Jordan yaomba kuuziwa maji na Israel

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Mtakubali tu nyie ni mizembe na mnategemea hako kataifa miaka yote hata kama mnakatupia mabomu....

On November 16, Jordanian Foreign Minister Ayman Safadi – whose anti-Israel rhetoric since October 7 has been strident – took to Al Jazeera to say the planned signing a month later of a three-way Jordan-Israel-UAE water-for-energy deal would not take place.

“We will not sign this agreement any longer. Can you imagine a Jordanian minister sitting next to an Israeli minister to sign a water and electricity agreement, all while Israel continues to kill children in Gaza?” the top Jordanian diplomat said.

Under the deal, Jordan was to supply Israel with solar energy from a UAE-funded plant in exchange for desalinated water from Israel.
“Israel’s aggression and crimes [in Gaza] can no longer be justified as self-defense. It has been killing innocent civilians and attacking hospitals,” he continued. “If any other state had committed a fraction of what Israel is doing now, we would have seen sanctions imposed on it from every corner of the globe.”
Fast forward some three and a half months, and Jordan, according to a report on Sunday on Kan 11, asked Israel to renew a deal whereby Israel sells the water-deficient Hashemite Kingdom an additional 50 million cubic meters of water over and beyond the 50m. cm. that it is obligated to provide under the 1994 peace treaty.
 
Kumbe we MKENYA ni Christian Fanatics, nilikua napata shida kujua motive ya posts zako

Huyu ni kama wale jamaa wa Islamic state ila wa kikristo, so chuki yake kwa uislamu na wale wote wasio wakristo ndo inaendesha maisha yake

Mods hawa watu ni wakupiga ban tu ni HATARI kwa jamii na mshikamano wetu kama Taifa
 
Umechelewa sana kumjua.
 
Na bado hamjasema, mtaliwa mpaka mkome, huyo muarabu aliwaponza sana kuwaaminisha vitu vya kijinga alivyojiandikia huko jangwani...
 
Desalinated water,Jordan wangeomba technology ya kuondoa chumvi kwenye maji bahari.
 
Kumbe we MKENYA ni Christian Fanatics, nilikua napata shida kujua motive ya posts zako

Huyu ni kama wale jamaa wa Islamic state ila wa kikristo, so chuki yake kwa uislamu na wale wote wasio wakristo ndo inaendesha maisha yake

Mods hawa watu ni wakupiga ban tu ni HATARI kwa jamii na mshikamano wetu kama Taifa
Uislamu ni hatari zaidi kuliko MK254
 
Kumbe we MKENYA ni Christian Fanatics, nilikua napata shida kujua motive ya posts zako

Huyu ni kama wale jamaa wa Islamic state ila wa kikristo, so chuki yake kwa uislamu na wale wote wasio wakristo ndo inaendesha maisha yake

Mods hawa watu ni wakupiga ban tu ni HATARI kwa jamii na mshikamano wetu kama Taifa
kwa akili yako ya Kuku unaihisi Raia wa Jordan wote ni waislam?
 
Back
Top Bottom