Jordan express co ltd waagizaji wa magari ya bei poa kutoka japani.

jordanexpressco

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
203
8
JORDAN EXPRESS CO LTD WAAGIZAJI WA MAGARI YA BEI POA KUTOKA JAPANI.
1)TOYOTA STARLET UNITS 9
2)TOYOTA VITZ UNITS 10
SUZUKI CARRRY TRUCK UNITS 20
3)HIJET UNITS 5
4)MAZDA SCRUM TRUCK UNITS 2

TUPIGIE KUPITIA NAMBA HIII +255(0)222203236/+255(0)713960161/+255753424500 FAX +255(0)222203236 misha@jordanexpress.co.tz
 
Ntapata toyota MARK X/CAMRY 2006-7 SILVER?
What is there total price?
 
Jordanexpress sijakuelewa bei zako unataka kuniambia nikitoa 16m napata Mark X? Je hyo bei mpaka unanikabidhi mimi(yani ipo barabarani)? Mark ii grande na verossa unauza kwa ngapi?
 
Rav 4 milango mitatu mnayo, na bei inaendeje[/QUOTE] MAGARI TULIONAYO NI HAYO JUU.KAMA UNATAKA TUKUAGIZIE,UKITAJA MWAKA ITAKUA VIZURI ZAIDI
 
Jordanexpress sijakuelewa bei zako unataka kuniambia nikitoa 16m napata Mark X? Je hyo bei mpaka unanikabidhi mimi(yani ipo barabarani)? Mark ii grande na verossa unauza kwa ngapi?
Hayo magari sina labda unipe kazi ya kukuagizia,yata cost GRADE 12 VEROSSA 14 Tshilings
 
Starlet za mwaka gani na zimetembea km ngapi na bei gani. Na vitz je (year, Km ,Price?)
 
M2 wang nimecheka sana milang mitatu au toleo jipya hilo.

mkuu milango mitatu hapa anamaanisha miwili ubavuni! na ule mmoja wa nyuma kaka! na si kama unavyofikiria kuwa labda yote iko ubavuni
 
Back
Top Bottom