Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Screenshot 2023-10-26 151935.png


Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini yake.

Mkude amefungua kesi ya madai 192 ya mwaka 2023 mbele ya Jaji Butamo Philip dhidi ya kampuni hiyo akiidai fidia hiyo Kwa kuvunja haki yake ya msingi.
 
Huyu kijana anatumiwa vibaya,

Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wana mkataba na Simba sc, so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa Mkude na Simba unamfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever.

Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
 
Huyu kijana anatumiwa vibaya,,,,

Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wanamkataba na Simba sc ,,so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa mkude na Simba una mfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever...
Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
Umeeleza kweli japo umesha conclude bila kujua ni picha ipi au umeshawahi iona hiyo picha.
 
Mkude aishtaki METL, ataka fidia Sh1 bilioni

Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Tsh. 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter bila idhini yake.

Mkude amefungua kesi ya madai 192 ya mwaka 2023 mbele ya Jaji Butamo Philip dhidi ya kampuni hiyo akiidai fidia hiyo kwa kuvunja haki yake ya msingi.

Mkude amejiunga na Yanga msimu huu akitokea Simba aliyotumikia kwa misimu 12.
 
Huyu kijana anatumiwa vibaya,,,,

Picha alipiga akiwa na jezi ya Simba as team "Group" na Melt wanamkataba na Simba sc ,,so yeye aende mahakamani akaombe tafsiri ya mkataba wake na Simba but I know that mkataba wa kwanza wa mkude na Simba una mfanya image yake kusalia Mali ya Simba forever...
Mwache ajichanganye si alisain mkataba ilimradii
Anaishitaki Simba au mo enterprises!?..na picha imetumika wakati bado yupo Simba au yanga?
 
Back
Top Bottom