko

hiivi maana ya kukaa kimya ni nini?

Freeman kama huyu jamaa kashindwa kazi tuwekee mchapa kazi ambaye anaweza kusimamia mambo haya

sensa+%281%29.jpg
 
Nadhani tatizo si kukemea au kutokumea bali kuwa na serikali iliyoko madarakani ikiundwa na watu wasio na maadili. Siku hizi Tanzania imekuwa dampo la kila uchafu hasa miigizo. Tuna vituo vya TV vyenye kutoa huduma chafu kwa wateja. Tuna vipindi vya kisagaji kama Mikasi na utitiri wa magazeti ya udaku. Kenya hawana magazeti ya udaku, matangazo machafu wala vipindi vya hovyo kama Tzania. Nadhani tatizo ni jamii ya kitanzania kupenda vitu vya hovyo na kuchukia vitu muhimu. Iwapo rais mwenyewe hana maadili hadi kuwaambiwa wanafunzi wanaopata mimba eti ni kutokana na kiherehere chake huku wabunge wake wengi wakiwa wavuta bangi na walevi unategemea nini? Hili si tatizo la upinzani bali CCM.
 
Well stated mkuu
 
Ulishawahi kuona mkurugenzi anakosea na kutaka kuwaadhibu wasaidizi wake kwa kutomkosoa? Hahaha, sera zimeenda doro!
 
Mi naona mpuuzi ni wewe mleta mada kwa kuhamishia frustration zako kwa Mh Sugu badala ya kuwashukia waliobandika tangazo. Kwanza wewe si uligomea sensa hilo tangazo linakuhusu nini? UAMSHO mna shida sana.
Waziri kivuli sio watch dog kwenye mbao za matangazo kimebandikwa nini, haya yote yanatokana na udhaifu wa rais Kikwete kushindwa kuweka Standard Operating Procedures katika shuguli za kila siku za kuendesha nchi
 
sasa badala ya kuwakomalia walioko madarakani mnataka kuwabana walio nje ya madaraka. Sasa imagine kuwa Mbilinyi kasema na kakemea then what? Utakuwa umeridhika na kujisikia vizuri!

waliopo ndani ni viziwi

huyu yuko nje alitakiwa apiganie na ikibidi apewe taarifa na a go public na maelezo toka kwa jamaa wa wizara ya sheria na TAMISEMI lakini wapi

kilichobaki ni kuja kusemea humu labda atasoma asubuhi hiii
 
Nina swali moja kama asilimia kadhaa za nyumba au watu waliokimbia...hawatahesabiwa itachukuliwa makisio yao na kuongezwa au itakuwaje ?lengo la sensa litatimia?
 
Huyo Mchaga atakuwa kasoma St. Kayumba, mkiambiwa MoU hazisaidii kusomesha watu, mnakataa, matokeo ndio hayo.
 
Huyo Mchaga atakuwa kasoma St. Kayumba, mkiambiwa MoU hazisaidii kusomesha watu, mnakataa, matokeo ndio hayo.
Ni kweli mkuu hii lugha ya kikristo imekuwa Ngumu sana kwake lazima alikuwa anashinda madrassa akitumia ile lugha yenu
 
Back
Top Bottom