Jordan express co ltd wana ofa ya magari ya fuatayo, fun-cargo,suzuki swift na vitz

jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
Taarifa ya kufutwa kwa post ya JORDAN EXPRESS CO LTD,ilikua na-title kama hii imefutwa au imefutika! kama kuna mtu yoyote anayejua sababu za kufutwa kwa post yetu tunaomba tu-in box au tupigie 0713960161 au mtu yeyote anaweza kurudisha tunaomba airudishe kwa garama zozote,

Post hiyo ili bahatika kutembelewa na watu wengi sana na wengi wao tumewauzia magari trekita za kilimo za kutengeneza barabara nk ,kufutika kwa post hiyo kumewanyima nafasi wateja wetu wapya kuweza kuona maswali na majibu muhimu yalioulizwa na waliotangulia pia na kujua biashara tunazozifanya kwa marefu na mapana. Tutatoa dau kubwa kwa yeyote atakaye fanyikisha kurudisha post hiyo.Ahsanten sana
 
Mkuu hata mimi nimeitafuta sikufanikiwa kuiona tena.Nilikuwa nahitaji kujua kama nitapata Toyota ipsum 240 u toleo jipya na inaendaje kwa bei
 
Taarifa ya kufutwa kwa post ya JORDAN EXPRESS CO LTD,ilikua na-title kama hii imefutwa au imefutika! kama kuna mtu yoyote anayejua sababu za kufutwa kwa post yetu tunaomba tu-in box au tupigie 0713960161 au mtu yeyote anaweza kurudisha tunaomba airudishe kwa garama zozote,

Post hiyo ili bahatika kutembelewa na watu wengi sana na wengi wao tumewauzia magari trekita za kilimo za kutengeneza barabara nk ,kufutika kwa post hiyo kumewanyima nafasi wateja wetu wapya kuweza kuona maswali na majibu muhimu yalioulizwa na waliotangulia pia na kujua biashara tunazozifanya kwa marefu na mapana. Tutatoa dau kubwa kwa yeyote atakaye fanyikisha kurudisha post hiyo.Ahsanten sana

Jordan, naweza kupata Mitsubishi pajero io kutoka kwenu? Bei?
 
Kaka majaliwa,
Huna haja ya kutoa dau ili topic irudishwe, kwanza ujue tu hakuna member yoyote anaeweza kuitoa isipokua Mod (wahusika/wamiliki) pekee.

Na sidhani Kama wanahitaji dau kurudisha, labda tu mkubaliane kulipana mambo mengine kama vile matangazo ya kibiashara.

Otherwise, niliona Kama ile topic ilishaanza kuharibika mantiki/malengo baada ya kuanza matusi kati ya mteja Na mtu mwingine.

Kama ndio sababu basi muombe Mod ayafute yale matusi, airudishe ile iendelee.
 
Ahsante sana kaka naomba uniunganishe na Mud tukae mezani kama vip ni in box namba yake.
 
jordanexpressco;

Inasafishwa, ikikaa sawa itarejeshwa (siwezi kusema baada ya muda gani kwani ni task ngumu pia kwani inahitaji mtu kuwa dedicated).

Ni vema ungelipia tangazo ukatengenezewa special page badala ya kuendelea kwa mtindo wa thread.

Ni wazi wengi washaanza kuwajua, ni wakati wa ninyi kuichangia JF ili iwaboreshee namna ya kutangaza kwa ufanisi zaidi
 
Last edited by a moderator:
tena awe dayamondi memba huyu.

Soli hivi sijaomba luhusa kukwoti hii

poa kaka
 
Back
Top Bottom