Maneno ya Rais Samia Mkoani Mwanza yagusa mioyo ya mamilioni ya Watanzania. Apongezwa kila kona ya Nchi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,338
9,766
Ndugu zangu watanzania,

Maneno machache ya Rais wetu shupavu, madhubuti,mchapa kazi,Hodari,mzalendo,Jasiri na imara mh mama Samia suluhu Hassani yamewagusa mamilioni ya watanzania.kazungumza kwa ufupi lakini kateka mioyo ya watanzania,kazungumza machache lakini kawatoa machozi watanzania,kazungumza kwa upole lakini kalileta pamoja Taifa na watanzania.

Rais Samia kazungumza kwa upendo, unyenyekevu, busara na hekima ya Hali ya juu Sana juu ya Dhamira yake njema katika kulitumikia Taifa letu, kwa uso wa uzalendo na upendo kwa watanzania katamka kuwa yeye ni mtanzania. Ni mama na kiongozi wa kitanzania na lolote analofanya ni kwa ajili ya watanzania.

Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania, Jasiri muongoza njia,shujaa wa Uchumi,mama aliyeleta Tabasamu, furaha, amani na matumaini katika mioyo ya watanzania, ametukumbusha juu ya utanzania wetu na utamaduni wetu, ametukumbusha kuwa watanzania utamaduni wetu ni kuheshimiana, kupendana, kuvumiliana, kukosoana kwa staha ,heshima na busara na siyo kutukanana, kutupiana maneno ya kibaguzi, kubaguana kwa misingi ya ukabila, udini na ukanda.

Hii ndio maana ya kauli yake kuwa yeye ni mtanzania na yote anayoyafanya ni kwa ajili ya Tanzania yetu anayoipenda kwa dhati ya moyo wake na ambayo wakati wote amekuwa akihangaika huku na Kule kuhakikisha kuwa uchumi wetu unagusa na kumgusa kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii, juhudi na maarifa, kaongea jambo kubwa sana Rais wetu ambapo kila Mtanzania amefarijika sana na kauli za mh Rais wetu mpendwa.

Ndugu zangu watanzania nawaombeni Sana Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu,Rais wetu Anayo dhamira njema juu ya Taifa letu. Anayo kiu ya kutaka kuona watanzania wanapata Milo mitatu kwa siku,Anayo kiu ya kutaka kuona watanzania tunaishi maisha yanayoendana na uwingi wa Rasilimali zetu. Anayo kiu ya kutaka kuona Tanzania panakuwa mahali panapo tiririsha fursa kwa kila mtanzania.

Ndio maana anahangaika kwa ajili ya watanzania,ndio maana ya kukosa muda wa kukaa na familia yake kwa ajili ya kuwahudumia na kuwaletea maendeleo watanzania kwake Rais Samia watanzania ndio familia yake, ndio mboni ya jicho lake itazamapo,ndio mahali mawazo ,akili na macho yake yatazamapo. Ndio maana tunamuona Rais huyu wa kipekee kabisa na mfano Wa kuigwa Barani Afrika akipambana kwa nguvu zake zote kutukwamua kiuchumi watanzania na kuleta nuru na Tabasamu Katika Mioyo yetu.

Rais wetu ni mtanzania, mwenye Damu ya kitanzania, mwenye asili ya kitanzania,mwenye uzalendo na upendo kwa Tanzania na watanzania aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania. Tumpeni moyo na faraja, Tumuunge mkono na Wala Tusimkatishe Tamaa. Penye kasoro tutoe ushauri kwa lugha ya staha na hekima. Tujiepushe kutumia lugha za matusi, ubaguzi na chuki.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Ndugu zangu watanzania,

Maneno machache ya Rais wetu shupavu, madhubuti,mchapa kazi,Hodari,mzalendo,Jasiri na imara mh mama Samia suluhu Hassani yamewagusa mamilioni ya watanzania.kazungumza kwa ufupi lakini kateka mioyo ya watanzania,kazungumza machache lakini kawatoa machozi watanzania,kazungumza kwa upole lakini kalileta pamoja Taifa na watanzania.

Rais Samia kazungumza kwa upendo , unyenyekevu,busara na hekima ya Hali ya juu Sana juu ya Dhamira yake njema katika kulitumikia Taifa letu,kwa uso wa uzalendo na upendo kwa watanzania katamka kuwa yeye ni mtanzania,Ni mama na kiongozi wa kitanzania na lolote analofanya Ni kwa ajili ya watanzania.

Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania, Jasiri muongoza njia,shujaa wa Uchumi,mama aliyeleta Tabasamu, furaha, amani na matumaini katika mioyo ya watanzania, ametukumbusha juu ya utanzania wetu na utamaduni wetu,ametukumbusha kuwa watanzania utamaduni wetu Ni kuheshimiana,kupendana, kuvumiliana,kukosoana kwa staha ,heshima na busara na siyo kutukanana,kutupiana maneno ya kibaguzi,kubaguana kwa misingi ya ukabila,udini na ukanda.

Hii ndio maana ya kauli yake kuwa yeye ni mtanzania na yote anayoyafanya Ni kwa ajili ya Tanzania yetu anayoipenda kwa dhati ya moyo wake na ambayo wakati wote amekuwa akihangaika huku na Kule kuhakikisha kuwa uchumi wetu unagusa na kumgusa kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii , juhudi na maarifa.kaongea Jambo kubwa Sana Rais wetu ambapo kila mtanzania amefarijika Sana na kauli za mh Rais wetu mpendwa.

Ndugu zangu watanzania nawaombeni Sana Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu,Rais wetu Anayo dhamira njema juu ya Taifa letu,Anayo kiu ya kutaka kuona watanzania wanapata Milo mitatu kwa siku,Anayo kiu ya kutaka kuona watanzania tunaishi maisha yanayoendana na uwingi wa Rasilimali zetu ,Anayo kiu ya kutaka kuona Tanzania panakuwa mahali panapo tiririsha fursa kwa kila mtanzania.

Ndio maana Anahangaika kwa ajili ya watanzania,ndio maana ya kukosa muda wa kukaa na familia yake kwa ajili ya kuwahudumia na kuwaletea maendeleo watanzania.kwake Rais Samia watanzania ndio familia yake,ndio mboni ya jicho lake itazamapo,ndio mahali mawazo ,akili na macho Yake yatazamapo.Ndio maana tunamuona Rais huyu wa kipekee kabisa na mfano Wa kuigwa Barani Afrika akipambana kwa nguvu zake zote kutukwamua kiuchumi watanzania na kuleta nuru na Tabasamu Katika Mioyo yetu.

Rais wetu ni mtanzania ,mwenye Damu ya kitanzania,mwenye asili ya kitanzania,mwenye uzalendo na upendo kwa Tanzania na watanzania aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania,.Tumpeni moyo na faraja, Tumuunge mkono na Wala Tusimkatishe Tamaa. Penye kasoro tutoe ushauri kwa lugha ya staha na hekima.Tujiepushe kutumia lugha za matusi,ubaguzi na chuki.

Nikiona shoga na jina lako nahisi kichefuchefu. Unajikomba hadi unakera kuliko hata uharo kumbagf. Na chrome hupewi we poteza muda wako bure au ni jobless?
 
IPO kila mahali ,Kama umeweza kuingia humu jukwaani naamini huwezi ukaikosa maana imesambaa kwa wananchi Kama Moto wa petrol ,kila mahali watu wamekaa vikundi vikundi na simu zao mikononi wakimsikiliza Rais wao mzalendo akiongea juu ya Dhamira yake njema kwa Taifa letu.
We jamaa itakuwa una enjoy watu si bure😂😂
 
Ndugu zangu watanzania,

Maneno machache ya Rais wetu shupavu, madhubuti,mchapa kazi,Hodari,mzalendo,Jasiri na imara mh mama Samia suluhu Hassani yamewagusa mamilioni ya watanzania.kazungumza kwa ufupi lakini kateka mioyo ya watanzania,kazungumza machache lakini kawatoa machozi watanzania,kazungumza kwa upole lakini kalileta pamoja Taifa na watanzania.

Rais Samia kazungumza kwa upendo , unyenyekevu,busara na hekima ya Hali ya juu Sana juu ya Dhamira yake njema katika kulitumikia Taifa letu,kwa uso wa uzalendo na upendo kwa watanzania katamka kuwa yeye ni mtanzania,Ni mama na kiongozi wa kitanzania na lolote analofanya Ni kwa ajili ya watanzania.

Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania, Jasiri muongoza njia,shujaa wa Uchumi,mama aliyeleta Tabasamu, furaha, amani na matumaini katika mioyo ya watanzania, ametukumbusha juu ya utanzania wetu na utamaduni wetu,ametukumbusha kuwa watanzania utamaduni wetu Ni kuheshimiana,kupendana, kuvumiliana,kukosoana kwa staha ,heshima na busara na siyo kutukanana,kutupiana maneno ya kibaguzi,kubaguana kwa misingi ya ukabila,udini na ukanda.

Hii ndio maana ya kauli yake kuwa yeye ni mtanzania na yote anayoyafanya Ni kwa ajili ya Tanzania yetu anayoipenda kwa dhati ya moyo wake na ambayo wakati wote amekuwa akihangaika huku na Kule kuhakikisha kuwa uchumi wetu unagusa na kumgusa kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii , juhudi na maarifa.kaongea Jambo kubwa Sana Rais wetu ambapo kila mtanzania amefarijika Sana na kauli za mh Rais wetu mpendwa.

Ndugu zangu watanzania nawaombeni Sana Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu,Rais wetu Anayo dhamira njema juu ya Taifa letu,Anayo kiu ya kutaka kuona watanzania wanapata Milo mitatu kwa siku,Anayo kiu ya kutaka kuona watanzania tunaishi maisha yanayoendana na uwingi wa Rasilimali zetu ,Anayo kiu ya kutaka kuona Tanzania panakuwa mahali panapo tiririsha fursa kwa kila mtanzania.

Ndio maana Anahangaika kwa ajili ya watanzania,ndio maana ya kukosa muda wa kukaa na familia yake kwa ajili ya kuwahudumia na kuwaletea maendeleo watanzania.kwake Rais Samia watanzania ndio familia yake,ndio mboni ya jicho lake itazamapo,ndio mahali mawazo ,akili na macho Yake yatazamapo.Ndio maana tunamuona Rais huyu wa kipekee kabisa na mfano Wa kuigwa Barani Afrika akipambana kwa nguvu zake zote kutukwamua kiuchumi watanzania na kuleta nuru na Tabasamu Katika Mioyo yetu.

Rais wetu ni mtanzania ,mwenye Damu ya kitanzania,mwenye asili ya kitanzania,mwenye uzalendo na upendo kwa Tanzania na watanzania aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania,.Tumpeni moyo na faraja, Tumuunge mkono na Wala Tusimkatishe Tamaa. Penye kasoro tutoe ushauri kwa lugha ya staha na hekima.Tujiepushe kutumia lugha za matusi,ubaguzi na chuki.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Ina maana chawa wa Samia mmeshafikia mamilioni? Kweli wazanzibari mmetuona watanganyika ni wajinga hapa mnauza raslimali zetu.
 
Tindo ndugu yangu acha mawazo ,Fikira na akili za kibaguzi.Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakuunga mkono juu ya kutaka kupandikiza na kuleta chuki na ubaguzi wa Aina yoyote Ile kwa Taifa letu.
 
Ndugu zangu watanzania,

Maneno machache ya Rais wetu shupavu, madhubuti,mchapa kazi,Hodari,mzalendo,Jasiri na imara mh mama Samia suluhu Hassani yamewagusa mamilioni ya watanzania.kazungumza kwa ufupi lakini kateka mioyo ya watanzania,kazungumza machache lakini kawatoa machozi watanzania,kazungumza kwa upole lakini kalileta pamoja Taifa na watanzania.

Rais Samia kazungumza kwa upendo , unyenyekevu,busara na hekima ya Hali ya juu Sana juu ya Dhamira yake njema katika kulitumikia Taifa letu,kwa uso wa uzalendo na upendo kwa watanzania katamka kuwa yeye ni mtanzania,Ni mama na kiongozi wa kitanzania na lolote analofanya Ni kwa ajili ya watanzania.

Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania, Jasiri muongoza njia,shujaa wa Uchumi,mama aliyeleta Tabasamu, furaha, amani na matumaini katika mioyo ya watanzania, ametukumbusha juu ya utanzania wetu na utamaduni wetu,ametukumbusha kuwa watanzania utamaduni wetu Ni kuheshimiana,kupendana, kuvumiliana,kukosoana kwa staha ,heshima na busara na siyo kutukanana,kutupiana maneno ya kibaguzi,kubaguana kwa misingi ya ukabila,udini na ukanda.

Hii ndio maana ya kauli yake kuwa yeye ni mtanzania na yote anayoyafanya Ni kwa ajili ya Tanzania yetu anayoipenda kwa dhati ya moyo wake na ambayo wakati wote amekuwa akihangaika huku na Kule kuhakikisha kuwa uchumi wetu unagusa na kumgusa kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii , juhudi na maarifa.kaongea Jambo kubwa Sana Rais wetu ambapo kila mtanzania amefarijika Sana na kauli za mh Rais wetu mpendwa.

Ndugu zangu watanzania nawaombeni Sana Tuendelee kumuunga mkono mh Rais wetu,Rais wetu Anayo dhamira njema juu ya Taifa letu,Anayo kiu ya kutaka kuona watanzania wanapata Milo mitatu kwa siku,Anayo kiu ya kutaka kuona watanzania tunaishi maisha yanayoendana na uwingi wa Rasilimali zetu ,Anayo kiu ya kutaka kuona Tanzania panakuwa mahali panapo tiririsha fursa kwa kila mtanzania.

Ndio maana Anahangaika kwa ajili ya watanzania,ndio maana ya kukosa muda wa kukaa na familia yake kwa ajili ya kuwahudumia na kuwaletea maendeleo watanzania.kwake Rais Samia watanzania ndio familia yake,ndio mboni ya jicho lake itazamapo,ndio mahali mawazo ,akili na macho Yake yatazamapo.Ndio maana tunamuona Rais huyu wa kipekee kabisa na mfano Wa kuigwa Barani Afrika akipambana kwa nguvu zake zote kutukwamua kiuchumi watanzania na kuleta nuru na Tabasamu Katika Mioyo yetu.

Rais wetu ni mtanzania ,mwenye Damu ya kitanzania,mwenye asili ya kitanzania,mwenye uzalendo na upendo kwa Tanzania na watanzania aliyejitoa na kujitolea kuwatumikia watanzania,.Tumpeni moyo na faraja, Tumuunge mkono na Wala Tusimkatishe Tamaa. Penye kasoro tutoe ushauri kwa lugha ya staha na hekima.Tujiepushe kutumia lugha za matusi,ubaguzi na chuki.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Peleka ujinga huko. Tumuunge mkono vipi huku anawapa waarabu kumiliki bandari zetu baada ya nchi kuwekeza mabilioni ya umma. Asijidai upole. Kwani yeye ndio rais wa kwanza kushughulikia uchumi wa nchi yetu? Kama ndio namna ya kuendeleza uchumi kila kitu tunawekeza mwisho wake itakua kuwakodishia wageni! Kama hatuwezi kuendesha mambo yetu nini maana ya uhuru wetu. Kwa mtindo wa samia atakodisha sgr meli mya ya mv mwanza, viwanja vya ndege vyote na kila cha msingi chenye kuonekana kitaingiza faida. Hizi hila hajaona? Masharti yanayokinzana na uhuru wetu 'sovereingty' haoni. Masharti yanaandikwa na wageni waziri anaweka tu sahihi. Kwa nini tusishituke. Ingekua bora ajiuzulu tu.
 
Ila we mwamba umeamua kuja kuwapandisha watu hasira🤣 na hapo umekaa unacheka uki enjoy comments.
Mimi nawaambia ukweli tu maana ukweli Ni ukweli tu hata ukipingwa na watu wengi,hata Galileo alipingwa Sana lakini mwisho waliompinga walikuja kutambua kuwa hawakuwa sahihi na walipotoka na kupotoshwa
 
Back
Top Bottom